Search results

  1. U

    Partner/Mbia wa Biashara - Sales Agents

    Habari ya Asubuhi. Nina kazi inayohitaji watu wengi wa kufanya mauzo, ninatafuta watu binasfi au kampuni za kushirikiana nazo, dhamira ni kufika Tanzania nzima hivyo ningependa kupata washirika wa biashara kutoka pande zote za Tanzania. Kwa high level, biashara itakua na mfumo huu. 1. Kila...
  2. U

    Msichana wa kazi anahitajika haraka

    Msichana wa kusaidia kulea watoto anahitajika haraka, mmoja ana miaka minne na wa pili ana miaka miwili. Jumatatu hadi ijumaa kuna mtu mwingine wa kufanya usafi na kazi nyingine za nyumbani, msichana ayehitajika anakua na jukumu la kutunza watoto na kupika. Msichana ataishi pamoja na sisi...
  3. U

    HESLB hawawajibiki vya kutosha

    Hawa jamaa wa bodi ya mikopo ya elimu ya juu (heslb) wako busy kwenye vyombo vya habari kuwaambia watu wajitokeze kwa hiari la sivyo wao watafika nyumba kwa nyumba, watatoa picha kwenye magazeti na mambo kama hayo. Lakini ukijaribu kuwapata kwa simu zao +255-22-2772432/3 simu inaita mpaka...
  4. U

    Car4Sale Landcruiser Prado - PZJ77

    Make : Toyota Model: Landcruiser Model Number: PZJ Engine: IPZ Price: Milioni 14 Mahali lilipo: Dar es Salaam Condition: USED, New Battery, 4 new tires Year: 1992 Mileage: 372973 Transmission: Manual Fuel Type: Diesel. Tyre: 4 new Battery Mawasiliano: call/sms/whatsapp 0754-730813
  5. U

    Used ATM pamoja na Safe Vinauzwa

    Nina ATM 30 zilizokwishatumika zinauzwa. baadhi zinafanya kazi lakini nyingine hazifanyi kazi (for spares) ATM zote sina safe zenye funguo na combination lock. naziuza kwa bid, mwenye bid nzuri ndio mnunuzi, hakuna minimum price. Simu 0754-730813, ATM zipo mikocheni, Dar Es Salaam Picha ya...
  6. U

    Kodi ya Nissan Dualis 2007, CC 1990

    Najaribu kupata makadirio ya kodi, kwa Nissan Dualis ya 2007 CC 1990, siioni katika list ya TRA, mwenye kufahamu makadirio ya hii gari naomba msaada tafadhali
  7. U

    Natafuta paka wa kufuga

    Wanabodi, ninahitaji sana paka wa kufuga, kama kuna mtu mwenye nao na naweza kupata mmoja naomba PM tafadhali
  8. U

    Tundu Lissu katika makutano show kuanzia saa tisa

    Saa tisa kamili Mh Tundu Lissu atakuwa nasi katika makutano junction, tunasika kupitia 92.9 Dar, 93.3 Dodoma, 98.6 Arusha na 101.7 Mwanza/Tanga Tutakua tunazunguzia makubaliano ya vyama vinne (UKAWA) kushirikiana. updates zitakuwa hapa.
  9. U

    Nahitaji baiskeli used ya mtoto namba 12

    Nahitaji baiskeli ndogo ya mtoto. Mtoto ni miaka 3, baiskeli iwe namba 12. mwenye nayo aniPM au text 0754730813. offer: 50,000/=
  10. U

    Ismail Jussa yupo live katika makutano

    Ismail Jussa anahojiwa sasa katika makutano ya magic fm na Fina Mango nitaweka updates hapa kwa wale walio mbali na redio Updates "kwa kuzungumza mfumo wa Serikali mbili badala ya mfumo Serikali tatu, ni ushahidi kwamba CCM hawajadili rasimu ya wananchi" @jussaCUF "Madai yetu ya msingi ni...
  11. U

