Search results

  1. T

    Maoni na wito kuhusu tume ya bunge kuchunguza pesa za "mawasiliano"

    Mzamaji, wazo lako ni chanya na linaingia akilini.
  2. T

    Siri nyingine ya Ngeleja: Wamarekani tayari wanachimba Uranium Tunduru kisiri siri?

    "Kwani hivi mbona hatujiulizi kampuni ya Mantra Tanzania Limited ambayo ndiyo ilianza exploration kule namtumbo inaachia ngazi na kumilikisha mikoba yote kwa kampuni kutoka Russia??? Wamepata nini muda wote waliofanya hiyo exploration mpaka sasa? Sijasikia kamati ya bunge ya nishati na...
  3. T

    Siri nyingine ya Ngeleja: Wamarekani tayari wanachimba Uranium Tunduru kisiri siri?

    Nichangie tena Wakuu, kwa matazamo wangu kutofaidika na raslimali zetu kwa kiasi kikubwa sio kuibiwa, ila ubadhilifu na mipangilio mibovu pia usimamizi mbaya wa raslimali ndio chanzo kikuu. Hatuna itaratibu mzuri wa kumanage hizo resources ili mwisho wa siku zimnufaishe mtanzania na pia...
  4. T

    Siri nyingine ya Ngeleja: Wamarekani tayari wanachimba Uranium Tunduru kisiri siri?

    Wakuu kwanza niwasalimu nyote! Kwa kawaida kwenye JF mimi ni msomaji zaidi kuliko mchangiaji. Ila kwa kuwa hili linagusa fani, nimeona nami nichangie katika hili. Mbunge amesema kuwa Kampuni ya kimarekani inachimba Uranium kwa siri. Kwa mtazamo wangu hilo ni ngumu sana almost impossible labda...
  5. T

    CONFIDENTIAL: TANESCO, RICHMOND, DOWANS and BoT

    Invisible spectrum, naomba tumia utaalamu wako kuifanya hii makitu ipatikane tena hewani kwa muda kiduchu tu niikamate. Nimekuta imeng'olewa tayari. Please!!
  6. T

    Kesho ya Kikwete ni chungu kuliko leo ya Mkapa

    Mimi sio mchangiaji sana ila ni msomaji zaidi, lakini kwa hili naomba niungane nanyi kumfagilia Mzee Ben. Kafanya kazi inayoonekana, mapungufu yake yapo lakini kazi pia amegonga wakuu hilo sio la kubishia. Hata heshima ilikuwepo enzi za upresida wake, akiongea tunajua sasa mzee wa kaya anaongea...
  7. T

    Miti ya Barabara ya Sam Nujoma kwishnei! ndiyo tumeliwa?

    Mthinichekeshe mie jamani! Ila aibu kweli kweli. Kuna jamaa aliwahi kunisimulia stori kuwa enzi za "Mwalim"u akiwa anatembelea vijiji vya ujamaa, kuna kijiji kilitengeneza shamba kwa ajili ya maonyesho ya kilimo katik avijiji vy aujmaa. Kuliwa na mahindi yamestawi vizuuuuuuuuuuuri. Wakati...
Back
Top Bottom