Search results

  1. M

    Lowassa: Wakimwaga mboga namwaga ugali

    . Ameeeeeeeeeeeen! Mungu atutunze mpaka tuyaone yote hayo. Yaani kila kukicha mambo mapya na magumu zaidi yanaibuka :dance:
  2. M

    Dr. Slaa Kulipwa maslahi kama mbunge anastahili?

    Haaaaaaaaaa haaaaaaaaaaaaaaa haaaaaaaaaaaaaa!!!!! Shemegiiiii!! Onga mshi. Jamani kweli wana jamii sometimes wanakuwa wamechoka. Hii thread uatafikiri comedy bwana!! Mtu just an auditor wa benki fulani anapata mshahara 10 mil wewe huyu anaetumikia umma wa watanzania unataka alipwe shs ngapi...
  3. M

    Jengo la mahakama ya rufaa lauzwa kwa kempisky hotel?

    Kufa hautakufa lakini cha moto utakiona. Tatizo letu wa TZ ni wapole sana, waoga sana na hatuna mshikamano.
  4. M

    Raisi pekee afrika!

    Kwa kweli huyu ndie President. Akiongea unaona kabisa viungo vya mwili vinavyoshirikiana. Angekuwa ni Rais wetu na rasilimali zote tulizonazo tungekuwa mbali sana. Bandari, madini ya kila aina. Hivi tunataka Mungu atupe nini jamani!! Atupe kipele tujikune?!! Na kucha pia atunyime!!
  5. M

    Jengo la mahakama ya rufaa lauzwa kwa kempisky hotel?

    Nitajitahidi kupost japo sehemu ya waraka huo kesho.
  6. M

    liyumba,jk na chuki za kike

    Haaaaa ahaaaaaaaaaaaaa ahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!! Hiyo nayo kali, jamaa kwa visasi huyu.
  7. M

    Jengo la mahakama ya rufaa lauzwa kwa kempisky hotel?

    Nilikuwa katika pilika za hapa na pale, nikakutana na vijana wanaongelea juu ya uozo uliomo ndani ya Mahakama ya Rufaa na Mahakama Kuu, akawa anawaeleza wenzake kuwa kuna waraka umetolewa na wafanyakazi wa Mahakama ya Rufaa waliochoshwa na uonevu na ubinafsi wa viongozi wao. Kwa bahati nzuri...
  8. M

    Nini tafsiri ya ndoto hii ?

    Mimi nadhani utakuwa kiongozi soon, kwa either ofisini, nchini au whatever, kwa watu waliokuwa wamekata tamaa na wewe utakuwa nuru yao.
  9. M

    Rais amedhalilishwa au amujithalilisha?

    Amejidhalilisha!! Wasiotekeleza ni watu wake na wajnaomoliki ni watu wake. Anaongeaga tu ni kawaida yake. Inasikitisha sana kwa kweli.
  10. M

    5 Ways To Keep Your Wife Happy Always

    Asante sana Kwi Kwi kwa kutuelimisha wote. Nimesoma ya kwangu na nimemuweka baba PC nae asome ya kwake. Be blessed
  11. M

    Utajiri wa Ridhwani wamweka pabaya Kikwete

    It seems like Sangara una data za jamaa wewe!!! Au best Friend au ndio Ridhiwani mwenyewe, manake mimi mlalahoi nimesikia siku nyingi from my Friend huko Serengeti kuwa ana bonge moja la hotel, tena limejengwa kiajabu sana kwani liko Mbugani lakini miti haikukatwa na wanyama wanaendelea...
  12. M

    Osama bin Laden killed!

    Unauliza swali au unashangaa?! Kama ni swali the answer is YES! Na pole sana kwa kutokuwa updated. Uko sweka nini?
  13. M

    Utajiri wa Ridhwani wamweka pabaya Kikwete

    Yah! Ni muda mfupi sana, nahisi amefanya makusudi ili washindwe kujipanga. Hii inazidi kutia mashaka kuwa jamaa anamiliki hizo mali. Hakuna lililo sirini ambalo halitafichuka, lazima yatafichuka tu.
  14. M

    hello, marafiki wa JF

    Karibu sana JF Majaliwa.
  15. M

    Utajiri wa Ridhwani wamweka pabaya Kikwete

    Imerushwa kwenye taarifa ya habari saa 1 usiku huu ktk Channel 10. Mwenye ushahidi haya jamaaaaaaaani.......
  16. M

    Chombo cha Anga cha tua kwa dharula Bagamoyo!!

    Ndio maana nchi haiendelei kwa kuendekeza ushirikina. Tunawateketeza kwa moto wa Damu ya Yesu.
  17. M

    Naona aibu jamani, nisaidieni

    Hivyo vitu vinatakiwa wakati mwengine viachwe wazi ili vipumue jamani!! Kwa hiyo kijana anafurahia vikiingia hewa. Si watoto tu hata watu wazima inabidi jaapo usiku muache vipumue. Kule kwetu pwani wanalala na Msuli tu ili hewa iwe inaingia na kukitokea emergency basi anatoka na msuli.
  18. M

    Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

    Poleni sana majeruhi na waliopoteza wapendwa wao. Inahuzunisha sana jamani, hadi lini mambo haya jamani. Mungu utusaidie.
  19. M

    Nilikua siijui jamii Forums

    Karibu sana JF ili kupata habari za ukweli na uhakika
Back
Top Bottom