Search results

  1. A

    Kwanini wanalaumiwa Polisi na siyo Hamza?

    Hapana haingii Akilini.
  2. A

    Rais Samia akutana na Wahariri wa Vyombo vya Habari - Juni 28, 2021

    Muwe mnatumia Akili basi. Iv lisu ndo kasema haya au mtoa posti ndie kashauri haya? Unasema utadhani lisu ndie Alie Sema haya mane. Pambana na mtoa posti sio Lisu.
  3. A

    Rais Samia, tunaomba Wakuu wa Wilaya wa Tarime na Rorya watoke vyombo vya ulinzi na usalama

    Rorya hakuna shida kabisa tulikua hatumtaki tu ODUNGA Alikua ni uzao wa mwenda zake alaf hakuna na uwelidi wa kazi. Tuacheni na chopanga wetu lakini sio hawa walioletwa kwa ajili ya kukomesha au kudhoofisha chadema.
  4. A

    Natafuta mwanamke wa kuenjoy maisha

    Mimi nakubali kufanya hivo unavotaka, Lakini kama ni kuenjoy tu naruhusiwa kukupenda na kukuonea wivu? Maana nikishaamua kufanya yote unavotaka lazima karoho kataniuma nikikuona na mtu mwingine.
  5. A

    Diamond Platinumz huenda akatolewa kwenye mchakato tuzo za BET

    Ivi ndiyo style tunayo katika nayo wanachadema, Alivokua anamkatikia magufuli alidhani sisi hatuna viuno vya kukatika, hii ndiyo style yetu ya kukatika, Fyekelea mbali Swain.
  6. A

    Diamond Platinumz huenda akatolewa kwenye mchakato tuzo za BET

    Kama wana ccm ni wengi kiasi hicho wy ashindwe? Weka Kando alivokua anamkatikia magufuli alidhani Sisi hatutageuka wachawi mwisho wa siku?
  7. A

    Yusuf Manji arejea Tanzania

    Sasa waKati alipoondoka akaacha kufanyabiashara ww ulifaidikaje? Na wakati huu amerudi ww utapungukiwa na nini au utaongeza nini kwako?
  8. A

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Brother K ndani ya Shira
  9. A

    IKULU, Dar: Rais Samia Suluhu apokea hati za Mabalozi

    Sasa unata katufanyeje? Shida ni kwamba Matatizo hayaishi! Matatizo yanapungua tu Magufuli amekufa tumefurahi sana. Heri matatizo mengine ya kimaskini, Lakini sio matatizo ya mauaji.. Magufuli ameua watu Sana tena watu muhimu kwenye familia zao. Mungu Fundi
  10. A

    Tundu Lissu: Samia ni Malkia mwenye kauli tamu

    Magufuli chali Amsterdam wanini Nyani?
  11. A

    Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Kamkumbuke Hayati Mama yako Kule tuache na mama yetu. Wewe unazijua hotuba? Bwege Kabisa.
  12. A

    Kwako Tundu Lissu, wote wanaofanya vita juu yako watakuwa si kitu, utawatafuta wala hutawaona

    Kama nayeye anafanya jaribio la kumuua mtu, aukuwaonea watu, basi hao ndio watakua washindi. Lakini kwa sasa Rais Lisu ni Mshindi.
  13. A

    Rais Samia: Mijadala Bungeni haina afya kwa Taifa. Tufanye kazi kama Bunge linavyotakiwa kufanya kazi

    Ndugai anabadilika kama kinyonga. Akina Alima Mdee wako pale kwa Teketi ya Chama kipi? Rais Samia Tunakuamini, Fanya Kweli.
  14. A

    Rais Samia Suluhu Hassan na Rais Hussein Mwinyi kuwa wageni Rasmi Kongamano la Viongozi wa Dini nchini

    Sasa ukome kusema watanzania. Sema Magufuli ataishi zaidi kwenye Moyo wako. Mtanzania ni mimi ambaye Magufuli hawezi kuishi hata kwenye kope langu.
  15. A

    Baada ya kutoka Mo Dewji, Rostam Aziz na Freeman Mbowe kuna Bilionea gani aliyebaki Bungeni?

    Lakini ukae ukijua kua ile bilikanas aliovunja mwenda wazimu wa kuzimu,ilikuwepo tangu na tangu.
  16. A

    Bado kuna baadhi yetu tunaishi kivuli cha marehemu

    Mimi simkumbuki Magufuli nakumbuka kodi zangu,alizochukua nyingi na kibabe. Na hizo kodi zangu ndo imejenga kilakitu sio Magufuli. Nikiona barabara nasema kodi zangu zimefanya kazi na sio magufuli
Back
Top Bottom