Search results

  1. GreatSeal

    Ndege kubwa ya abiria ya C919 yashiriki kwenye Maonesho ya Ndege ya Singapore

    Hapa hawajatengeneza ndege bado wamefanya assembling ya ndege
  2. GreatSeal

    WW3 ls coming as Russia prepare to move Nuclear weapons in Space US is Scared

    Wenzake US since 1976 walitaka lipua nuclear mwezini hii Ni old storr
  3. GreatSeal

    Haya ndiyo majibu ya Iran na washirika wake baada ya kushambuliwa na Marekani

    Mkuu ukiona bomber kama hio inapigana na vikundi vya watoto WA kigaid jua uncle Sam hajatoa Silaha, tambua taifa lisilo na maonesho ya Silaha ndio hili, hata during WW2 the world was shocked na nuke Hakuna aliejua wanayo
  4. GreatSeal

    Haya ndiyo majibu ya Iran na washirika wake baada ya kushambuliwa na Marekani

    Bado saana, juzi usik mmoja ameshambulia nchi 4 Kwa mara moja ndan ya usiku mmoja, Iraq, Syria, Yemen na Jordan, mashambuliz yoote hayo hametoka barrac moja tu red sea, kasoro ile B.1 Bomber iliotoka Washington Direct to middle east non stop over 12000 miles kushambulia na kurudi airbase marekan...
  5. GreatSeal

    Pentagon ya Marekani yaanzisha mashambulizi ya kulipiza kisasi nchini Syria, Iraq baada ya vifo vya wanajeshi

    Si iran alisema atakaegusa popote watakiwasha wacha tuone sasa
  6. GreatSeal

    Yemen yazuia meli zote hakuna kupita Red Sea kuelekea Israel

    Hivi Hawa wakigeukiwa Wana survive masaa hata 8 kweli?
  7. GreatSeal

    Vipi mbona USA hatangazi misaada ya dollar tena kumetokea nini?

    Haelew huyo mwehu achana nae hii dunia ya leo free lunch wap? Since when America wanatoa misaads bila kujua returns zao, watu wakisikia neno msaada tu hawawazi kilicho ndan ya kapet
  8. GreatSeal

    Vipi mbona USA hatangazi misaada ya dollar tena kumetokea nini?

    Akili yako fupi sana, uchumi wa Jimbo moja la CA Lina uchumi mkubwa Zaid ya all African countries combined, lingine ambalo hujui mwenzio anafanya biashara ukisikia msaada unaenda ukrain ni silaha toka viwanda vya marekan ambavyo baadae ukrain lazima alipe
  9. GreatSeal

    LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

    Wajiandae manake after Gaza it's the next target, naona Uncle Sam Jana kasogeza Askari 10,000 sound arabia
  10. GreatSeal

    LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

    Achana na hao wapalestina WA sunuka mkuu
  11. GreatSeal

    Wanajeshi wa Israeli wazingira hospitali yenye handaki ambalo ndio makao makuu ya HAMAS

    Nataman hili handaki lingekuwa chini ya msikiti Al quasa
  12. GreatSeal

    Hezbollah yaonya vita vya kikanda ikiwa mashambulizi Gaza yataendelea

    [emoji3][emoji3][emoji3][emoji2][emoji2]
  13. GreatSeal

    Umoja wa Mataifa wapitisha azimio kutaka vita isitishwe, Israel yapinga na yaongeza mapigo Gaza

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  14. GreatSeal

    Israel VS Gaza. Kosa dogo tu likifanyika kama halijapangwa nyumba ya pazia, tunaingia WWIII (Nuclear War)

    Hakika inahitajika kuwa na gats kwel kwel nakumbuka biden akiwa Poland alimwambia Putin Sisi tutapeleka silaha Ukraine kama kawa wewe kama unaweza tumia nuclear tuko tayari
  15. GreatSeal

    Israel wajiandae na tetemeko la 'Middle east' watakapoingia Gaza - IRAN

    Mikwara mbuzi Ile Ile tuu ya kila mara walianza tandikwa wanaanza beba midol kuwa ni watoto mjomba world sympathy
Back
Top Bottom