Search results

  1. M

    TANZIA: Mtangazaji wa Channel ten Cassius Mdami afariki dunia

    Daah! Jamaa nilikuwa nakutana naye sana sinza nyumbani kwake pale karibu na soccer city, alikuwa mtu mkarimu sana. Kweli watu wema hawadumu jamani. Pole sana kwa mke wake Rose Mdami pamoja nawatoto. Mungu awape nguvu na uvumilivu hasa katika kipindi hiki kigumu.
  2. M

    Rafiki yangu aliponiaibisha kwa kumtekenya dereva wa bodaboda!

    Yaani Dunia yaleo watu wana mitego mingisana. Mi niliwahi kumpiga kitu mke wamtu kitandani kwake ila alinitega vbaya sana. Alivizia mmewe amesafiri akakolofisha decoder ya dish ya room kwao then akanipigia simu fundi njoo leo jamani usikose nakuoooombaaaa. Duuh!! Nilipofika tu kwanza...
  3. M

    TRA valuation system ya magari haiko fair

    Umenena sawa kabisa mkuu. Wenzetu wanakwenda kwa fashion na si vinginevyo. Nawala sio kwenye magari tu bali nikaribia kila kitu. Nilikuwa word cup Brazil 2014 niliona mambo ya ajabu sana kwa wenzetu. Jezi za nchi mbali mbali zenye majina ya stars wao kabla ya mechi utakuta jezi moja ni...
  4. M

    Wanaowabeza Polisi mitandaoni ‘kushughulikiwa’

    Daah! Mkuu nimecheka mchana huu nahivi sijauona vizuri inabidi niwahi Kwa mamantilie anijazie ukoko wangu[emoji23] [emoji23] !! Kwamba nimwendo wakusifu tuu!? Hiyo ndo tabia original ya mwafrica ndg yangu. Hata akiwa uchi wamnyama ukimwambia Mzee nyeti zako ziko nje unalo hilo. Anataka umwambie...
  5. M

    Jeshi la Polisi lapiga marufuku mikutano yote ya ndani na nje ya vyama vya siasa

    Mimi nadhani haya matamko badala yakujenga yanazidi kubomoa. Maana kwa kasi hii yamatamko hakuna ajuaye kesho litatamkwa lipi? Wanatujengea hofu zisizo na ulazima wowote. Huku niserikali kujijengea chuki Kwa raia bila kujijua. Maana leo inteljensia imesema hivyo ndani ya vyama vya siasa, kesho...
  6. M

    Mahojiano na aliyenusurika katika shambulio lililoua askari wanne

    Sidhani kama kuna mtu amefurahishwa nahili tukio. Kinachoonekana watu wana maduku duku mioyoni mwao juu yautendaji wa jeshi la Polisi. Kwahiyo nimuda muafaka nadhani kwa jeshi letu kujitathmini upya utendaji wake dhidi ya raia, ili matukio yakusikitisha kama haya yanapotokea wapate sapoti ya...
  7. M

    Muonekano wa moja ya ndege mpya za Air Tanzania

    Mkuu vipi ukishafikia level yakumiliki ghorofa nne au zaidi ukaziuza, pesa zote ukaponda raha navimada hata watoto wako wasiambulie hata mia, then baada ya maisha kukupiga ununue nyumba aina ya Tembe[emoji3] [emoji3] . Kwahiyo jamii inayojua historia yako unataka ikupongeze kwa hatua uliyofikia?
  8. M

    Muonekano wa moja ya ndege mpya za Air Tanzania

    Yaani mkuu hii nchi imejaa mamburula sijui kamatuko sawa na binadamu wengine. Watu wakohumu wanasifia ujinga huu wakati tulishakuwa nashirika kuubwa la ndege, Ccm hao hao na serikali yao wakaziuza kwa bei ya bajaj nahela wakatia mifukoni. Kabla yakusifia huu upuuzi watu tunapashwa kuhoji zilipo...
  9. M

    Odinga umeshapotea achana na Tanzania!!

