Search results

  1. N

    Orodha ya majina ya wanachama wa CHADEMA walioteuliwa kugombea Ubunge 2015

    Bulayo katangazwa lini na wakati alishinda viti maalum?
  2. N

    Mwigulu,Kampeni Meneja wa Magufuli nimeogopa

    Pia kumbukeni mwigulu nae anagombea jimboni kwake iramba hawezi kuacha mlango wazi mbuzi wale mtama kiurahisi kwake nae atakuwa bize la sivyo atapigwa na Jesca kafulila a.k.a tumbili.
  3. N

    Dr. Slaa kuzindua kampeni za UKAWA

    Ajiandae kutubu nini kakuchukulia mke ?kwenye siasa hakuna uadui wa kudumu wala urafiki wa kudumu .pole slaa yuko fiti kufunga magufuli yote na kumwaga pombe zote.
  4. N

    Nape atoa siri ya kujiuzulu kwa wanaojiita CCM

    Kweli hapo umenena hawataki kabisa kusikia kitu kushindwa wakati umefika hakuna namna .
  5. N

    Kilichojiri uchukuaji wa fomu ya mgombea Urais kupitia UKAWA-Lowassa

    Ni kweli au ni maneno tu jamana mbona nasikia lowasa hana wapenzi Dar ?ana watu wachache ?ila siamini kama anaweza kosa watu time will tell.
  6. N

    hivi Lowasa alipata kiasi gani cha kura Monduli

    Ni jembe kwako na familia yako huku kwetu kawaida sana mkuu.
  7. N

    Tundu Lissu ameanza kuishi kwa uwongo na udanganyifu!!

    Kalela tu maana huna nyimbo nzuri watanzania wa leo hatudanganyiki tena.
  8. N

    Josephine Mushumbusi: Mwanamke aliyeota kuwa na asiye na hadhi ya kuwa First Lady

    Hongera sana josephine kwa kuwa mkweli naomba tu umtie moyo dr slaa arudi tunampenda sana sana huu mwaka ni wamabadiliko lazima slaa awepo kwenye mabadiliko haya.
  9. N

    Yaliyojiri Agosti 4/2015 katika Mkutano Mkuu wa CHADEMA Ukumbi wa Mlimani City, DSM

    Sio itv wanakata ni wenye nchi lakini haisadii mungu ni mwema anaona kila kitu .ccm wameishiwa mbinu wanatapatapa tu .wasubiri goli la mkono walilozoea.
  10. N

    Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CHADEMA nchini kote

    Hongera kamanda lema wananchi bado tuna imani kubwa sana na wewe.
  11. N

    NEC-ITV wameanza kumkampenia Firikunjombe

    Firikunjombe yuko makini kuliko wabunge wote wa magamba ana uwezo mkubwa na maono yuko vizuri atapita bila kupingwa huyo.
  12. N

    Yaliyojiri Mkutano wa Kihistoria wa CHADEMA Mwanza, Ulirushwa live kwenye TV na Radio

    Hiyo funika mbovu .mpaka kieleweke mwaka huu.
  13. N

    Tundu Lissu: I don't see Lowassa crossing over from CCM to join with UKAWA

    We unaongea nini siasa haina uadui wa kudumu wala urafiki wa kudumu uko nchi dunia gani wewe usiejua haya mambo .pole mwaka huu kitaeleweka tu.
  14. N

    Viongozi wakuu wa UKAWA watazungumza na waandishi wa habari jioni hii Colosseum Hotel

    Maccm wenyewe kidogo wafarakane kwenye mchakato ni bahati .mzee wa mamvi amewahi kusaliti amri la sivyo mambo yangekuwa mengine.kwa nini iwe kwa ukawa ?
  15. N

    Viongozi wakuu wa UKAWA watazungumza na waandishi wa habari jioni hii Colosseum Hotel

    Naamini kabisa watatoka salama salimini kwa uwezo wa mwenyezi mungu .walianza na mungu na watamaliza na mungu .vivaa ukawaaa .
  16. N

    Elections 2015 Lowassa kuzungumza na wanahabari baada ya kumaliza kikao kizito na familia pamoja na marafiki zake

    Namshauri mzee lowasa akitaka kuhamia chama kingine awe muwazi aseme ukweli wake kutoka moyoni jinsi rich mond ilivyokuwa hajachelewa sana pamoja na kuwa wengi watahoji alikuwa wapi siku zote kusema ukweli .hii itamsadia na kumweka huru .
  17. N

    Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    Kweli maccm wanajua kusoma alama za nyakati kidogo tu walikuwa wanakosea hata hivyo najua hilo ni goli la mkono .pole team lowasa punguzeni pressure.
  18. N

    UKAWA bado kazi nzito, kwa mara nyingine tena ni CCM

    Mbona magufuli hawezi kupanga hoja kabisa .bora migiro .
Back
Top Bottom