Search results

  1. M

    Rais Magufuli: Sikuja kutafuta wachumba, bali nimekuja kufanya kazi za Watanzania

    Hayo ametamka Mh Rais wakati anamalizia hotuba yake ya kupokea ripoti ya uchunguzi ya madini ya Almas na Tanzanite. Asante Rais kwa kusema wazi kwamba upo kikazi.
  2. M

    Ajali: Gari 3 za Mafuta zagongana Karibu na Kwa Mathias

    Ajali mbaya imetokea usiku huu mbele kidogo na kituo cha Picha ya Ndege. Chanzo cha ajali bado haijafahamika . Watu wengi sana wanachota mafuta aina ya Diesel kwenye ndoo na madumu. Polisi wamefika wamewatawanya watu.
  3. M

    Ugonjwa wa Mchango kwa watoto wadogo

    Napenda kujua chanzo cha ugonjwa wa mchango kwa watoto wadogo na mbona inasemekana hakuna dawa ya hospital inayotibu? Kwanini dawa za kienyeji tu ndizo zinatibu? Napenda kujua wana JF
  4. M

    Samwel Sitta yupo wapi?

    Napenda kufahamu Spika mstaafu, Samwel Sitta anafanya nini kwa sasa. Je, anajenga Taifa? Amepumzika? Au anatumikia chama? Tafadhali nimemkumbuka sana.
  5. M

    Magufuli: walioguswa na hotuba yangu watoe ushuhuda, warudishe kadi

    Kile kinachoonekana kutokujiamini kwa mgombea wa ccm, amesikika akiwaita wale walioguswa na hotuba yake ili watoe ushuhuda na kurudisha kadi za chama pinzani. Huu utaratibu unamshushia hadhi yake.
Back
Top Bottom