Search results

  1. feitty

    Natafuta kazi ya kufundisha

    Wakuu habari za jioni. Mimi ni mhitimu wa chuo kikuu 2015. Nimesoma Bachelor of Arts with Education na masomo ya kufundishia ni History na Geography. Nimeamua kuja kwenu ili kwa yeyote mwenye uwezo wa kunipatia au kuniambia sehemu ninayoweza kupata nafasi ya kufundisha nitashukuru sana. Iwe...
  2. feitty

    Kuwashwa sehemu ya haja kubwa

    Napenda kufaham je mtu kuwashwa sehemu ya haja kubwa ni ugonjwa Je inasababishwa na minyooo...
  3. feitty

    Nashindwa kuwaamini wanaume

    Habari za jumapili wana JF. Mimi ni msichana mwenye 24+ na nimepitia relation tatu mpaka hapa nilipo . Tatizo katika hizo relation zote nimeishia kuumizwa. Hii hali imenipelekea kutokuwa na imani kabisa na men. Umefikia hatua hata wale wanaojitokeza kuhisi ni walewale wadanganyifu. Kiukwel...
  4. feitty

    Utambulisho

    Habari zenu wapendwa Me mgeni humu naomba mnipokee
Back
Top Bottom