Search results

  1. U

    Partner/Mbia wa Biashara - Sales Agents

    Ninajua kwamba sijaandika kila kitu na siwezi kuandika kila kitu. Nimeweka high level info ili wenye interest waniambie tuongee zaidi, wengine wameniandikia pembeni na wengine wamenipigia tumeongea,. In case iko na interest nicheck pembeni au call me kwa maelezo zaidi, ukipata maelezo utaamua...
  2. U

    Partner/Mbia wa Biashara - Sales Agents

    Hello Josephat, niambie kitu gani exactly ungependa kujua, kama ni kitu ninachoweza kuandika hapa nitafanya hivyo kama sio kitu nitakachoweza kuandika basi itakua unfortunate.
  3. U

    Partner/Mbia wa Biashara - Sales Agents

    Inahusu huduma za malipo, nipigie simu/nipe contacts zako kwa maelezo zaidi niambie what exactly ungependa ni-elezee, kama ni kitu kinachofaa kuweka public nitafanya hivo mkuu.
  4. U

    Partner/Mbia wa Biashara - Sales Agents

    karibu tufanye kazi cylia
  5. U

    Partner/Mbia wa Biashara - Sales Agents

    inahusu huduma/service
  6. U

    Partner/Mbia wa Biashara - Sales Agents

    Asante mama D, nimekuandikia
  7. U

    Partner/Mbia wa Biashara - Sales Agents

    Habari ya Asubuhi. Nina kazi inayohitaji watu wengi wa kufanya mauzo, ninatafuta watu binasfi au kampuni za kushirikiana nazo, dhamira ni kufika Tanzania nzima hivyo ningependa kupata washirika wa biashara kutoka pande zote za Tanzania. Kwa high level, biashara itakua na mfumo huu. 1. Kila...
  8. U

    Msaada wa Haraka: Fast Jet Yataka Kurudisha Nauli Mwanza

    Dunia nzima ndio iko hivo. wengine huwa na option ya flexible ticket ambayo inakuwezesha kubadili tarehe ya safari bila malipo ya ziada, ila flexible tickets are normally more expensive than tickets za kawaida.
  9. U

    Waziri Mwigulu Nchemba apiga marufuku safari za nje kwa wote waliotajwa kwenye sakata la mchanga

    mambo ya nchi wanahusika vipi hapa? it seems hakuna unachofahamu kwenye haya mambo
  10. U

    Samsung smart TV 40" screen inahitajika na fundi pia

    naomba namba yake inbox please.
  11. U

    House4Sale Nyumba MPYAAA Inauzwa Kigamboni Eneo Limepimwa

    Bei ya maelewano ndio bei gani?
  12. U

    House4Sale Nyumba MPYAAA Inauzwa Kigamboni Eneo Limepimwa

    Bei ya maelewano ndio bei gani? We andika bei ya kuuzia hapa, Acha kusumbua watu
  13. U

    Msichana wa kazi anahitajika haraka

    Msichana wa kusaidia kulea watoto anahitajika haraka, mmoja ana miaka minne na wa pili ana miaka miwili. Jumatatu hadi ijumaa kuna mtu mwingine wa kufanya usafi na kazi nyingine za nyumbani, msichana ayehitajika anakua na jukumu la kutunza watoto na kupika. Msichana ataishi pamoja na sisi...
  14. U

    Chukueni tahadhari na dawa hii, TFDA na Wizara ya Afya mpo wapi?

    Usinunue dawa bila kuandikiwa na daktari.
  15. U

    HESLB hawawajibiki vya kutosha

    Nani kawazuia? Ila na simu muwe mnapokea, au kwa vile kutoa majina magazetini cheque lazima zisainiwe?
  16. U

    Tochi za kupima mwendo(speed) zinatumika vibaya Mdaula

    1. hii mada niliiweka June 2014, miaka miwili kabla wewe hujaijua JF. 2. Kama umeendesha gari, hata kama ni la kuazima, lazima utajua a difference btn 50kph na 57kph ni negligible. 3. kuna kitu kinaitwa common sense, umewahi kukisikia?
  17. U

    HESLB hawawajibiki vya kutosha

    Hawa jamaa wa bodi ya mikopo ya elimu ya juu (heslb) wako busy kwenye vyombo vya habari kuwaambia watu wajitokeze kwa hiari la sivyo wao watafika nyumba kwa nyumba, watatoa picha kwenye magazeti na mambo kama hayo. Lakini ukijaribu kuwapata kwa simu zao +255-22-2772432/3 simu inaita mpaka...
  18. U

    Msaada: Naomba mkopo wa Laki tatu, dhamana cheti cha NGOs

    niPm kama bado unahitaji
Back
Top Bottom