Search results

  1. S

    Rais Magufuli amteua Dkt. Maduhu Kazi kuwa Mkurugenzi wa TIC

    Nyakyusa from Mbeya 🤷‍♂️
  2. S

    Mbunge wa Busokelo kutohudhuria usomwaji wa bajeti kuu imekaaje?

    Hivi Mbunge wa Busokelo jina lake nani?sijawai kumsikia akichangia hoja bungeni.weka picha tafadhali.
  3. S

    Hili la kuapisha Viongozi wa Serikali kibarazani nyumbani kwa Rais limekaaje?

    Mtumishi wa umma anatakiwa awe ofisini kwake.Banker anatakiwa awe Benk,polisi awe sehemu yake na hata mtu wa TRA.Hivi hawa wanaweza kufanyia kazi nje ya ofisi kwa zaidi ya mwezi mzima?Na majarada au wananchi wanaotaka huduma yako wakufuate sehemu ulipo? Ghalama za mtu kufuata huduma ya...
  4. S

    Jacqueline Mengi: Maneno ya kashfa na kumchafua mume wangu yamesemwa mahakamani, sikubali usuluhishi hadi yakafutwe

    Wananishangaza sana DrNtuyabaliwe Foundation walikuwa wanajrekebisha maktaba Tandale watoto wa Ntuyabaliwe sasa hivi watachukua Dr Mengi Foundation sasa watoto wa Mengi waende kweny foundation ipi?ye kashika ya marehemu Baba yake na wameshika foundation ya Baba wa wenzake yaani watoto wa...
  5. S

    Rais Magufuli amlipia Tsh milioni 5 mama aliyefiwa na mama mzazi Hospitali ya Muhimbili

    Huyo Mama kama maigizo ya kanisani,nilikuwa naigiza Mama Yesu anapoteswa.
  6. S

    Gazeti la HabariLeo lilivyoripoti juu ya kukamatwa mwandishi Erick Kabendera mwaka 2013

    Stan Bakora kafanyaje na yuko wapi kwa sasa.Sorry niko nyuma kwa swala hili.
  7. S

    Rais Magufuli kuongoza kongamano la korosho, mkoani Mtwara

    🙆‍♂️🙆‍♂️ lipo ila Tanzania nadhani.
  8. S

    Tuwalaumu TRA ila tusisahau kua hakuna mfanyabiashara anaependa kulipa kodi Duniani

    Senate wabunge ndio wabadirishe sheria tra no implementer
  9. S

    TRA wakifuata sheria za kodi kikamilifu, wafanyabiashara wengi tutafirisika

    🙏 Nadhani tungetoa mapendekezo kama hivi ili sheria ibadirishwe na bunge ikasainiwa na Mzee baba.TRA hawawezi kubadiri sheria mwenye uwezo huoni bunge.sasa je bunge litafanya maana ata wenyewe suluhisho Lipo mikononi mwao.
  10. S

    Tafakuri ya FaizaFoxy 2: Korosho

    Nakubaliana nawe muhenga mwenzangu.Tafakuri Tandahimba kuna kiwanda kikubwa cha kubagua Korosho kinaitwa AMAMA FARM ni m Sweden ila changamoto kubwa waliyonayo ni upatikanaji wa Korosho ghafi. Mwaka huu alifunga kiwanda alipokosa malighafi akitangaza kukiuza.Na sasa ameshindwa kabisa malighafi...
  11. S

    Rais Magufuli amteua Innocent Bashungwa kuwa Waziri wa Viwanda, Edwin Mhede kuwa Kamishna Mkuu TRA

    Wa 5,Bade,Mpango,Kidata,Kichele na sasa kawekwa Edwin.
  12. S

    Tafakuri ya FaizaFoxy: CCM imetegwa ikategeka?

    Mamdemi siku hizi simuoni
  13. S

    Shamim Mwasha, mumewe mbaroni Dar kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya

    Bado Jana 27/5/19 alikuwa kisutu upelelezi haijakamilika na kesi haina dhamana. Nadhani itasomwa tarahe 10/6
  14. S

    Kisutu: Shamim Mwasha na Mume wake, Abdul Nsebo(Abdukandida) wapandishwa Kizimbani

    Shosti zake hakuna aliye tokea mahakamani. Leo anaficha sura.Mungu nusuru watotowetu.
Back
Top Bottom