Search results

  1. M

    Dr Slaa Apinga Matokeo Yanayoendelea Kutangazwa na Tume

    Sasa kama anafanya utani. Kwa trend ilivyokuwa hata kwa kujumlisha jimbo kwa jimbo bado Dr. Slaa kura zake ni chache ukilinganisha na za JK. Kwa hiyo anapotoa hilo tamko ambalo ni batili nadhani anachochea machafuko yasiyo ya lazima. Mtoa mada pale juu anatamani kuwe na machafuko kama...
  2. M

    Lawrence Masha - Mfano wa Ulevi wa Madaraka. Ajitangaza mshindi Nyamagana!

    Huyu bwana anasema amepita bila kupingwa kumbe ilikuwa danganya toto. Cha moto amekiona na nadhani hatarudia tena. Ulikuwa ubunge wake wa kwanza na wa mwisho!! Hahahahahahahahahahahahaha. Huyu jamaa baba yake alikuwa UDP na acyually huyo mzee walikuwa ndiyo waasisis wa mageuzi ya vyama vya siasa...
  3. M

    Elections 2010 Kwa Mzee wa Speed Na Viwango Vipi?

    Sijasikia lolote juu ya matokeo jimbo la Urambo kwa Mzee Samweli Sitta. Kulikoni? Au maji yako shingoni??
  4. M

    Elections 2010 Yanayojiri huko Shinyanga

    Je hizo taarifa ni za kweli? Maana mpaka muda mfupi uliopita nilikuwa pale kwenye sehemu wanapohesabu kura msimamizi alikuwa hajatangaza. Mimi nadhani tusubiri hatima yao itakuwaje. Mapaka kitaeleweka tu!!!!
  5. M

    Elections 2010 CONFIRMED: Azizi Abood ashinda kwa kishindo Morogoro Mjini

    Huyu fisadi wa mabasi ya Dar Moro Mhe. Aziz Abood ameweza kutumia utajiri wake kununua wapiga kura. Ameshinda kwa kishindo kuwa mbunge wa CCM 20010-2015
  6. M

    Elections 2010 Matokeo ya ubunge Mtwara, Masasi, Manyoni na Tandahimba

    Hao wote wezi tu. Hakuna lolote pale. CHADEMA hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee1!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  7. M

    Elections 2010 Wasira ashinda kwa kishindo

    Amechakachua kura. Huyo jamaa ni mtaalamu wa wizi wa kura!! Mwaka 2015 kitaeleweka. Wakati huo atakuwa amezeeka sana
  8. M

    Elections 2010 Mawaziri waliodondoka uchaguzi mkuu 2010

    1. Prof. Peter Msola 2. Nsanzugwako 3. Getrude Mongela 4. Mary Nagu 5. Mjengwa Maggid 6. Issa Michuzi
  9. M

    Elections 2010 [NOT OFFICIAL]: JJ Mnyika: Tumeshinda kwa zaidi ya kura 20,000

    Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba kijana Mnyika ni Mbunge wa Ubungo kuanzia leo. Ameshinda kwa kishindo na watu wote wamelipuka kwa shangwe. Pale Loyola kwa sasa hapakaliki!!
  10. M

    Elections 2010 Slaa yuko wapi?

    Anajiandaa kwenda Ikulu. Mwishoni mwa week hii ataapishwa kura rais wa Tanzania kwa awamu ya tano. Na Mhe. Mbowe ni Waziri Mkuu na MHe. Joseph Mbilinyi akiwa waziri wa utamaduni.
Back
Top Bottom