Search results

  1. Dimakatso Cmp

    Spark 4 inauzwa

    Simu ni used ila inatumika vizuri. 32GB storage 2GB RAM Inapatikana Dar Bei 120,000 0711381113 Nimeshindwa kuambatanisha picha kwasababu hapa sina simu nyingine kwa ajili ya kupigia picha.
  2. Dimakatso Cmp

    INAUZWA King'amuzi cha Startimes kinauzwa

    Ni kile cha silver vya zamani ambavyo ni imara sana kulinganisha na hivi vya plastic vidogo. Unaweza kutazama channels 7 za bure usipolipia. Bei ya ofa Tsh 25'000 ila ukitaka na antena yake unalipia Tsh 35,000. Hakina tatizo lolote nakiuza kwasababu ninavyo viwili kimoja sebuleni na kingine...
  3. Dimakatso Cmp

    Baada ya kujiuzulu Spika hiki ndicho hufuatia

    Kutokana na matakwa ya kikatiba baada ya nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa wazi kwa namna yoyote ile,isipokuwa bunge kumaliza muda wake basi kinachofuata ni uchaguzi wa Spika mpya na sio Naibu spika kurithi kiti. Ibara ya 84 ibara ndogo ya 8 inaeleza kama...
  4. Dimakatso Cmp

    Phone4Sale Samsung A12

    Galaxy A12 4gb ram 64gb storage Quad cameras Fast charging Battery 5000mah Sided fingerprint Simu bado mpya kabisa ina miezi miwili na nusu tangu niinunue dukani. Bei ya ofa 290k kwakuwa nina dharura natakiwa kusafiri kesho. Nipo Dar Exchange inaruhusiwa kisha utaongeza hela...
  5. Dimakatso Cmp

    Samsung A12

    4gb ram 64gb storage Quad cameras Battery 5000mah Fast charging type-c Bei 320,000 Exchange inaruhusiwa kwa mwenye A10s ama infinix kisha atanijazia hela tutakayoelewana. Bado mpya kabisa miezi miwili tu tangu itoke dukani 06249848
  6. Dimakatso Cmp

    Iphone 7 plus inauzwa

    32gb storage Haina shida yoyote Battery health 100% Miezi 3 tu imetumika Bei 350,000 0624984
  7. Dimakatso Cmp

    Samsung A12

    Samsung A12 for exchange 64GB storage 4GB RAM Quad camera 5000mAh battery Charge type-c Ina miezi miwili pekee tangu itoke dukani Ni mpya kama inavyoonekana kwenye picha Exchange kwa mwenye samsung A10s ataongeza hela tutakayoelewana 0624584858
  8. Dimakatso Cmp

    Phone4Sale Samsung A12 inauzwa

    Simu ina miezi miwili tangu itoke dukani. Exchange kwa mwenye samsung A10s aongezee na hela tutakayokubaliana. 4GB RAM, 64GB storage 5000mAh battery Fast charging, type c charger,inajaza battery kwa muda mfupi sana. Quad camera 48 mp, 8mp,5mp,5mp Sided fingerprints 0624984
  9. Dimakatso Cmp

    Kurejeshewa sehemu ya tiketi ya ndege

    Habari wakuu. Niende kwenye mada moja kwa moja. Nilikata tiketi ya ndege kutoka Dar kwenda Dubai kupitia Kigali Rwanda na shirika la ndege la Rwandair. Baadae niliamua ku cancel booking hivyo nikawaambia nimesitisha safari kwahiyo waangalie utaratibu wa kunirejeshea kiasi fulani cha nauli...
  10. Dimakatso Cmp

    Phone4Sale Samsung galaxy A70 inauzwa

    Simu tajwa hapo inauzwa ipo katika hali nzuri kabisa haina tatizo lolote. 128 GB storage 6GB RAM Triple camera Bei 550k Exchange inaruhusiwa kutegemeana na simu. 0621632813
  11. Dimakatso Cmp

    Tecno canon 12 inahitajika

    Habari. Nahitaji mtu mwenye tecno camon 12 tubadilishane na spark 4 yangu. Simu yangu bado ipo vuzuri mwonekano wa mpya haijatumika sana haina crack wala shida yoyote nimeamua tu kubadilisha mazingira nitumie camon 12 ambayo nilishawahi kuitumia nikavutiwa nayo. Nipo Dar es Salaam. Kama upo...
  12. Dimakatso Cmp

