Search results

  1. D

    Who is IGP Mwema? CV Please!

    Huyu jamaa ni walewale tu,maIGP wote wameshauwa watu.
  2. D

    Tutapona kwa Maradhi jamani?

    Aagh,wa kawaida sana tu,katumia mkorogo mpaka basi. Anyway, havutii
  3. D

    Gari latumbukia Ferry Dar asubuhi hii...

    Eh! Kwani vipi na hiyo picha! Ina uhusiano na daraja la kigamboni?
  4. D

    Huyu Jumapili Kayuni vipi na Kaseja!

    Haiingii akilini mtu kama kayuni nakuwa na bifu na Kaseja,kwanza viwanja anavyotanulia kaseja ni tofauti na Kaaseja,leo iweje huyu babu agombane na kijana wake mpaka amwekee visa kwenye maisha! Kayuni weka wazi!
  5. D

    Elections 2010 Nani kuukwaa uwaziri mkuu?

    msishangae akamteua rafiki yake Edward Ngoyai Lowasa
  6. D

    Regina Mwalekwa atimba Clouds FM

    nyaisanga wapi?
  7. D

    Hussein Mwinyi vipi

    Hivi aliyekuwa waziri wa ulinzi imekuwaje mbona hata udiwani hajagombea?
  8. D

    Elections 2010 UWIZI WA CCM HUU HAPA. WALIOJIANDIKISHA 20 MIL, JK kapata 5 MIL kawa Rais...!!!???

    Hii ndio janja ya CCM , wamepoteza majina ya watu mil 12? Ni kwamba walipita nyumba hadi nyumba wakajua watu wao'then wakaamua kupoteza majina ya watu wote ambao hawakueleweka itokadi zao. Lakini je, kwani hamna haki ya kudai? Tunaongozwa na udikteta?
  9. D

    Ridh1 alimwomba baba yake(raisi KIKWETE) amchague masha na akamchagua uwaziri

    Hatushhangai maana hata CCM wenyewe walimsusia kampeni afanYe na familia yake baada ya kuwajibu kuwa suala la uraois ni la kwake na famia yake. Sasa tuuone kama atatekeleza sera za CCM kwa kupitia familia maskini ya msoga
  10. D

    Elections 2010 Mawakala si wana matokeo ya kila kituo?

    Marando yuko sahih, kama mawakala wao wanayo matokeo ya kila kituo, ni rahisi kuyajulisha upya na kutoa tamko. Wasitoe tamko kabla hawajawa na exact figures, wakikuta kuna utata wanaweza kutosaini matokeo ya urais
  11. D

    Hodi kwenye game

    Nimeingia kwenye jamii forum kwenye kipindi kitamu ambapo CCM inagalagazwa kama mbayuwayu.........washikaji wamemwachia JK limfie mkononi? Anyway' Hongera sana Chadema, mmeonyesha njia,mkawakabe koo vizuri katika utendaji tuone mabadiliko. Viva Tanzania
  12. D

    Elections 2010 Tundu Lissu naye mwendo mdundo...!

    Sawa kabisa,Tundu Lissu ni mpiganaji'
  13. D

    CONFIRMED: Halima Mdee wins Kawe Constituency

    Big- up Halima tupo pamoja nawe,katekeleze kwa vitendo yaliyokupa ushindi
  14. D

    Elections 2010 Kinachoendelea Jimbo la Segerea...

    Majizi yamezoea hayo, ila tume watuambie hayo mabox yametokea wapi mpaka yakamatwe mitaani? Hiyo tume na CCM lao ni moja.
  15. D

    Kijana akamatwa akifanya ngono na mbwa

    ila hayo ni maajabu, tunaelewa wanyama kama mbwa hufanya hilo tendo wanapokuwa kwenye heat ,tena wanapotaka kuzaa,huyo jamaa kweli kiboko,amewezaje kumshawishi mbwa kufanya tendo hilo?, labda ni bingwa wa kutongoza wanyama, akajaribu kwa simba ama chui..
  16. D

    Kijana akamatwa akifanya ngono na mbwa

    huyo jamaa wangemwacha anase kama wanavyofanya mambwa dume then wamtoe hadharani aumbuke..... Dunia inaelekea kubaya
  17. D

    vituo vingi dar havina ,mafuta,kulikoni?

    pita maeneo kadhaa ya sinza ,ni vituo vichache sana vinauza mafuta. Pita vituo vya BP, hawana mafuta. Wanaogopa uchaguzi au? Acheni woga maisha yaendelee kama kawa. Chadema weraaaaaaaaaaaaaaaaa
Back
Top Bottom