Search results

  1. mop

    Mitazamo ya Wazee Vijijini Kuhusu Sakata la CAG na Spika

    Vipi hao wazee maruani hawakukuuliza pia lile gari la Chadema lililomilikishwa kwa Mbowe utaratibu upoje?
  2. mop

    Catherine Ruge: Serikali ya awamu ya 5 imevunja rekodi ya kukiuka Sheria ya Manunuzi ya Umma ya 2011

    Uko sahihi,pia hiyo ni sheria inayochelewesha mambo na ni sheria ya wapigaji waliojiwekea
  3. mop

    Katika kila watu 10, Kuna Wana CCM 7

    Hiyo research yako ina kasoro, Ukweli ni kwamba Magufuli atashinda kwa zaidi ya asilimia 90
  4. mop

    Mamlaka ya Mapato(TRA), imefanikiwa kukusanya Shilingi Trilioni 11.96 katika kipindi cha Miezi Tisa

    Ngoja Zitto Kabwe aje na figure zake sijui anazipataga wapi
  5. mop

    Bunge Leo laahirishwa Sababu wabunge wa CCM wanaenda kufanya kazi za chama na posho wamechukua

    Hata wakiwepo Bungeni wanakula pesa za walipa kodi bila kazi yoyote,acha waende tu
  6. mop

    Zitto Kabwe: Zaidi ya Watanzania 380 Wanatajwa ‘Kupotezwa’ MKIRU

    Zitto aliache jeshi la polisi lifanye kazi yake aache kuliingilia. Suala la uhalifu si kitu kidogo na uchunguzi unahitaji umakini mkubwa
  7. mop

    Wakili Jebra Kambole: TLS siyo mali ya umma, haijawahi kuwa mali ya umma na haitakuwa mali ya umma

    Nahitaji kujua,' Ilikuwaje TLS iwekewe kanuni mpya kabla ya uchaguzi wa majuzi kwamba Rais wa TLS asiwe kiongozi wa chama cha siasa?" Ni nani aliweka hiyo kanuni? Ni nani anaikontroo TLS?
  8. mop

    DR Mollel wa Siha aicharanga CHADEMA kwa takwimu. Atoa ushuhuda mzito

    Acheni hizo basi, wanachadema wengi hatuna ajira tunategemea hiyo michango ya wabunge kuendeshea maisha hapa mjini
  9. mop

    Askofu Stephen Munga: KKKT kamwe haitamuacha mkuu wa Kanisa adhalilishwe

    Mwanahabari Huru Hamkuongea lugha ya Mtanzania wa kawaida bali mliongea lugha ya viongozi wa Chadema pamoja na yale majizi ndani ya nchi yetu, Siku hizi ktk makanisa ya KKKT harambee zimebuma ndo maana mna hasira ya kukosa pesa za wizi. Mbona Watanzania wa kawaida tuko poa tu,tunaendelea kupiga...
  10. mop

    Peter Msigwa: Nipo tayari kupima DNA na mwanamke aliyedai nimezaa naye

    Kuzaa nje ya ndoa siyo issue,tatizo ni pale unapozalisha lkn ukakaa juu kumtunza mtoto
  11. mop

    Peter Msigwa: Nipo tayari kupima DNA na mwanamke aliyedai nimezaa naye

    Hawa Wachungaji na Maaskofu wanaoishi kwa kutoa nyaraka wasikupotezee muda mkuu, Fanya mambo yako
  12. mop

    Peter Msigwa: Nipo tayari kupima DNA na mwanamke aliyedai nimezaa naye

    Hakuna mtu muongo na mnafikia kama Mchungaji Msigwa,alituambia kwamba atakayemshabikia Lowassa akapimwe akili, cha ajabu yeye ndo akawa ktk watu wa mwanzo kumshabikia Lowassa na akili hakupimwa,kwa mantiki hiyo Msigwa ana matatizo ya akili
  13. mop

    Yaani copy right haihitaji DNA ,damu ina nguvu sana

    Nashukuru Mungu nimekutana na huyo demu leo mitaa ya Posta ya zamani,hakina naanza kuunusa utajiri toka kwa Babu Lowassa
  14. mop

    Peter Msigwa: Kuna propaganda za makusudi kujaribu kunichafua kuwa nimetelekeza Mtoto Dar es Salaam

    Msigwe atulie maana alianza kujihami mapema kumbe alijua na yeye ana kimeo, hapo kabla nilidhani jogoo wa Msigwa hawiki kumbe yuko fit, asubiri DNA itaamua
  15. mop

    Wakili Jebra: Kama kupambana na wizi wa rasilimali ni kuzungusha ukuta, zungusha nchi nzima

    Tatizo letu wapinzani tumekuwa watu wa kubeza kila jambo. Suala la migodi kuzungushiwa ukuta ni jambo la kawaida kabisa tena kuna migodi mingine ina kuta zaidi ya moja,nenda Buzwagi,Bulyanhulu,Stamigold,North Mara,Geita kote huko kuta zimezungushwa tena zimewekewa na umeme. Jebra Kambole...
  16. mop

    Nimepata msichana mwenye mwanaume mwingine

    Mkoani ndo wapi huko?
  17. mop

    Dodoma: Juliana Shonza aitwa mahakamani kutoa Ushahidi dhidi ya mbunge mwenzake, Saed Kubenea

    Inaonekana huko Bungeni Wawakilishi wetu wanapiga ngono tu maana kila ntu na ntu wake
  18. mop

    Dodoma: Juliana Shonza aitwa mahakamani kutoa Ushahidi dhidi ya mbunge mwenzake, Saed Kubenea

    Eddy Sheggy alishiriki kuimba tu ila wimbo ulitungwa na Madaraka Moris.... Njata njata hiyoooo....!!!
Back
Top Bottom