Napenda na huwa navutiwa sana na vipindi vya ITV lakini hiki cha dak. 45 nilishaachana nacho kabisa. Hata malengo yake ni utata. Sijawahi kushuhudia akialikwa kiongozi wa taasisi yoyote tofauti na serikali na CCM. Mwazoni nilifikiri kwamba labda kina lengo la kuwapa tu nafasi watedaji wa...
Tulianza na Mungu. Timemaliza na Mungu. Kazi inaendelea. Makamanda hakuna kulala
Ikumbushe NEC watangaze uchaguzi na kwenye lile jimbo walilolokatalia.
Jeshi la polisi linapokosa weledi kiasi hiki halina sababu ya kuwepo.
IGP mwema asipopata busara za kujinasua makuchani mwa 'gaidi' Mwigilu Madelu Nchemba atarajie kuvuna aibu.
Kwanza, Lowassa hajadiliki kwa sababu ni fisadi. Hatuhitaji fisadi ikulu. Pili, Magufuli anafaa tu ikiwa atajiengua CCM. Si vinginevyo. Ikumbukwe kuwa mfumo wa CCM ni wa kifisadi kwa 100% na hakuna wa kufurukuta.
Haya ni matunda maovu ya udini alioupandikiza JK. Na wenye akili kama ya kwake, kina ustadhi Ilunga, wanaendelea kupalilia kwa kuhamasisha mauaji dhidi ya viongozi wa Kikristu. Serikali iko kimya inasubiri wakristu wachukue wenyewe hatua za kujihami. Serikali inapaswa kutwambia ina ajenda gani...
Haya ni matunda maovu ya udini alioupandikiza JK. Na wale wenye akili kama ya kwake, akina ustadhi Ilunga wanaendelea kupalilia kwa kuhamasisha mauaji dhidi ya viongozi wa Kikristo. Serikali iko kimya, inasubiri wakristo wachukue hatua za kujihami!!!!!
Ni muhimu pia kwa waandishi kuchuja habari na si kujaza kurasa kwa propaganda. Kuna haja gani ya kujadili suala ambalo tuna uhakika kabisa halina tija. CCM ni mahiri wa kuanzisha mada mfu za kuwapoteza watu mwelekeo ili wasihoji mambo ya msingi.
Kuna haja ya kuchunguza historia ya huyu OCD. Nina mashaka kama anastahili kuwepo kwenye kiti hiki. Hii inasikitisha na kushangaza. Who is Kinana?????!!!!, Na mikutano yake ni ya kisiasa au kiserikali??!!! Au wanatafuta sababu ya kufanya mauaji mengine??
Lowasa ni Mmeru kwa damu lakini alikana kabila lake na kujifanya Mmasai kwa sababu zisizojulikana. Hii ni hatari mnapokuwa na kiongozi mwenye hadhi ya ubunge anayeweza kukana kabila. Tutajuaje kama hawezi kukana utaifa wake? Kimsingi jamaa ana sifa nyingi mbaya. Hafai hata kuwa mbunge. Nashangaa...
Hawa jamaa ndo maana wanacheleweshewa mishahara hadi tarehe 45. Kuwa tayari kutumika kwa maslahi ya watu binafsi au kikundi cha watu kunawafanya wadhalilike. Na itakuwa hivyo mpaka..
Hawa jamaa ndo maana wanacheleweshewa mishahara hadi tarehe 45. Kuwa tayari kutumika kwa maslahi binafsi ya watu au kikundi cha watu kunawafanya wadhalilike. Na itakuwa hivyo mpaka...
Tunayo kazi kubwa ya kufuta umasikini wa fikra. Inakuwaje mtu anazungumzia vita ya urais wakati ambapo si Dr. Slaa wala Mh. Mbowe aliyewahi kuzungumzia urais kwa namna yoyote wala kuonyesha nia??. Naona Prince Bagenda wa gazeti la TAZAMA [la propaganda] ana mawakala wake humu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.