Search results

  1. bokassa

    Ndege ya precious Air yashindwa kutua Dodoma

    Breki za ndege ni injini zake, injini moja inapofail ni kuwa uwezo wa kusimama haraka unapungua...walirudi Dar kwakuwa uwanja ni mrefu hivyo inawahi kusimama kabla hamjafika ukutani....ingetua Dom ingesimamia Kisasa!!!
  2. bokassa

    Mmejitahidi sana sana kumtetea BABU (Dr. Slaa), lakini...

    Mwenezi unapiga nyoka kichwani!!! Hivi keshabariki ndoa huyo mzeee!!?? au anaogopa kuingilia uhuru wa mahakama?? Navuta picha ktk dunia ya alinacha kuwa, Padri Silaha eti ndie rais wa jamhuri halafu Fest Ledi wetu anaburuzwa mahakamani kujieleza kwanini kasaliti ndoa!!!
  3. bokassa

    Kwanini Nape haitwi au haalikwi kwenye midahalo Nkhrumah?

    Akienda, watadanganyaje??
  4. bokassa

    Mnyika ataja orodha ya mafisadi na wahujumu wa TANESCO

    Mnyika nikikusoma namkumbuka mzee Andanenga!
  5. bokassa

    Mzee Mtei hajafilisika mawazo - kasema ukweli

    Niliuliza "Kulalamika waislamu wanapendelewa dhidi ya wakristo ndio msimamo wa chadema mpaka Zito aonekane anahujumu chama kwa kukemea udini wa Mtei?" Na je utetezi wa religion balance wa muasisi Mtei ni Ktk Mambo yepi? Kila idara ya serikali au tume ya katiba tu? Hizo idara nyengine wakristo...
  6. bokassa

    Mzee Mtei hajafilisika mawazo - kasema ukweli

    Tunataka kuongea na wenye akili sasa!! we hamia kwenye thread ya kanumba!!
  7. bokassa

    Mzee Mtei hajafilisika mawazo - kasema ukweli

    Jibu hoja Kid!!!
  8. bokassa

    Mzee Mtei hajafilisika mawazo - kasema ukweli

    Mzee Mwankijiji sijakusikia kwa hili? Upo kambi gani?
  9. bokassa

    Mzee Mtei hajafilisika mawazo - kasema ukweli

    Kulalamika waislamu wanapendelewa dhidi ya wakristo ndio msimamo wa chadema mpaka Zito aonekane anahujumu chama kwa kukemea udini wa Mtei? Mtei mtetezi wa religion balance Ktk Mambo yepi? Kila idara ya serikali au tume ya katiba tu? Hizo idara nyengine wakristo pia wachache au kuna balance kati...
  10. bokassa

    Mtei amefilisika kimawazo - Zitto

    Another Mtei!!!!!!
  11. bokassa

    The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

    Kuna kipindi alikuwa anadai Al-kaida ndio wanamuandama je ndio waliomuua, NTC au NATO? Lakini bora yeye kama wamemdungua risasi maana mwenzie Mugabe wanamuua kwa utapia mlo!!!!!! New world order! Teh teh theeeee! Na tushangilie wajameni!
  12. bokassa

    Tanzania Daima: Kama CHADEMA ni Wachagga, CCM ya Waislamu?

    Mkuu, hakuna takwimu (statistics) zinazoweza kuthibitisha hilo. Kwanza kwakuwa wengi wa hao wanaoiunga mkono Chadema si wanachama bali ni mashabiki tu (kama ambavyo ipo kwa vyama vyengine). Pili, kila mtu anajua kuwa Dini au Kabila haikubaliki kuwa kigezo/itikadi ya kumfanya mtu kufuata chama...
  13. bokassa

    Tanzania Daima: Kama CHADEMA ni Wachagga, CCM ya Waislamu?

    Chadema si chama cha wachaga bali wachaga wengi wanaiunga mkono chadema. Kwa CCM waislam na wakiristu ni kama wapo sawa tu. Pengine mwanakijiji angesema basi na CUF ni chama cha waislamu hapo angepatia lakini si kuifananisha CCM na Chadema. Ukweli ni vigumu sana kukioanisha CCM na dini...
  14. bokassa

    CHADEMA wanani dissapoint kwa kweli

    Wazungumze nini kipya? Kwani kilicho wapromote si ni WAPE WAPE (CCM) VIDONGE VYAO!!!! Nikiwaona viongozi wa chadema jukwaani namkumbuka marehemu ISSA MATONA au JUMA BHALO!:smow:
  15. bokassa

    CCM Wameishika CHADEMA PABAYA...

    Teh teh teh :dance::dance:, aliyepost hii inshu yaonekana amewashika pabaya wana cdm hata humu JF pia! Jamani kama uwezo wa kwenda Samunge hamna bora mshushe presha, mtaja kufwa bure!
  16. bokassa

    Wapagani wa Arusha Hawamtambui Meya

    Bwasheee, aliyemwaga damu za watu ni Mbowe aliyelazimisha kutembea! Hivi si aliwahi kugombea uraisi huyu? haki ya nani angetuuwa! Eti anajifanya mbabe, kaswekwa selo anahangaika kuomba watu waje wamtoe lupango! Wenzake wamepoteza roho yeye kukaa selo usiku mmoja tu kashindwa, mwambieni aache...
  17. bokassa

    Ma sheikh arusha wamtambua meya wa arusha

    Mkiambiwa udini upo mnang'aka, haya sasa kazi kwenu! Kwa hili nampa tano Chitanda, wavue tu majoho yao waingie CHADEMA! Hamna mswalie mtume hapa, ebooo!!!!
  18. bokassa

    Elections 2010 Ni nani aliyeingiza udini kwenye kampeni hizi?

    Chanzo Maaskofu!!!!! Kwani hamjui CHADEMA walikuwa wanapiga debe kanisani? Hamuoni maaskofu wamekuwa wakali arusha? kama si dini ktk siasa kwanini wasilaani mauaji tu? Tena kwa taarifa yenu, naibu meya wa Arusha katangaza kujiuzulu Kanisani badala ya kwenda kuwaambia walio,chagua! Eboooo...
  19. bokassa

    Zito abadili dini

    Sio kuwa ili uwe president wa CHADEMA lazma uwe Mkatolic? Kama ni kweli itakuwa unauvizia uenyekitiki, maana wakati ule alipotaka kugombea walimtoa nduki. wenye akili tulishajua sababu ndo maana hata maaskofu hawakulaani uvunjifu ule wa demokrasia!!! Karibu Catholic Zitto!!!!!!
  20. bokassa

    Habari katika picha: Kilichojiri Arusha Jan 5, 2011

    Mkuu ulikuwepo wakati mabomu yanarushwa? Hivi chadema wapo Arusha tu? Mhhhhh, kweli wajinga ndio waliwao!
Back
Top Bottom