Search results

  1. KELVIN GASPER

    TANZIA Beki Ally Mtoni Sonso afariki dunia, amewahi kuichezea Taifa Stars na klabu za Yanga, Kagera Sugar, Lipuli

    Beki wa KMC, Ally Sonso amefariki dunia leo katika Hospitali ya Muhimbili alipokuwa amelazwa akisumbuliwa na jeraha la mguu. Marehemu enzi za uhai wake aliwahi kuchezea timu za Yanga, Lipuli, Kagera Sugar na Ruvu Shooting.
  2. KELVIN GASPER

    Ugonjwa gani huu

    Naombeni tiba ya ugonjwa huu nateseka toka December mwaka jana Sent using Jamii Forums mobile app
  3. KELVIN GASPER

    Rais Magufuli amemfukuza kazi Kamanda wa TAKUKURU Mkoa wa Mtwara

    Kisa hayupo kwenye msafara wa mkulu. ===== RAIS MAGUFULI AMTIMUA KAZI KAMANDA WA TAKUKURU MTWARA Rais Magufuli amemfukuza kazi Kamanda wa TAKUKURU Mkoa wa Mtwara baada ya kumuita mkutanoni Masasi akawa hayupo Amuagiza Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Brigedia Jenerali John Mbungo kuteua...
  4. KELVIN GASPER

    Arusha: Tetemeko la ardhi latokea. Hakuna madhara yaliyoripotiwa

    Limepita dakika tano zilizopita. Maeneo ya mafao house tupo salama.
  5. KELVIN GASPER

    Mustakabali wa soka letu

    Nimeangalia usajili dirisha dogo. Kuna timu imesajili under 20 sita kutoka zambia . Wetu wanaenda wap.
  6. KELVIN GASPER

    Fastjet wanawatangazia abiria kwenda kurudishiwa nauli

    Wanadai ni kutokana na matatizo ya kiutendaji
  7. KELVIN GASPER

    Fastjet yasimamisha kwa muda safari zake za mwezi Desemba 2018 na Januari 2019

    Pia unaweza kusoma mada hii: Fast Jet yapewa siku 28 kabla ya kufutiwa Leseni - JamiiForums
  8. KELVIN GASPER

    Kuna clip inatembea you tube ikielezea kifo cha mugabe

    Inadai mugabe amefariki muda si mrefu na amekuwa akisumbuliwa na kansa ya kibofu
  9. KELVIN GASPER

    Kelele za helkopta hadi kero

    Linaenda linaenda linarudi sijui linasomba nini. Yaan ni kerokerokero.
  10. KELVIN GASPER

    Msamaha kwa wafungwa, mbunge Sugu anatoka?

    Rais leo katika kusheherekea sikukuu ya muungano ametoa msamaha kwa wafungwa. Kuna kundi wamepunguziwa robo ya vifungo vyao achilia mbali moja ya tatu inayotambuliwa. Naona moshi mweupe kwa mh. Sugu
  11. KELVIN GASPER

    Msaada iphone 7 network imepotea ghafla

    Msaada wakuu kurudisha network
  12. KELVIN GASPER

    Msaada network iPhone 7

    Nimeweka laini baada nusu saa ikapoteza network. Msaada wakuu natumia laini ya Voda.
  13. KELVIN GASPER

    Hivi ni kwanini waarabu vyuma vikikaza hawana tofauti na sisi huku weusi

    Rejea kinachoendelea tunisia. Ughali wa maisha wawateremsha barabarani. Ni maandamano hadi kieleweke.
  14. KELVIN GASPER

    Wahudumu Rombo bar eneo la Tank Maji, acheni kauli za dharau

    Wanatunyanyasa sana sisi wateja wanywa soda, maji nk haswa kwa siku za mwisho wa juma tunapokwenda kuangalia ligi mbalimbali bar hii ipo maeneo ya tank la maji
  15. KELVIN GASPER

    Wanaume wa Dar yamewakuta:

    Mwanaume mmoja mkazi wa Manzese jijini amefariki dunia wakati akifanya mapenzi maeneo ya Tandale kwa malaya wanapojiuza. Mwanaume huyo ni Dereva wa taxi. Polisi walifika na kufanya upekuzi walimkuta kavaa ndomu na vidonge vinne vya Viagra. Inasemekana alimeza viwili kabla.mwanamke alitimua mbio...
  16. KELVIN GASPER

    Raila Odinga awataka wafuasi wa NASA wasiende kazini kesho

    Aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya NASA bwana Raila Odinga amewataka wafuasi wa NASA kususia kwenda kazini kesho. Ameyasema haya hivi punde wakati anahutibia wafuasi wake maeneo ya Kibra jijini nairobi Sent using Jamii Forums mobile app ======== Opposition leader Raila Odinga is currently...
  17. KELVIN GASPER

    Live cosafa cup channel ipi leo 26/6/2017

    Msaada kwa wanaojua channel
  18. KELVIN GASPER

    Channel ipi inaonesha COSAFA live leo?

    Wakuu wa kazi tujuzane
  19. KELVIN GASPER

    Msaada wakuu, nimeshindwa kuunga data line ya Halotel

    Nimenunua simu Samsung galaxy prime. Nina line ya halotel nataka kuunga data nimeshindwa . nimepiga customer care hawapokei. Wanajamvi mnaojua procedures msaada plse.
Back
Top Bottom