Wakugoogle unayasema hayo labda kwa sababu hujawahi kupata shida kubwa ya matibabu katika familia yako.
Nataka nikuhakikishie kwamba katika utaratibu wa Bima ya Afya ndani ya AFRICA.......NHIF-TANZANIA inaweza kuwa the best compared na mifumo ya Bima iliyopo Nchi nyingine zote.
Mtumishi wa...
Asante sana....You are realy greatthinker.
Si unaona kama usingekuwa makini kwa sasa Wifi yetu angekuwa tayari na alama ya kidonda ambacho siyo sahihi.
Mi ninachojua serikali na NHIF inajitahidi sana kuhakikisha matibabu sahihi yanapatikana kwa wananchi wake bila kufanya biashara kwenye miili...
Nilichokieleza hapo kipo kwenye soko na kinapatikana bila shida yoyote baada ya wizara kwa kushirikiana na NHIF kufanya maboresho katika kitita chake cha dawa......Nayazungumza haya maana waandishi waliitwa wakati kuzungumzia huduma za dawa za NHIF .
Hivyo hili ni jambo linajulikana na wala...
Pole sana ndugu yangu.
HILI NI LA MKURUGENZI WA WILAYA YA NZEGA ......ILA
KWA KUWA NHIF INAFANYA KAZI SAMBAMBA NA SERIKALI NADHANI MKURUGENZI MKUU HILI AMESHALIPOKEA.
NA tunamwomba ahakikishe anawasiliana na Mkurugenzi wilaya ya Nzega ili watumishi wa Hospitali ya Nzega wanaosababisha...
Pole sana ndugu yangu.
Sasa hilo siyo la NHIF ila ni uzembe wa hospitali husika .....NHIF huingia mikataba na watoa huduma ili waweze kuwahudumia wanachama wake na baada ya huduma NHIF humlipa mtoa huduma kulingana na huduma iliyotolewa.
Sasa wapo watoa huduma ambao wanafanya mambo ambayo...
Mzalendo mwenzangu....kwa nini uwaze Agakhan ambayo ni Zonal level Usiwaze Muhimbili ambayo ni National level?
Leo hii ukienda huko unakowaza wakikushindwa utahamishiwa Muhimbili ambako ukiwa na NHIF Kifurushi unafika bila tatizo lolote.
MI NADHANI TUACHE KUWA MADALALI......
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya hua unatoa matibabu kwa kufuata utaratibu wa serikali na kuhakikisha kwamba kinachotolewa kwa wananchi kama tiba kimefanyiwa utafiti wa kutosha na kwamba hakina maadhara mengine zaidi ya malengo ya Tiba.
Hivyo dawa za Hypertension zipo kwenye kitita cha NHIF na...
Kwa upeo wangu mdogo Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya unatoa huduma dawa zote za msingi kwa wanachama wake na wananchi kwa ujumla, hakuna ukweli wowote wa kuondolewa kwa baadhi ya dawa katika orodha, dawa aina ya intravenous iron sucrose(Iron sucrose Injection) ipo katika orodha ya dawa za NHIF...
Mfuko wa taifa wa bima ya Afya unawajali wanachama wake na wananchi kwa ujumla wakiwemo wajawazito na watoto katika kuzingatia hilo mfuko unatoa huduma za dawa zote zinazotumika hospitali katika kuongeza damu dawa hizo ni kama vidonge vya kuongeza damu (ferrous sulphate + folic acid) dawa ya...
Wao NHIF wamelipokea hili kama lalamiko lakini haina maana kwamba wapo Kimya. UDOM ina wanafunzi Zaidi ya elfu 30 na wote wanahudumiwa na NHIF. Sasa ni jukumu la NHIF kufuatilia na kujua hili lalamiko ni la kweli? Na utaratibu wa upatikanaji wa vitambulisho kila upande ….yaani chou na NHIF...
Jitahidi kuandika ujumbe kwa uvumilivu ukijua hili ni jukwaa la kuelimishana na siyo kutukana.
Utaratibu wa NHIF ni lazima fedha zifike kwao ndo kadi za matibabu zitatolewa. Sasa wewe umelipa fedha ya matibabu shuleni na siyo NHIF. Hao NHIF watakupaje kadi?? Embu jiongeze as great thinker.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.