Search results

  1. K

    Elections 2010 Hili nalo litalipuka hivi karibun....maana linafukuta jikoni

    Kutokana na chanzo kilichonitonya habari hizi kuwa ni cha idara nyeti ya serikali naomba kutoa hoja kama ifuatavyo: Katika kukurukakara za kujiandaa na uchaguzi huu wa mwaka 2010.. kuna habari kuwa kuanzia mwaka 2005 waziri mmoja wa awamu iliyopita ambaye ana mkono wake TICS alianza kulipwa...
  2. K

    Elections 2010 samuel sitta kupewa uwaziri kama kifuta jasho..na mzee wa kaya

    wana kaya kuna tetesi katika pita pita yangu kuwa mkuu wa kaya anataka kumpatia mh. 6 uwaziri fulani ilikumpoza na machungu ya kukosa nafasi ya kugombea uspika wa JMT kwa tiketi ya ccm.
  3. K

    Elections 2010 ya lacairo haya hapa aibuuuuuuu

    bado tunataka kipi zaidi
  4. K

    Elections 2010 mungu wangu!!! hii haivumiliki wajitetee na hii kwenye vyombo vya habari.......

    wanasema ukila na kipofu usimshike mkono...hii sisiem wamewashika mkono watanzania wengi mno na hakika dhambi hii haitawaacha milele.. iko humu humu Jf ni kuhusu mkutano wa la cairo. hutaamini dharau tunazofanyiwa
  5. K

    Elections 2010 HUYU NDIYE KINARA WAO......alitia mguu kila jimbo lenye utata..

    Ukifuatitilia kwamakini utakuta kuwa majimbo yote yaliyokuwa icu upande wa ccm na yakachakachuliwa kuyarejeshea oksijen, mzee marope ndiye aliyetia timu na kulazimisha kutangazwa matokeo tofauti wakiahidi ulinzi kwa watangazaji na mengine mengi. mf. shinyanga mjin, kibaha mjini na mengine mengi...
  6. K

    Elections 2010 hawavumi kumbe nao wamo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!rizi wajk,rost azim na......

    juzi na jana watu wengi maarufu na ambao wakikohoa tu vyombo vya habari vinaandika hatimaye wanadai kuwa DR Slaa anazeeka vibaya we riz wa jk, we rost azim nyie uhai wa inji hii kweli leo Dr.Slaa huyu huyu mzee wa data na ushahidi unaowakoroga serikali mahali anapokuwa anautolea maana unatoka...
  7. K

    Elections 2010 Nec nec nec nec nec! Kila kona inamalizia majimbo 63 now

    NEC inaendelea kutangaza matokeo ya majimbo 63 ya uchaguzi yaliyobakia kwenye vyombo vya habari sasa hiv, source star tv
  8. K

    Elections 2010 kihaha mjin ilichakachuliwa kulinda ajira za wakubwa...hali bado tete kwa wananchi.

    tetesi nilizozipata kwa siku nzima ya jana kufuatia matokeo ya utata yaliyotangazwa kwa mizengwe ubunge kwa jimbo la kibaha mjini ni kama ifuatavyo: kasheshe ilianzia kwenye kura za maoni za ccm...ambapo alipita mh. s.koka na ikidaiwa alihonga sana. lakin kamati kuu ya ccm makao makuu ilikuwa...
  9. K

    Elections 2010 kwanini!!!! why!!!! ccm kwenye majimbo iliyoshindwa inaweka ngumu kukubali kushindwa?

    hii haijakaa njema ccm inatangazaa kukubali matokeo waliposhinda wao kiulaini lakini hali inapokuwa ngumu wao ndo wa kwanza kkuweka ngumu,,,,,,,,,,,,hii haijatulia
  10. K

    Elections 2010 mchakachaka jimbo la kibaha mjini!

    wana ccm wahaha kumuomba aliyekuwa mgombea kijana kabisa na machachari wa chadema Mh. Habib Mchange asitishe wazo lake la kupinga matokeo. yadaiwa mawasiliano yafanywa kutoka uongozi wa juu wa chama cha ccm. kijana agome mngindo na mzaliwa wa hapahapa kibaha mjini akataa katukatu.
  11. K

    Elections 2010 Masanduku ya kura yadaiwa kuingizwa kinyemela Kibaha

    inadaiwa masanduku kadhaa ya kura yaliingizwa katika ofisi ya msimamizi wa jimbo na form fake za kutangazia matokeo. hali iliyosababisha wasimamizi wanne wa vituo fulan fulani kuitwa kwa mahojiano. lakin ikagundulika hiyo ilikuwa janja ya nyani kwani kutoka chanzo cha ndani kabisa hayo masanduku...
  12. K

    Elections 2010 hizi computer za kuhesabia matokeo mmmh!

    jamani hizi computer za kuhesabia matokeo mbona ndo inaelekea ndo tayari zimeshachakachuliwa? huyo IT kishoka alitoka wapi na katika tetesi zangu hao wanaozitumia kuhesabia hawana ujuzi nazo
  13. K

    Elections 2010 Ndio mzee imefika mwisho bungeni...

    hali ya uwanja wa utetezi bungen inaleta raha usipime, jaribu kuvuta picha, huku mnyika, huku silinde, huku g, lema, huku wennje,hukku mh. mrII, huku shibuda,kona hii mbowe, kona ile salakana, kule napokiboko nyerere, huku tundu lissu, huku mdee na wengineo kibaooo........... tupen raha wanyonge...
  14. K

    Elections 2010 Kwanini JK hakutaka kupoteza jimbo la Kibaha Mjini?

    yadaiwa mgombea wa chadema alitakiwa kupewa mil. 270 alikataa. baadaye inasemekana ujumbe kutoka kwa jk ulikutana na mgombea wa chadema na kumuahidi kumpa bil. 1.2 aachie jimbo akakataa
  15. K

    Elections 2010 Huu kweli ni uchakachuaji...

    kwann majimbo ambayo ccm ina hali ngumu matokeo hayatangazwi mapema hata kama yapo tayari? nayanapotangazwa yanakuwa na mashaka?
  16. K

    Elections 2010 vyanzo vya uchakajuaji vyaanza kubainika

    visiga yadaiwa kuongeza idadi ya wapiga kura zaid ya waliopiga kura idadi iliyopelekwa jimbon
Back
Top Bottom