Search results

  1. M

    My Wife wa rafiki yangu anataka nimchakachue

    mkuu ninakupa thanks hapo
  2. M

    Maandamano: Maswa hapatoshi umati mkubwa sana

    picha tafadhali jamani
  3. M

    Kikwete anaongea na watanzania gani?

    amekwisaha mkwere watanzania hatuna hofu ya usalama asitake kutupandikizia hofu zake za kupoteza uraisi
  4. M

    Maandamano: Maswa hapatoshi umati mkubwa sana

    peoples powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
  5. M

    Hivi Kikwete hachukiwi na wasomi tu?

    Nahisi sasa tanzania kilichobaki tunahitaji mtu wa kututekenya na kutuorganize tuanzishe liberation square yetu mkwere aende kwao
  6. M

    Hivi Kikwete hachukiwi na wasomi tu?

    Jamani nilikuwa najua watu wanaompinga kikwete na utawala wake ni wasomi wengi wao kumbe hata watu wa kawaida wanaona hali ya hewa ilivyo na wamesoma alama za nyakati. Nilikwenda kumchukua wife wangu salon moja huko sinza na leo mkulu karudi television karibu zote zimejaribu kumuonyesha airport...
  7. M

    Kamati ya Januari imehongwa na Brigedia Al Adawi?

    chonde chonde mnyika ingia kwenye hii discussion
  8. M

    Maelezo ya mkutano wa Al-Adawi na Ridhwan Kikwete

    kazi ipo bongo safari bado ni ndefu na humu JF watu wanabishania vitu vya kipuuzi wewe umepewa taarifa tu tafakari mwenyewe ukweli utajulikana tu.Mtoto wa raisi anakutana na mtu mwenye utata Tanzania hii na wengine wanaona wala haina neno jamani.
  9. M

    Ndesamburo words to JK

    aliongea kwenye jukwaa walivyopigwa mabomu arusha mmesahau?
  10. M

    Mlipuko ulisababishwa na kombora kutoka nje?

    ukweli sasa kujulikana tutulie maana vitu vimeanza sasa semeni wanajamii mliona nini
  11. M

    Misri, Tunisia na sasa Iran mfano wa "mapinduzi ya kizalendo"

    niambieni tunakusanyikia wapi?
  12. M

    Lema akwepwa; Atakiwa kuleta ushahidi kwa maandishi siyo kuhutubia!

    hUYO KALAGABAHO NDIO MWANACCM WA WAPI? HATA KWENYE UKWELI ANAPINDISHA MANENO?ACHA UNAFIKI UMELEWA? KINACHOTAKIWA NI LEMA AWASILISHE USHAHIDI WAKE WEWE UNASEMA CHADEMA TUMEPOELEKA WAHUNI WAHUNI WAKO WAPI? WE UNA AKILI KULIKO WATU WOTE WA ARUSHA WALIOMPA LEMA USHINDI.SHAME ON U, MWANGALIE VILE...
  13. M

    Hatimaye Mubarak aachia ngazi!

    Yaani hawa jamaa walikaza kwa kweli 18 days mmeacha mambo yenu mpo liberation square huu ndio uhuru kamili wa wananchi hakuna mjadala. Leo hii kweli twaonekana waoga ilka siku yao ipo patakuwa hapatoshi. Leo wanaccm akina makamba, tambwe na mkwere hawapati usingizi wamejua nguvu ya umma sasa...
  14. M

    Vitendo ndani ya School buses!

    watu wengine bwana mtu atunge story kwa maslahi ya nani humu ndani jamvini jaribu kuwa serious watu wanaongea vitu vinvyotokea mitaani
  15. M

    Mrithi wa Richmond auza mitambo

    Kilichobaki sasa ni kuchapana tu nchi hii naisubiria
  16. M

    Sarah Simbaulanga: Mwanamke wa kwanza kuiba pesa ndefu katika historia ya benki zote nchini

    Nilikuwa mdogo nalikumbuka hili jina long time kitambo.
  17. M

    As the revolt in Egypt spreads....

    Huyu nae katokea wapi tena post ya kwanza tu?
  18. M

    Anguko kuu la Kikwete na CCM, dalili zimeanza

    kwenye skynews jamaa waulizwa kwa nini wanataka raisi wao aondoke, wanakwambia no food, no money and no home he has to go" na wanaongea kwa uchungu hatari kweli watu wakichoka hakuna jinsi, inakuja hii tanzania
Back
Top Bottom