Search results

  1. Ntolonyonyo

    Land consultation

    Suala la Ardhi ni suala pana sana na mtambuka, ni suala linalogusa kila mtu kwa sababu kwa namna moja kila mtu anamahusiano na Ardhi ya moja kwa moja au kupitia ndugu, jamaa na marafiki. Pia tunapozungumzia Ardhi..hatumaanishi tu huu udongo tunaouona, hapana...neno Ardhi linabeba vitu vingine...
  2. Ntolonyonyo

    Tunatoa ujuzi na ushauri mbalimbali kuhusiana na uandishi wa research

    Tunatoa ujuzi na ushauri mbalimbali kuhusiana na uandishi wa research. Ushauri hui utahusiana na: 1.Njia za kuandaa na kutambua "Research Title" 2.Namna ya kuandaa "research proposal" 3.Njia zitakazokusaidia katika kutambua na kuandaa "objectives za research" 4.Njia mbalimbali zinazoweza...
Back
Top Bottom