Search results

  1. S

    Jwtz kuporomoka heshima kimataifa

    hapo umenena mjukuu wa Mbojo,tuwe na imani na jeshi letu,kinachotakiwa ni kufanya pruning ya hivyo vichwa vibovu!
  2. S

    Nini hatima ya wanasheria vodafasta??

    Mimi nilisoma Lawschool Cohort ya 4(2009/2010) katika masomo/mitihani kama 13 nina Supplementary ya mitihani miwili mmoja Core na mwingine ni Non Core,and here i am,sija apishwa kuwa wakili,hadi pale nitakapo faulu masomo hayo ndo ntapata fursa ya kula kiapo baada ya kufanya petition,sasa...
  3. S

    Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

    Well,jina langu kama lilivyo 'Sumu Baridi'...nilipachikwa na Marehemu Bibi yangu (mzaa mama),nikutokana na hali yangu ya ukimya,wa kuangalia mambo kwa macho hata yawe ya kuumiza vipi,ni mtu wa kuyachukuwa masuala ya kuya scrutinize,then maamuzi huya chukua mara nyingi pale watu wanapodhani...
  4. S

    Dodoma: Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete kuzindua Bunge la 10, Nov 2010

    Talk about TAKUKURU/PCCB...the man openly praises the functioning of that institution,my my only recently did they try to save skin for the former A.G on the radar scandal but the U.K washed their hands from their filthy report! I humbly submit and stand to be corrected...
  5. S

    Kuhatarisha usalama wa Taifa? Give me a Break!

    Chifunanga nimekusoma,pia Derimto umesomeka...I believe hizi pillars za security whether external or internal zinategemeana kwasababu kama Derimto ulivonijuza kuwa hata Jeshini watu wa UWT wapo ni imani yangu kwamba wanaenda sawa. Kuna Colonel mmoja niliwahi kumuuliza hilo swali akanijibu...
  6. S

    Jua haki yako unapokamatwa na Polisi

    "kwa mujibu wa Mwendendo wa Makosa ya Jinai (Penal Code Act)" Mkuu MwanaHaki,naomba nikurekebishe kidogo, (1)Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai ni Criminal Procedure Act na (2)Kanuni ya Adhabu ndio Penal Code Act-Cap 16 of the Laws of Tanzania Ahsante
  7. S

    Kuhatarisha usalama wa Taifa? Give me a Break!

    Habari, Nimekuwa interested na mada iliyopo bandikoni, ila ningependa kufahamu kutoka kwa wana JF... Jeshi la Ulinzi wa Taifa na Usalama wa Taifa nani superior kwa mwenzako? Kwasababu kwa mtazamo wangu ni kwamba they both play vital roles in the security of our nation.Kuna mtu mmoja ni...
  8. S

    Elections 2010 Kwa nini Clouds FM wanatisha wananchi?

    Do not wrestle with a pig,coz you will both get dirty...But the pig likes it!
  9. S

    Elections 2010 Usalama wa Taifa wakanusha tuhuma za Dr. Slaa

    "Lu-ma-ga;Ili kupata muafaka ni bora malinganisho ya madai ya Dr.SLAA dhidi ya uchakachuaji yakafanyiwa kazi kuliko kukanusha tu.Hapa inabidi wawe objective zaidi ya kuwa subjective. SLAA amesema nazo takwimu basi zifanyiwe kazi kuliko kuendelea kurumbana.Time is running out you know!!!!!"...
  10. S

    The Polite Way To Pee

    Ni 'un! I bliv after the introduction she became very 'close' to that 'friend'! Lol
  11. S

    Ephraim Kibonde Jahazi Show

    Asilaumu hukumu now that Sugu is going Diplomatic! Ha ha ha ha
Back
Top Bottom