Search results

  1. nickson mangowo

    Wadada tujikumbushe; Mara ya kwanza kukutana kimwili ilikuwaje?

    Huu ni ujinga. Mada gani ya kijinga. Toa mada inayoshawishi maendeleo si huo upuuzi. Ok iweje mfano!!!
  2. nickson mangowo

    Mwanaume ndo huyu

    Hui ni ujuha. Niile zamani. Mnapotaka haki sawa ni kwenye eneo gani hasa, km kila kitu mnamuelekezea mwanaume. Pigeni msuli pamoja. C kila kitu mwanaumemwanaume alafu iweje? Km huna kazi uko home utaeleweka na kukaa home upambane na hali ili maisha yasonge mbele. Kwanza wanaume wa namna hiyo...
  3. nickson mangowo

    Freeman Mbowe jitokeze kuthibitisha kuwa kampuni yako ya Mbowe Hotels ipo kihalali na inalipa kodi

    Kwanini ajitokeze? Kwani mbowe ndio mwenye kampuni tu hii tz. Mbona mmiliki wa Airtel asiejulikana hajajitokeze hadi sasa.
  4. nickson mangowo

    Kwa hili watu wa Kaskazini wanaongoza kwa population Dar

    Hawa wanaanzia kaskzini mwa Tz. Kujibu si kukuridhisha na jibu
  5. nickson mangowo

    Naomba kurogwa

    Duh. Hata km nilikuwa nalogaga hapo s ningeharibu uchawi sasa!![emoji15] [emoji15] unamuhitaji Yesu tu. Ukishampata utajua km awali ulikuwa umelogwa au kumpata Yesu ndio umelogwa mkuu
  6. nickson mangowo

    Naomba kurogwa

    Yaani hadi kufikia hatua hiyo ushalogwa! Unataka ulogweje kwamfano!!!
  7. nickson mangowo

    Nimepanga kutomgusa mke wangu kimwili

    Hahahah leo umenichekesha. Wanaume watazira vyooote c mwanamke, na mwanamke atazira vyoote c pesa. We jifanye kidume cha kuzira, nakupa siku chache tu utavua hiyo jins. Huo ni mwili c gogo! Mbona nafsini mwako ushaanza kujiuliza unaanzaje kuomba mech!! Swala ya malize na usimame km mwanaume...
  8. nickson mangowo

    Mume wangu anapoteza hela yake bure, mimi sina uwezo wa kushika mimba

    Utakuwa mtumwa hadi lini. Dawa si kuogopa. Vunja ukimya na tupilia mbali hofu. Hautaweza kuwa huru hadi utakaposema ukweli. Kwani ndoa ni kitu gani km hauko huru? Jifunze kwa wimbo wa Bukuku unaosema DUNIA HAINA HURUMA. Yesu tu ndie atakaekuweka huru. Ila tambua mshahara wa dhambi ni mauti
  9. nickson mangowo

    Rais Magufuli: Msiwabomoleshe Mwanza, hata kama wamekosea ndio walionipa Urais

    Na awamu nyingine wampe tena kura ili wasibomolewe. Kwamaana hiyo ni mwendo wa kisasi au demokrasia!! Km vile tumevurugwa!!
  10. nickson mangowo

    TANZIA: Mtoto wa Hayati Sokoine, Kereto Sokoine afariki kwa kuchomwa kisu katika ugomvi na mkewe

    Na ny mjiongeze. Haiwezekani mume aruke ukuta wakati mkewe yupo ndani. Na ni kwanini wa funge gate wakati mume hajarudi hadi aruke ukuta. Km hakumchoma kisu kweli na kifo chake kilisababishwa na kuruka ukuta huko ndani ni jehanamu. Na kwanza huo ukuta ni wa taifa had uruke uumie kiasi cha kufa...
  11. nickson mangowo

    Mbasha afurahia wanawake wanavyompenda

    Nakupongeza mbasha kwa kuamua kutulia. " nanyi mtakaa kimya na Bwana atawapigania" pata utulivu ktk Kristo na Mungu hatakuacha
  12. nickson mangowo

    Nimempa mimba adui mkubwa wa mke wangu

    Huyo mtoto hana kosa hata hahusiki na ujinga wenu. Hakuna mtoto anaezaliwa kwa bahati mbaya, kila mmoja ni kusudi la Mungu. Ndio maana Biblia inasema "nalikujua toka tumboni mwa mama yako, nalikutakasa kabla sijakuumba" Niny mnaona makosa kutungwa kwa mimba ila ndio njia Mungu aliyokusudia...
  13. nickson mangowo

    Kukamatwa, kupigwa risasi Lissu: Chama cha Wanasheria Uingereza chamlima barua Rais Magufuli

    Jamani km kuna mtu anaweza akanisaidia atakuwa amenisaidia kweli. Nimejitahidi kwaakili zangu zote na zakuazima angalao nijue hiyo barua inasema nini ila kutokana na lugha nimeahindwa. Nipeni tu muktadha wa habr yenyewe kwa kiswahili chetu
  14. nickson mangowo

    Mchungaji wa kanisa la KKKT azima ndoto zangu za ndoa na mpendwa wangu

    Swala la kwenda kanisani ni sawa na kuamua kumsusia Mungu. Ikiwa alikuepusha usiambukizwe na vvu je alifanya kosa kubwa sana kwako? Au ni yeye alikutuma kwa huyo mwanamke? Ok. Km Mungu amekukosea kiasi hicho naomba kwa niaba yake umsamehe ili uanze kwenda kanisani
  15. nickson mangowo

    Mchungaji wa kanisa la KKKT azima ndoto zangu za ndoa na mpendwa wangu

    Angalia ustaarabunmwingine mkuu. Haya ni maisha na tusijaribu maisha. Kwanza huyo dada c mwaminifu hata kidogo. Hakufai ila ukiamua kufia kwenye kidonda kafie hapo tu. Ila ninachoamini Mungu amekuepusha ili ilujifunze kitu kupitia hilo
  16. nickson mangowo

    Unataka uombewe wewe lakini hutaki wenzako waombewe Mzee huo Ubinafsi .

    Hili ni jambo la kushangaza. We unataka watu wakupe chakula wakati hutaki wenzako wapewe na uko radhi kuwaona wanakufa njaa! Si sawa. Ila muombeeni Lisu Mungu atasikia tu. Asietaka aombewe asiombe. Sala ni jambo la hiari
Back
Top Bottom