Search results

  1. Panneta

    Kalenda ya mtawala Caesar na Papa Gregory

    Huwa nashindwa Elewa sababu ya mwezi February Kuwa na siku chache ukilinganisha na miezi mingine
  2. Panneta

    Maprofesa na wasomi kutoka UDSM ukilinganisha na wale kutoka SUA: Teuzi nyingi zimelenga wanaotoka UDSM

    Umkabidhi Wizara Mama Peleka, smh!!! hali inaweza kuwa tete
  3. Panneta

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Vitu gani vya ziada vya Kwenda navyo Kule?!!
  4. Panneta

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Vitu gani vya Muhimu vya Kwenda navyo Kule?!!
  5. Panneta

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    1 December baba, 4days to go... Soldier box iko full loaded nasubiria Amri na Siku tu Kuzama Kikosini!!!
  6. Panneta

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Shukrani Mkuu, tuibie Ronja Kidogo nini tutegemee kukutana nacho Mafunzoni!!!
  7. Panneta

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Bob Hivi Kuna Mabio Marefu JAKATA?!!
  8. Panneta

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Na inachukua muda gani toka Officer mwenye Nyota Mbili Kuwa na Cheo Hicho Mpaka Kwenda Course ya Company Commander (Captain)?!!
  9. Panneta

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Watu wanakata Tamaa na JAKATA sababu wanachukulia kama ni kichaka cha Ajira, you will be disappointed Kama utaenda na Expectations za Ajira.
  10. Panneta

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Nani alikwambia JKT Inaajiri?!!
  11. Panneta

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Jeshi halina Double Standard, Kama Umeamua Kwenda Jeshi Tambua ile ni Kazi ya Kiume... Kama wewe Mayai bakia home endeleaKula Mayai ya Kuku Uwafugao hapo Nyumbani.
  12. Panneta

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Swali la kibeto sana hili mkuu
  13. Panneta

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Kama Una Uzoefu Kidogo na hizi Issue, Hebu tuibie Ronja Kidogo, nini tutegemee huko JKT, nikiwa na maana Ya mafunzo na shughuli za siku kwa siku Vikosini?!!!
  14. Panneta

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Umesomeka Kaka shukrani kwa Taarifa
  15. Panneta

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Hujaeleweka Vema hapo kwenye form zilizorudishwa Mkuu ebu fafanua kidogo!!
  16. Panneta

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Majeshi sana hii, tutakutana mbele ya safari Bob...... Mafinga hii!!!
  17. Panneta

    Kupitia hii kitu leo nitajua ni Members wangapi / gani wanajua Soka haswa!

    Xavi hernandez a. k. a the Living Legend, tuulize alifanya nn pale Wembley United tukifa 3-1 Finali ya UEFA
  18. Panneta

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Mkuu Kikosi Gani Unaenda?!!
  19. Panneta

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Mkuu Mbona Unaiharibu Lugha Yetu adhimu ya Kiswahili Kwa Makusudi?!!
Back
Top Bottom