Search results

  1. Ezsdon

    Nilidhani ukiingia mbuga ya wanyama Unaona wanyama kirahisi kumbe napo tabu tupu

    Africa kuwa na zoo ni upungufu wa akili tunahitaji sanctuary tu kwa ajili ya wanyama ambao wako hatarini kupotea lakini sio zoo ama jela za wanyama.
  2. Ezsdon

    Kwenye msitu wangu kuna black mamba/ koboko natafuta njia za kumwangamiza bila kuleta madhara kwenye jamii

    Sasa black mamba na king cobra wamekutana lini porini wakati ni nyoka wanaopatikana mabara mawili tofauti.
  3. Ezsdon

    Mtu kukopa pesa mtandaoni na kukuweka kama mdhamini bila ridhaa yako ni sawa?

    Hawa jamaa hata mtu asipo kuweka mdhamini, unapodownload app yao kuna kipengele cha kuwapa access ya contacts na SMS, kwahiyo wanauwezo wa kuangalia majina na namba unazo wasiliananazo mara kwa mara, binafsi niliwahi kopa 30k siku moja kabla ya muda wa marejesho nikiwa nimeenda shambani maeneo...
  4. Ezsdon

    Mwakinyo anataka apewe milioni 500 ili apambane na Kiduku

    Tsh 500M inapatikana, itapatikana ikiwa hiyo fight itajaza Benjamin Mkapa stadium kwa kiingilio cha kima cha chini TSh 30,000/=,hapo ni nje na pay per view. Lakini pambano linaweza fanywa mlimani city hall kwa kiingilio cha kima cha chini TSh 3M, swali nijee hao mabondia wanapendwa kiasi hicho...
  5. Ezsdon

    Watu aina ya Doto Magari ni wa kuwaepuka kama ukoma!

    Tena ukijua alipotokea, kwamba aliwahi kuwa muathirika wa Madawa ya kulevya, jamaa ni mfano wakuigwa kwa watu waliojikatia tamaa mtaani, uaminifu, na maneno mengi ndo msingi wa udalali mjini.
  6. Ezsdon

    Nani mkali kati ya Shaggy na Sean Paul

    Shaggy kawa Nominated kwenye Tuzo za Grammy mara 8 kashinda mara mbili mwaka 1996 na mwaka 2019 kipengele cha Best Reggae Album, Sean Paul kawa Nominated mara 10 kashinda mara moja mwaka 2014 kipengele hicho cha Best Reggae Album,Sean Paul ni hitmaker ila kimuziki hamfikii Mr loverlover Mr...
  7. Ezsdon

    Je, wajua umaarufu wa Mlima Ararat ni wa kipekee kabisa?

    Kulingana na maandiko safina ilikuwa na urefu wa mikono mia 3 na upana wa mikono 50 kwenda juu ilikuwa mikono 30
  8. Ezsdon

    Chege ajibu madai ya Juma Nature kulipwa laki 5 tamasha la Wasafi

    Ndomana tamasha lina wadhamini Kama kumi na mbili, sasa hapo ukute wadhamini wameambiwa msanii atalipwa 5M akajalipwa hiyo 3M
  9. Ezsdon

    Ni mkoa gani Tanzania kinafanyika kilimo Cha umwagiliaji?

    Kama umeogopa competition na uchawi kwenye biashara, uchawi wa kilimo ndo hutouweza, hukawii kulima nyanya chungu alafu ukakuta wakati wakuvuna zina funza hapo ndo utajua hujui.
  10. Ezsdon

    Nataka nianze kazi ya kuuza

    Bei ya kiatu Inategemea na quality na gharama za usafirishaji, sidhani kama utakuwa tayari kuuza kiatu Tsh 90k kisa ndo bei watu waliopendekeza wakati wewe umenunua kiatu hicho usd 50, muulize huyo ndugu yako bei aliyonunulia kiatu/viatu jumlisha na gharama za usafirishaji kwa kilo,ukipata jumla...
  11. Ezsdon

    Utata kifo cha Nusura, Ndugu wahoji uharaka wa mazishi bila uchunguzi

    Mbona sioni anayehoji kama marehemu alikuwa na majeraha kuonyesha chanzo cha kifo ni ajali au kupigwa.
  12. Ezsdon

    Idadi ya Nguruwe yaongezeka nchini

    Kuna haja ya kukiweka hichi kiumbe kwenye kundi la wanyama walio hatarini kutoweka maana wanaliwa kwa fujo, sensa ya mwaka 2021 walikuwa 3.2, nguruwe anazaa mara mbili kwa mwaka na anazaa sio chini ya watoto wa 5 hadi 12, tuchukulie idadi ndogo ya majike 500,000 kila moja likazaa watoto wa 5...
  13. Ezsdon

    Je, Forex Trading inaweza kunitoa kimaisha hapa Tanzania?

    🏦 Trusted FOREX Broker 🤝 📲Register NOW and start making💲money💲⤵️ https://www.exness.com/a/teqgkeqg 💵Mobile Money Services M-pesa Airtel Money Tigo Pesa ✅ Instant Withdraws ✅ minimum Deposit 10USD ✅ 1:Unlimited Leverage ✅ Low Spreads The World top ten broker ♨️👌 Open account under Exness...
  14. Ezsdon

    Kuna ukweli gani kuhusu wimbo wa Ali Kiba 'Mac Muga' alimuimbia Jose Mtambo?

    Mac Muga ni wimbo wa Mwaka 2006,haiwezi kuwa aliimbiwa Jose Mtambo, sema tu content ya wimbo itamuhusu mtu yeyote atayeonekana alikuwa fresh ila sasa uchumi umeyumba
  15. Ezsdon

    TANZIA Msanii wa HipHop SALU T afariki dunia

    Mitaa itakukumbuka milele Salu T
Back
Top Bottom