Search results

  1. G

    Hizi kucha za mheshimiwa waziri vipi au ndo rangi yake

    Wadau nisaidieni hapa kuhusiana na kucha (picha kwa hisani ya global publishers)
  2. G

    Mzee mwanakijiji sijakusikia siku nyingi au upo mjengoni unatunga katiba

    Badhi yetu tulipenda makala, miongozo na mtizamo wako hasa katika kuweka mambo wazi hapa kwenye jamvi. Sikusikii siku hizi sijui maswahibu gani yamekupata.... CHONDE CHONDE RUDI HASA WAKATI HUU WA MCHAKATO WA KUPATA KATIBA MPYA MAANA TUNAKOENDA SI KUZURI...WAMAMA HUKO MJENGONI WANAKABA NAO ETI...
  3. G

    Uhuru wa nchi unatoka wapi....check this out

    April 27, 1994 Aerial file photo shows long line of people queuing outside the polling station in the black township of Soweto
  4. G

    Paradiso ya africa

    Jamani angalieni hii imekaaje....na kwanini magavana wengine hawakuwekewa chochote zaidi ya huyu aliyetaka kufanya TANZANIA kuwa Paradiso ya Africa... EPA? Follow me on this linkhttp://www.bot-tz.org/AboutBOT/AboutDaudiBallali.asp
  5. G

    Huyu Dr. Aweza kuwa bado yu hai au BOT bado kuna mzimu wake- PARADISO YA AFRIKA

    Jamani niwasalimieni.... Nimeperuzi katika tovuti ya BOT kwenye list of Governors nikakutana na orodha ya magavana waliowahi kuongoza chombo hiki mahususi kinacho tuzika wakati fulani na kutufukua wakati mwingine kutokana na mfumuko wa bei. Kati ya ma gavana hao ni Dr. Daudi Balali tu amewekewa...
  6. G

    How Europe under-developed Africa

    Friends, .... This article reminds me the book titled " How Europe Under-developed Africa" by Walter Rodney. Check it out and see the role of African Minerals to Western Countries.....Thanks? Out of Africa: The minerals that make the world go round - CNN.com
  7. G

    Kwa wapenzi wa soka ya Tanzania ( Simba na Yanga) tu

    Kwa wapenzi wa soka hasa wale wa Simba na Yanga.... ebu iangalie hii imkaaje. Ushabiki huu si ndo wa kujitia kitanzi kweli... Kumradhi kama hii link ilishawekwa siku za nyuma...Yanga Fan Loses It After Defeat By Simba - YouTube
  8. G

    Kubenea /Mwanahalisi : We Miss you

    Wana jamvi...si utani ninamiss Kubenea na gazeti lake la Mwanahalisi...sijui atafunguliwa lini.... Kama kuna mtu yupo karibu na waziri ampelekee ujumbe kuwa kuwa Wa TZ wanashindwa kuendelea na maisha yao kwa sababu ya kotosikia au kupata habari za gazeti hili
  9. G

    Vyuo vya Elimu ya JUU kaa mkao wa kula lakini.... Kiarabu mtaweza kukisoma?

    Kikwete huyo.,,, ".........They also signed an MoU (Memorandum of Understanding) for co-operation in the field of higher education. The MoU is related to exchange of visits of academic and research institutions and exchange of research materials, publications, teaching aids, software and...
  10. G

    Panda Mchanga kafariki.... Breaking news Marekan nzima

    (CNN) -- Veterinarians at the Smithsonian's National Zoo in Washington have ruled out the possibility that a newborn giant panda cub was crushed by its mother, but an initial necropsy on the 4-ounce cub failed to provide a clear cause of death, officials said Monday. The cub, believed to be...
  11. G

    Wachumba waliobahatika kufanana maumbile ya midomo

    Nimewe ka tovuti za video ya wachumba hawa...naona kama wanafanana sana maumbile ya midomo yao. Ila kinachonichefua ni huyu dada: Ni kweli hawezi kuongea kiswahili fahasa au hata kujaribu...kidogo Fuatilia video za mahojiano: Video 1: Ms. Zamaradi Interviews Wema Sepetu, Talks About Her...
  12. G

    tutafika tu hata kam ni kutishana

    Huyu mwenzetu Aden Rage vipi na bastola hadharani Anamtishia nani....kama ni siraha kila mtu anayo...tena mapanga yanaua kuliko hiyo bastola yake. Igunga nako si mchezo sasa
  13. G

    Mchezo wa siasa....waweza onja ubaya mwisho ukapata raha

    Baada ya mateso mengi ni faraja....wakati mwingine ndivyo anaonekana Mzee Juma Duni Haji ambaye sasa ni waziri katika serikali ya Mapinduzi Zanzibar. Leo nimeomuona amesimama kwenye jukwaa la Umoja wa Mataifa mjini New York akihutubia.... Kwa wale mnaofuatilia siasa za Zanzibar mtakumbuka...
  14. G

    Obama na Marais wa Africa

    ‪President Obama Meets Leaders of Four African Nations‬‏ - YouTube Mazungumzo ya rais Obama kwa marais wa nne toka Africa, July 29 Fuatilia.
  15. G

    Ilikuwa ni ajali kweli kweli.... Thanks God

    GEORGETOWN, Guyana (AP) — Flight 523 from New York had just touched down and passengers were applauding the pilot's landing in the South American country Saturday when something suddenly went wrong. The Boeing 737-800 slid off the end of a rainy runway, crashed through a chain-link fence and...
  16. G

    Boyz II Men

    Sasa wewe mgeni wetu mbona umeanza kunukuu picha zilizopo humu...... Embu tembelea thread nyingi nyingi kwanza basi kabla hujaweka maana hiyo picha ipo hapa tena si mara moja...
  17. G

    Mabondia wetu: Mike Tyson na Evander Horifield....

    Kushoto bingwa wa UBO anaetetea mkanda wake Mbwana Matumla na kulia kwake ni Francis Miyeyuyo baada ya kusaini kupambana tarehe 30 Octoba, 2011. (Photo Source: MIchuzi Blog Spot). Miaka ya nyuma mabondia walikuwa na maguvu na maumbo kama ya watunisha misuli.... lakini wa siku hizi ni tofauti...
  18. G

    Msafara wa Rais, na kero zake..... WaTZ tuige wenzetu

    London Mayor Boris Johnson is raising a stink over minor congestion charges he says President Obama's motorcade incurred while visiting his city, the London Evening Standard reports. Johnson has fined the United States 120 pounds (nearly $200 U.S. dollars) in congestion levies--10 pounds per...
  19. G

    Kuficha watuhumiwa wa madawa ya kulevya... Wananchi, tufanye nini?

    Afisa Uhusiano wa Jeshi la Polisi Zanzibar Inspekta Mohammed Mhina, amesema kuwa baada ya kuhojiwa, Viongozi hao waliiomba Kamati hiyo kutowataja hadharani majina ama madhehebu yao kwa kuhofia kubezwa kwa madhehebu wanayoyaongoza. Akizungumza mwishoni mwa ziara yao Visiwani humo, Mwenyekiti wa...
  20. G

    Wizi mwingine wa kutumia jina la Mwl Nyerere....Kigoda cha Mwl JN

    Thamani ya kigoda hicho hapo juu ni milioni nne laki saba....... Eti ni kigoda cha Mwalimu Nyerere.... wizi mtuuuuupu
Back
Top Bottom