Search results

  1. mcfm40

    CHADEMA tumegeuzwa mazoba wa kisiasa. Tumegeuzwa washabiki wa matukio ya WanaCCM. Sasa hivi tunashabikia uchaguzi wa spika wa CCM

    Ulikuwa hujui? Kazi ya chama cha upinzani ni kuchochea moto na kuwachanganya upande mwingine! Kama Chadema wanafanya hivyo ndio wajibu wao hasa na wanatenda sawa. Ingeshangaza CCM wavurugane huko halafu Chadema wakae kimya bila kutia neno!
  2. mcfm40

    Malalamiko kwa Shule Binafsi: Wizara ya Elimu na Tamisemi waliangalie na kulitolea muongozo

    Hili halikubaliki! Na taarifa ziwafikie Atladi kwamba hili tumelikataa!
  3. mcfm40

    Rais Samia bado anapotoshwa, hajapata washauri wenye weledi

    Hili linashangaza kwa kweli!
  4. mcfm40

    EWURA yasitisha bei mpya za mafuta

    Unajua nini kinaenda kutokea? Kama kweli bei katika soko la dunia imepanda basi hakuna zaidi ya wiki kutakuwa na uhaba mkubwa wa mafuta nchini. Wafanyabiashara hawatakubali biashara ya hasara!
  5. mcfm40

    IGP Sirro: Wazazi msizae zae ovyo watoto kama 'Hamza'

    Lugha mbaya sana dhidi ya wazazi wa Hamza! Hii inaweza kuongeza uhasama! Hawa viongozi wetu kwa nini hawachuji kauli zao kabla ya kuzitoa? Juzi tulisikia matiti ya kina dada... leo wazazi wasizae hovyhovyo watoto km kina Hamza! Nadhani baadaye akitafakari hii kauli atajilaumu sana!
  6. mcfm40

    Ole Sabaya kupanda Kizimbani leo kesi ya Uhujumu Uchumi

    Sabaya ana kesi tofauti tofauti! Ya kwanza ilikuwa unyang'anyi wa kutumia silaha. Hii ni nyingine tofauti ya uhujumu uchumi. Bado zipo nyingine zitafuata ambazo zipo kwenye upelelezi! Hawezi kuchomoa zote!
  7. mcfm40

    Eti Mbowe alitoa laki 6 kufadhili ugaidi. Seriously?

    Hivi unawezaje kudhibitisha bila kuacha chembe ya shaka dhamira ya mtu kutenda jambo ambalo halikutendeka? Ili tuhuma ya ugaidi idhibitike bayana ni lazima hujuma halisi iwe imetokea au kuwe na ushahidi wa moja kwa moja kwamba hujuma husika ilikuwa inakwenda kufanyika bila chembe yoyote ya...
  8. mcfm40

    Tuache Ufyatu: Hakuna atakayeridhika au kuridhishwa naye akaridhika

    "Asije akajaribu kuwaridhisha waliochukia Magufuli ili wamuunge yeye mkono au asije kuwaweka pembeni waliompenda Magufuli ili wengine wamuunge mkono. Ni kweli ameingia katika mazingira ambayo hatujawahi kuyapitia lakini kisiasa anatakiwa apime na atafute njia ya jinsi gani atavuka kwenye waya...
  9. mcfm40

    #COVID19 Kwanini tukimbize mbio za Mwenge kipindi hiki cha COVID-19?

    Nimeshangaa kusikia matangazo redioni yakihimiza wananchi kujitokeza kwa wingi kwenye tamasha la mwenge na mkesha Dar es Salaam. In particular nimemsikia DC wa Kigamboni akihamasisha na kusai kutakuwa na wanamuziki kibao kuhanikiza shughuli hiyo ya mwenge. Nimeshindwa kishangaa! Nini tubafanya...
  10. mcfm40

    Binamu Bananga: CHADEMA tunakutana kujadili mahojiano ya Rais Samia na BBC ili kujibu nini? Nasisitiza tusikurupuke

    Dah, tuna bahati mbaya kiumbe kama huyu kuwa associated na Chadema. Anatumia nafasi hiyo vibaya! Hopeless kabisa! Yaani analazimika kuwafurahisha CCM ili mke wake asinyanganywe tonge!
  11. mcfm40

    Vijana wa CHADEMA Arusha wagoma kushiriki maandamano kuhusu suala la Mbowe

    Mambo ya Lameck Nchemba hayo! Haya ndiyo mambo anayaweza. Sio ya nafasi kubwa kama aliyonayo sasa!
  12. mcfm40

    TANZIA Patrick Mfugale wa TANROADS afariki dunia Jijini Dodoma

    Daraja la Kijazi.... Daraja la Mfugale.... huku sio kuchuriana? Wazee wa maeneo husika wamekasirika! Turudishe majina ya asili ya maeneo husika! Daraja la Tazara, Daraja la Ubungo, stendi ya Kuu ya Mabasi Mbezi Louis!
  13. mcfm40

    Malalamiko kwa Shule Binafsi: Wizara ya Elimu na Tamisemi waliangalie na kulitolea muongozo

    Nashukuru serikali imepata huu ujumbe na imeshachukua hatua tayari za kuwataka wahusika wajieleze kwa nini watoto hawajaenda likizo!
  14. mcfm40

    Malalamiko kwa Shule Binafsi: Wizara ya Elimu na Tamisemi waliangalie na kulitolea muongozo

    Asante kwa kuendelea kutushirikisha utaalamnwako katika hili!
  15. mcfm40

    Malalamiko kwa Shule Binafsi: Wizara ya Elimu na Tamisemi waliangalie na kulitolea muongozo

    Competence based curriculum ni jina tu ndugu. Ni empty vocabularies zisizokuwa na uhalisia. Ninafuatilia sana wanachofundishwa watoto na vitabu wanavyosoma, sijaona huo mtaala mpya ukiakisiwa kwenye vitabu na ufundishaji! Unapozungumzia competence based curiculum unazungumzia imparting knowledge...
  16. mcfm40

    Malalamiko kwa Shule Binafsi: Wizara ya Elimu na Tamisemi waliangalie na kulitolea muongozo

    Usijali ni katika kunogesha tu mjadala. Kwa hiyo wewe unakubaliana na watoto wetu kubakizwa shuleni kukaririshwa mitihani? Kama mdau mkubwa wa elimu ulishayajaribu maarifa ya wanao kuona kama kuna chochote wanachopata zaidi ya kukariri maswali? Unajua kwanini baadhi ya watu hapa wanaungana...
  17. mcfm40

    Malalamiko kwa Shule Binafsi: Wizara ya Elimu na Tamisemi waliangalie na kulitolea muongozo

    kwa hiyo twende hivyo hivyo tu na huo mfumo? Soma kwa makini michango mingine hapa utaelewa undani wa hili tatizo.
Back
Top Bottom