Search results

  1. B

    World most famous people with their QUOTES from their great SPEECHES

    Ahsanten sana nyote mlochangia, hizi quotation huwa zinaniongezea sana uwezo wa kufikiri,, MUGABE ana quotation zenye ukali wa maneno lakini ni KUNTU SANA
  2. B

    Msaada: What are the bases for price discrimination and it's circumstances

    ka nmelewa swali basi najibu ka ifuatvyo ka sjaelewa nako watakuja wengne 1.price discrimination by age 2.by gographical location 3.by sex 4.by status 5.time etc
  3. B

    Kweli nimeamini tuna upungufu wa walimu wa sayansi na hisabati

    YABUUU YABUUU YABUUU tunataka ma GREAT THINKER KA WE sio tuna tatzo people end blaming instead of giving the ways forward, idea yko nataman Wenye dhamana WAIPATE AU IWAFIKIE
  4. B

    Ujumbe ndio ujumbe kwa serikali kuhusu ajira hasa za waalimu

    Uwiiiiiii UMEWAGUSA NAJUA HUWA WANAPITIAPITIA HUMU
  5. B

    Ghafla jicho halioni vizuri

    Sa umeandikaje hi thread ka huoni vzr
  6. B

    Finally, i trust no one.

    Hongera maana hautaumia tena ,hata intelinjensia huwa wanaitumia hyo principle yko "YOUR TRUST WILL GET YOU KILLED"
  7. B

    Finally, i trust no one.

    Hongera maana hautaumia tena pia huwa n
  8. B

    Tahadhari: Makundi ya Bongo flavour yanaweza kusambaratika

    Wrong information ,,alokwambia PSQUARE imesambaratika nan
  9. B

    Siku 30 za wanufaika na mikopo kujisalimisha, HESLB kulikoni?

    Hahaaaaaa members huwa mnanikosha xn kumbe wanatania ? kutuajiri hawataki sa ntarudshaje ukzngatia deni halifungi ata wakitukamata magereza hayatoshi ,saiv baada y kustisha ajira najiajiri na deni wanidaidai mana na wao ulkuwa uk sign unapaga baada ya mwezi Enzymes
  10. B

    Zitto Kabwe asimulia alichokutana nacho hospitalini mkewe akijifungua

    Nina dought kuwa katoa damu litre 1? wakati binadamu ana jumla litre 5 ka kumbukumbu zangu zipo sawa 7b nshawah changia na madaktari hawaruhusu kias ka hicho
  11. B

    Mapinduzi ya fikra bado yamefichwa katika kitabu ambacho bado haujafikiria kukisoma.

    Hongeren sana kukomboleka kifikra kupitia vitabu m pia ni mmja wenu ,,ni dhahiri umekomboleka naona una uwezo wa Ku recognize and appreciate especially kwa rafiki yko pistmshai
  12. B

    Ni simulizi gani Ilikukuna vizuri hapa JF 2016?

    PENIELA ,,,Lege alinipatia sana
  13. B

    Naweza kupata desktop computer kwa sh. 100,000/= ?

    At least 200000 BT uhakka 2300000 experience nlinunua Oct 2016
  14. B

    Nataka niongeze uzuri wa muonekano wangu wa mwili (sex body)

    Nmeamin ukitaka kujua w mzm nenda hospitali ,mkuu w una kg 60 mwenzio nna 52 kg tena zmeongezeka from 45 kg
  15. B

    Hivi walimu masomo ya BIASHARA mbona hawatajwi ajira mpya ama Wanaendelea Kuisoma????

    Sio Dk. mkuu MPE muite prf Ndalichako ,,binafsi aijui japo najua fika kuna masomo y sayansi ,sanaa ,hisabati na biashara ,,lkn biashara haijazungumziwa na waziri ,,mkanganyiko zaidi ni pale mfano m nmsoma economics & geo (biashara na Sanaa) ,nafikiri biashara hatuhitajk saiv cz hata shule zke ni...
  16. B

    Picha: Kiba akiwa na familia ya Zari

    Daaaa yani humu mnatiaha hata uulze nn bado wadau mtashusha nondo ,,bnafsi sikuwah ka kuna pcha ya pamoja ya "DIAMOND NA KIBA" SALUTE SCORPIO ME
  17. B

    Mwenye kujua tafsiri ya hii katuni

    Daaaa kweli humu kuna vichwa binafsi sikuelewa kivile saiv nmeunganisha doti nmeelwa vzr kweli " A PICTURE WORTH A 1000 WORDS " ujumbe umfka vzr zaid kulko ka ungeandika mi paragraph mingi
  18. B

    Ukiulizwa swali hili kwenye interview unajibuje?

    kuonyesha upo committed unasema sasaiv nnaweza kuanza ,nmewah apply siku moja nkafanyiwa interview siku hyhyo nkaulzwa unapenda uanze lin nkawambia saiv nkaanza ,wenzangu walosema Mara next week ,kesho walipewa wengne nafas zao
  19. B

    Wakoloni walituletea dini kama kinga kwao ili watutawale

    Mtoa mada as if u are reading my mind ,,binafsi nakiri umekomboleka na pia endelea kukomboa ,hoja yako nzito sana kwa jinsi ambavyo waafrika dini zilivowaingia inahiyaji nguvu ya ziada ,,umetema ukweli ""kwa wakristo wenzangu unabiwa FUNGU LA KUMI " hapo watu bora alale njaaa ili atoe fungu...
Back
Top Bottom