    Tecno Spark 4, Camon 12 Air au Infinix Hot 8 Lite inahitajika

    Wakuu habari. Nahitaji mojawapo ya simu tajwa hapo juu mwenye nayo tuwasiliane. Iwe used isiwe na tatizo lolote. Napatikana Dar. Piga au tuma meseji kupitia 0654 626 212.
  13. Dimakatso Cmp

    SOLD: Friji inauzwa

    Ipo Kinyerezi haina shida yoyote inagandisha fasta.Mwenyewe ana uhitaji wa fedha ya haraka. Bei laki moja na themanini elfu. Ni Hot Point. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Dimakatso Cmp

    Upotevu wa mapato Stendi ya daladala Mbezi mwisho.

    Habari za weekend wakuu. Niende kwenye mada kwakweli inasikitisha unaposhuhudia serikali kupoteza mapato halali ambayo yangesaidia kuboresha miundombinu yetu. Pale stendi Mbezi mwisho kuna huduma ya vyoo vya kulipia shilingi 500 kwa huduma yoyote iwe haja ndogo ama kubwa lakini cha kushangaza...
  15. Dimakatso Cmp

    Msaada smart TV.

    Habari wakuu.Nina TV ni smart aina ya TCL sasa shida iliyopo haioneshi channels nyingi kama ilivyo kwa smart tv zingine.Inakamata channels za ndani tu tena sio zote ni baadhi tu.Antena nime connect vizuri sijui shida nini.Huwa inaandika maneno 'NO CI MODULE' na 'INVALD SERVICE'.Msaada kwa wenye...
  16. Dimakatso Cmp

    Nipo kwenye mahusiano na wanawake wawili na nimetangaza ndoa kwao

    Habarini wakuu.Niende kwenye mada maana nahisi sipo sawa muda huu kutokana na kilichotokea leo asubuhi. Kuna binti nilizaa naye miaka michache iliyopita sasa tulikuwa na malengo mazuri ya kufunga ndoa hapo baadae.Yeye anaishi kwao nami kwetu japo yeye anaishi na wazazi ila mie nipo...
  17. Dimakatso Cmp

    Yanayofanyika mradi wa umeme wa gesi Kinyerezi 2

    Habari wana jukwaa, Niende kwenye mada moja kwa moja, Kuna kampuni inaitwa CSI hapa Kinyerezi two power plant inaajiri wafanyakazi haiwapi mkataba wowote wa ajira na huwa inawalipa wafanyakazi in weekly basis. Mfanyakazi hulipwa 150,000 hadi 170,000 kwa wiki na hupewa cash mkononi hivyo...
  18. Dimakatso Cmp

    Msaada blackberry z3

    Habari za muda huu wakuu.Blackberry yangu z3 tangu jana inaniandikia 'SIM NOT DETECTED' sijui tatizo nini?Ilikuwa hivi jana nilipokuwa naingia kiwanda cha cement dangote mtwara simu iliniandikia emergency calls only baadae sim not detected.Wenyeji wa eneo hilo wakaniambia kuna tatizo la network...
  19. Dimakatso Cmp

    Boom j8 inauzwa

    Wakuu natumai mu wazima wa afya.Nauza tecno boom j8 ina kila kitu chake bado mpya.Ukihitaji na risiti nakupa.Simu ni latest ni 4G LTE,16GB STORAGE,2GB RAM.Nauza kwasababu nina dharura ya haraka.Bei ni 260k.
  20. Dimakatso Cmp

    Tecno boom j7 inauzwa.

    Habari wakuu.Kuna dogo hapa home anatafuta mtu mwenye uhitaji wa haraka wa simu boom j7 maana kesho anaondoka kwenda shule Arusha.Specifications zake 16GB Storage,1GB RAM,8MP CAMERA.Simu bado imesimama vizuri.Au kwa mtu mwenye simu ndogo yake na hii j7 mbadilishane umuongezee hela kidogo.Bei ni...
Back
Top Bottom