    Hizi siasa mkuu wakaya asiposhauliwa vizuri nawashauli wake atatuingiza matatizoni najirani zetu Kenya. Haiwezekani eti Odinga ndo swahiba wake, ona sasa anaanza eti kuongelea upinzani wa Tanzania kisa nirafiki wa Rais. Urafiki wao waendelee tu ila anapojaribu kuingilia siasa zetu ajue kabisa...
  10. M

    RC Makonda awaambia watu wa mikoani: Unaruhusiwa kuja Dar kwa ruhusa maalum tu

    Duuh!! Ona sasa mnatoa watu mikoani huko mnawaleta Dar mnawapa vyeo then wanajisahau kwamba niwakuja, ona sasa matamko yao. Hivi wanajua kula chapati kweli hawa watu? Ukiwapa wale siwanakunja tu hawa? Alafu leo wanajifanya wao ndo wana Dar siyo? Bahati yao brother Ditto alishatangulia mbele ya...
  11. M

    Mwalimu Nyerere: Nchi inaendeshwa kwa mujibu wa Katiba, Asiyeheshimu katiba hatufai

    Mkuu ITV nao sikuhizi wamekuwa TBC3. Sijui Mzee Mengi amefika mahala ameogopa kuwa mkweli naye? Kweli Tanzania nizaidi ya tuijuavyo.
  12. M

    Dr. Kigwangala: Sikusoma High School na Ndg. Juma Mwaka, tuhuma zinazosambazwa mitandaoni ni uzushi

    Mh.Naibu waziri huenda unayosema nikweli kabisa tena kweli tupu. Isipokuwa kinachoacha maswali nyuma ni je, inamaana nchi nzima hii Dr.feki ni huyo Mwaka tu? Tupe record ya wengine uliofatilia wewe binafsi huko Kigoma, Mara, Sumbawanga, Namtumbo nk maana wewe niwaziri wanchi nzima hii siyo afisa...
  13. M

    Hatutakubali serikali yetu kuaibishwa na wanasheria wasiojua sheria kama hawa

    Kwa lawama hizi inaonekana ungekuwepo wakati waujenzi wa mnara wa babel ungelaumu kilichowatokea wajenzi.
  14. M

    Kuhusu Kesi ya Ugaidi CHADEMA, Joyce Kiria apuuzwe. Ukweli ni Huu...

    Sikuzote alikuwa wapi huyu sijui nani? Angeyasema haya kipindi kilekile kidooogo ningemuelewa. Sasa pamoja nayote hayo anayodai bado wote yeye na mumewe wakaingia kuwania ubunge kupitia chama hichohicho kilichomfanyia ubaya huo? Kweli mtu mnafiki nimbaya sana. Bora uishi nanyoka ndani kuliko...
  15. M

    Bombardier and Government of Tanzania Sign Purchase Agreement for Two Q400 Turboprops

    Kabla yakushangilia hizo ndege unapashwa kujiuliza kwanza zile tulizokuwanazo ziliendaga wapi? Nani alizihujumu? Yukowapi? Serikali ilimfanya nini? Nk. Maana kwa uholela tulionao nchi hii usishangae baada yamuda nahizo zikapelekwa hukohuko zilikopotelea zamwanzo nabado watu tutakuja humu kutetea.
  16. M

    Nimekuta 74,549,940.36 kwenye account yangu

    Sasa mjini ulifata nini mkuu siurudi tu shamba? Rudi ukawasaidie wazee kilimo cha jembe lamkono. Unaonekana una nyota ya punda
  17. M

    Tundu Lissu afikishwa mahakamani, Mawakili wa Jamhuri waomba wakili wa Lissu awe shahidi wa Jamhuri

    Dah! Umeongea point kubwa sana mkuu. Akiri zakuunga siorahisi kuelewa ulichoongea. Watu wanapenda tu kusifu hata upuuzi ilimradi aliyesema au aliyeufanya nimtu flani. Kumbe wangemkosoa kwakuwa naye nibinadamu may be angejirudi. Ndo watu wenyewe wanchi yetu lakini tutafanyaje.
  18. M

    RPC Singida: Tunawasiliana na TCRA uwezakano wa kumfungia Tundu Lissu kwenye mitandao ya Kijamii

    Yaani nimecheka leo hadi mbavu zinauma...... Huyu RPC anafaa kuingizwa Guinness book!! Hii nikali yamwaka eti.
  19. M

    UKAWA yaanza kutoa huduma za afya bure jijini Dar es Salaam

    Mzazi kukosa elfu10 yakumuandikisha mwanae shule mkuu waulize watawala imekuaje wamekuwa madarakani miaka55 bado wanawanchi wao wanakosa elfu10 kweli? Tatizo ninini?
Back
Top Bottom