    Business Opportunity - kuwa wakala wa benki

    Kama ungependa kuwa wakala wa benki, tuwasiliane kwa namba 0754-730813 Vitu vya kuzingatia 1. Soma Page number 5 na 6 kwenye hii guideline ya BOT kujua kama umekindi vigezo vya kuwa agent...
  12. U

    Kodi Imepungua kwa Tsh 1,900 tu (elfu moja mia tisa)

    Serikali imekua ikisisitiza kwamba inajali wafanyakazi na imekua ikijinadi kwamba inafanya hivo kwa vitendo na sio maneno. Katika sherehe za mei mosi, Rais alisema nia yake inaonekana kwa namna ambavyo serikali ilipunguza kodi mwaka jana na kwamba hata mwaka huu itapunguza. Kumekua na PR sana...
  13. U

    Tochi za kupima mwendo(speed) zinatumika vibaya Mdaula

    Juzi nimeendesha kutoka Dar kwenda Mbinga, hii ni safari ndefu ya kilomita zaidi ya 1,000 Kipande cha Mlandizi hadi Morogoro kimekua na usumbufu sana, kutoka kwa baadhi ya hawa ndugu zetu. Hivi ni kwa nini mtu anajificha kichakani na tochi? Uko na km zaidi ya 900 kufika mtu anakupiga tochi...
  14. U

    Wenje awatuhumu wajumbe wa kundi la 201 kuhongwa!

    Wenje bila kujali kwamba anaudhi wengi amesema kundi la 201 wamepewa rushwa ya chakula na vinywaji, hii ni dharau kwa wajumbe 201. Vitendo alivyofanya Wenje bungeni ni aibu na upuuzi, kwa hakima vitendo kama hivi vinashusha sana thamani ya CHADEMA kwa jamii. ======
  15. U

    Toa Mpesa kwa kutumia ATM za UmojaSwitch

    Kuanzia sasa unaweza kutoa Pesa kwa kutumia ATM za UmojaSwitch. ATM za umojaSwitch ni kama wakala wa Mpesa, hii ni njia rahisi na uhakika, ni masaa 24 na ni uhakika, ATM ziko na pesa muda wote. KWENYE SIMU YAKO 1. Piga *150*00# Chagua Toa Pesa 2. Ingiza namba ya wakal (999999) 3. Ingiza...
  16. U

    miliki website kwa laki mbili

    Ninatengeneza website kwa kuanzia shilingi laki mbili tu, hii ni pamoja na registration na hosting ya mwako mmoja. kama uko na bishara na ungependa kuwa na website yako basi niPM. www.yourname.co.tz au Yourname.com
  17. U

    Mjadala wa posho katika Makutano show

    Karibu katika Makutano kupitia 92.9 Dar, 93.3 Dodoma, 98.6 Arusha, na 101.7 Mwanza/Tanga. Ssebo yuko nawe mpaka 6pm. Karibu Leo mjadala ni Posho za wajumbe wa bunge la katiba. Maria Tsheshai atakuwa studio kuanzia saa 11. kwa mchango karibu katika kupitia twitter handle yetu -@makutanoShow...
  18. U

    Maaskofu wa Kipentecoste (PCT) Waongo?

    Dk Turuka anasema madai kwamba wa-pentekoste wamepuuzwa si ya kweli, anadai kwamba wamepitia record zao na hawajapata uthibitisho wa kuwepo mapendekezo yeyote kutoka baraza la maaskofu wa kipentekoste. ameendelea kwa kusema kwamba kwa ukubwa wa jamii ya wapentekoste Tanzania, hakuna namna...
  19. U

    hamisi kigwangala akiongelea bunge la katiba

    kuanzia saa 11 jioni, Hamisi Kigwangala marie na wengine watasika hewani wakiongelea uteuzi wa wajumbe wa katiba msikilize fina kupitia magic fm, 99.2fm
  20. U

    Toyota Land cruiser - Short chasis 6m

    Toyota Landcruiser short chasis ya 1992 iko sokoni. bei 6m. gari ipo Dar, mnazi mmoja. kwa atakayetaka kuiona au kwa maelezo zaidi PM au simu 0787-730813
Back
Top Bottom