Search results

  1. N

    Tanzania yetu: Mbio za kupokezana vijiti na dhihiriko la usimamizi wa Mungu

    Kwanza nianze kwa kutoa tahadhari kuwa sitajadili nani anatarajiwa kuwa mshindi katika uchaguzi mkuu wa mwishoni mwa mwaka huu kwa sababu HATA ALIYE MJINGA ATAKUWA ANAJUA MSHINDI NI NANI ila tunachosubiri ni kiwango tu cha asilimia(kushuka au kupanda) Leo hebu kidoogo twende katika historia...
  2. N

    Kuna kitu hakiko sawasawa hapa, Tusubiri tuone

    Tangu mwanzo wa sakata la ESCROW, ndani kabisa ya moyo wangu kuna sauti ilikuwa inaniambia kuwa KUNA MCHEZO UKO ENGINEERED NA WATU AMA KIKUNDI FULANI CHA KIMASLAHI eidha kutoka upande mmoja ama pande zote zinazosigana katika huu mgogoro. nimepata ufunuo baada ya hotuba ya utetezi ya professor...
  3. N

    Rais Kikwete unajua kuongoza, Mpishe aje anayejua kutawala

    Kama taifa ,tumefikia mahali ambapo kila neno linatakiwa kutamkwa kwa herufi zake bila kutumia tafsida ili kuepuka kuficha makali yake. Kwa ujumla taifa linanuka,linaumwa na kansa na limevimba. Hakuna nyanja yoyote yenye afadhali ambayo inaweza kuonekana kama mfano dira ili nyaja zingine...
  4. N

    UKAWA hawaijui historia ya Zanzibar

    WAKATI LEO 08/10/2014 rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania akienda Dodoma kukabidhiwa katiba iliyopendekezwa na bunge maalum la katiba kupitia kwa mwenyekiti wake SAMWEL SITTA, kuna uongo,propaganda na upotoshaji mkubwa unaofanywa na wafuasi wa upinzani hususan ukawa kuhusu mutakabali wa...
  5. N

    Warioba na wajumbe wa tume, amkeni na muuone ukweli

    WARIOBA NA WAJUMBE WA TUME-AMKANI NA MUUONE UKWELI.. Kuna mahali ambapo tume ya mabadiliko ya katiba inatumia neno HISIA,na baadae hisia inageuka kuwa kero ambayo ni msamiati mpya wa kisisasa miongoni mwa wanasiasa wetu. Tukimnukuu jaji Waruoba nasema'' eneo la muungano ni moja kati ya maeneo...
  6. N

    2015..our doomsday!!! Our armagedon!!!! The end of our world as a nation????

    UTANGULIZI Kwa wale wenzangu ambao wameshapata kupitia masomo ya fasihi au wenye mapenzi na usomaji wa vitabu vya waandishi wa kiafrika(African writers series),bila shaka wameshapata kukisoma kitabu kimoja toka kwa muandishi maarufu sana wa riwaya mzaliwa wa Kenya anayejulikana kwa jina la...
  7. N

    Tahadhari: Towards 2015 politics vs our elephants and extinction threat

    Wakati vita ya pili ya dunia WW2 ikielekea ukingoni,wakati mji wa Berlin ukiwa umezungukwa kwa nyuzi 360,viongozi wa mataifa matatu yenye nguvu kubwa za kijeshi ya USA,USSR na ENGLAND walikutana Tehran kuamua hatma ya vita na dunia kwa ujumla.Ikumbukwe tu kwamba wakati huu RED ARMY ya USSR ikiwa...
  8. N

    Ombi la Lema kwa Zitto na kauli ya Werema - Unganisha dots...

    wanaoifahamu vizuri historia ya IZRAEL, watakuwa wameshawahi kusikia jina la kikundi kimoja cha wapiganaji wa msituni kilichojulikana kama IRGUN. kundi hili liliamua kujitoa kutoka CENTRAL COMMANDING POINT ya jeshi la izrael wakati huo baada ya kuona jeshi la izrael linaendekeza siasa wakati...
  9. N

    Sarakasi za chadema na umuhimu wa kuihariri kamusi yetu ya kiswahili

    Kumbe migogoro ndio njia pekee ya kuudhihirishia ulimwengu tabia za watu,malengo ya watu na mapenzi/chuki za watu.na kwa huu mgogoro unaoendelea chadema nao unatupa hii fursa muafaka ya kuwajua viongozi wa chadema mmoja mmoja, makundi yao, vibaraka wao na dhamira zao kwa ujumla. kupitia waraka...
  10. N

    Edward Ngoyai Lowassa; Huu ni waraka wangu kwako na kwa watanzania wenzangu

    amani ya bwana mungu na iwe juu yako/yenu. Kuna mambo ya msingi ambayo kila asiye mnafiki anakubaliana nayo iwe kimoyomoyo au kwa wazi bila uoga. na moja kati ya mambo hayo ni ukweli kuwa hakuna chama chochote cha upinzani chenye uwezo wa kushinda uchaguzi mkuu in NEXT 15 YEARS AFTER 2015.Ukweli...
  11. N

    As a nation.... We are on the loosing batle

    Baada ya TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI kuahirisha uchaguzi mkuu katika mkoa wa Dar es salaam mwaka 1995, nilahidi na kuapa kuwa'' sitamuamini mwanasiasa yeyote, sitashabikia siasa,sitapiga kura na nitaiangalia siasa na wanasiasa kwa umakini mkubwa''''' nashukuru nimesimamia hapo hapo tangu kipindi...
  12. N

    Dini zetu, imani zetu na angamizo la taifa letu--- hii hapa suluhu

    Kama taifa, tunapitia kipindi kigumu na chenye changamoto juu ya utulivu na utengamano wa KITAIFA..migawanyiko mikubwa na ya wazi inaonekana katika jamii kupitia kada zoote kuanzia wanafunzi, wazazi na hata viongozi wa kisiasa na mbaya zaidi imefika hadi katika jumba la wawakilishi(bungeni)...
Back
Top Bottom