Jamani kama unahitaji mke siyo gf, naomba nipm
binti yangu ameniomba nimtafutie, siyo ameshindwa ila ni utaratibu tulio kubaliana naye
uwe mrefu
mcheshi
unaye penda suti
gari lolote jipya dogo
uwe na pesa za kawaida, nyingi si kikwazo
binti yangu anaumri wa miaka 20
ana masters ya sheria...
She constantly makes attempts to touch your hand.
She buys you small gifts for no reason.
She leans towards you when you talk to each other.
She smiles at you a lot.
She laughs at your comments and jokes.
She acts giddy around you.
She mentions activities that you are interested in so...
NINA DIMPLOMA IN SECRETARIAL STUDIES, NA EXPERIENCE YA MIAKA MITATU AS PERSONAL SECRETARY SERIKALI KUU. MWANAMKE WA WATOTO WAWILI NA EXPOSURE NZURI ( MIAKA MIWILI AMERICA). NAOMBA MLIOKO MAOFISINI NISAIDIE . EMAIL: nipekazi@gmail.com
ASANTENI.
Habari wakuu.
Kutokana na desturi zetu, kujamba au kutoa hewa ile chafu mbele za watu si vizuri na mara nyingi wazee wamefikia hadi kusingizia wajukuu au watoto kuwa ndoo wamechafua hewa kumbe ni wao. Ila nasikia (not proved) kuwa wazungu wapo wazi akifyatua hiyo kitu basi anawaambia tu samahani...
WENGI TUNAAMINI KUWA KWA KUTUMIA MAJINA TOFAUTI NA YALE YA UKWELI HATUWEZI KUJULIKANA. lAKINI BADO HATUJUI NANI WANAENDESHA HII JF. KWA MFANO WATU WENGI WAMETUMIA EMAIL ZAO ZA KWELI KUJISAJILI JF, KITU NINACHO ONA NI HATARI NIKIZINGATIA WATU WANAVYO TOA MAONI YAO. CHA MSINGI KAMA UMETUMIA JINA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.