Mh. Nape ametumia ukurasa wake wa Tweeter kutoa ujumbe huo kwa kuwashauri wale wote wanazungumzwa negatively (wanaosakamwa) kuwa wasijali kauli na namna watu wanavyowafikiria.
Ushauri huu umekuja muda muafaka wakati Taifa linapambana na Madawa ya kulevya ambapo limeibuka kundi la wanufaika wa...
Kimsingi nimechoka kuwavumilia CRDB katika huduma yenu ya Automatic Teller Machine (ATM) ambayo imekuwa ni jambo la kawada kwa Benki hii kukata mtandao katika ATM kuanzia mida ya saa kumi na mbili hadi saa mbili na nusu usiku (18:00pm - 20:30pm) hasa katika Jiji la Mwanza.
Ukataji huu wa...
Katika usiri mkubwa sana, Mbowe ameanda Mkutano Mkuu Maalumu wa Chama Wilaya ya Ilemela ambao unafanyika katika Jengo la Vijana Mwanza leo 11/01/2017. Jengo hili lipo Wilaya ya Nyamagana.
Nikiwa kama mwanachama wa CHADEMA nilikuwa na shauku kubwa ya kumsikiliza kiongozi wangu. Lakini shauku...
Amani iwe nanyi!
Wapendwa Watanzania wenzangu naimani sote tunakumbuka kuwa Mh. Waziri Mkuu Mstaafu, Edward lowassa, aligombea nafasi ya Urais kupitia CHADEMA na kuungwa mkono na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananch (UKAWA).
Katika jitihada za kuongeza nguvu kifedha ili Mh. Lowassa...
Habari Watanzania wenzangu!
Nivyema tukafahamu kikatiba watu wanaomshauri Rais katika kutekeleza majukumu yake ya kila siku.
KATIBA YA TANZANIA YA 1977.
Ibara ya 37.
Ibara ndogo (1)
Mbali na kuzingatia masharti yali yomo katika Katiba
hii, na sheria za Jamhuri ya Muungano katika utendaji wa...
Haiitaji elimu kubwa sana kujua kama Lowassa anakubalika, ni macho pekee yatakudhihirishia kwamba anakubalika kulio maelezo.
Askari wa Kenya wanampigia saluti, alafe wewe unaangaika humu JF kumchafua!
Naomba muwe wavumilivu bado kidogo Mods walale kuna habari nataka niwajuze. Kama nikiiweka sasaivi wataifuta na mtakosa fursa ya kuisoma. Bado Mods wawili tu ndio wapo macho mpaka sasa.
Jamani hakuna mahari maalumu pakumuona umpendae. Pia hakuna mahali maalumu palipo ainishwa pakuanzishia mausiano, bali sehemu na namna yoyote inaweza faa kuanzisha mausiano ilimradi tu umemuona umpendae.
Hivi karibuni niliona picha (profile picture) ya msichana mrembo katika akaunti ya mmoja...
Kama mpenzi au mke wako anatatizo la kushika mimba hakikisha unafanya yafutalo
1. Mwanaume (Mume) anapaswa kumuanda mwenza wake kufanya tendo la ndoa (hakikisha unamuanda mpaka anafika kileleni).
2. Ikiwa tayari mwanamke kahamasika ipasavyo kufanya tendo la ndoa, mwanaume usimkurupikie...
Zipo mbinu nyingi sana za kufuta au kupunguza kuzungumza au kuandika broken English. Ni vizuri kutoa mbinu kulingana na broken husika.
Hivyo, andika au uliza kwa Kiingereza ili tuangalie broken ipo sehemu gani kisha itolewe mbinu ya kufuta aina hiyo ya broken.
"Kumbuka tiba hutolewa baada ya...
Kwa wale wanaokopa mikopo katika taasisi zinazotoa mikopo kwa masharti nafuu mfano FINCA na PRIDE wapaswa kuelewa kuwa hakuna sheria ya dhamana ya mkopo ya vitu vya ndani.
Katika kulitambua hili, taasisi hizi huitaji mkopaja awe katika kikundi kisichopungua watu watano. Hii inamaanisha kuwa...
Siku hizi pamekuwa na tabia ya watu kuiba hati ya nyumba na kwenda katika taasisi ya fedha kuchukuwa mkopo bila ridhaa ya mwenye hati.
Inawezekanaje mtu apewe mkopo kwa hati ambayo haina jina lake? Sheria inasemaje katika hili?
Kimsingi Wenyeviti wa vyama vya upinzani wasipo kuwa wabunifu ili kuendana na kasi ya CCM chini ya JPM, vyama vyao vitakufa kisiasa kwani kila kukicha katika maeneo mengi hasa mitandao ya kijamii hoja zinzojadiiwa ni za CCM, ziwe za kutumbua majipu au la.
Kwa hali hii, vyama vya upinzaani...
Kwanza nakupongeza Rais John Pombe Joseph Magufuli kwa utendendaji kazi wako wa kufuatilia katika maofisi!
Hivyo, tunakuomba utembelee kwa kustukiza katika Halmashuri zetu, hasa ya jiji la Mwanza kwani pamekuwepo na utendaji kazi duni na wakilaghai. Mfano, katika Idara ya Ardhi unapotaka...
WATU 9 wamejeruhiwa na gari na pikipiki kuharuibiwa vibaya kutokana na vurugu zilizotokea baina ya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) na Chama cha Mapinduzi(CCM).
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Ahmed Msangi amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kuongeza kuwa...
Aliyewahi kuwa waziri mkuu wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mh. Fredrick Sumaye, ametupa ‘Dongo' kwa mahasimu wao kisiasa CCM, waanze kufungasha ‘virago' mapema kwa kuwa mwaka huu ni wa UKAWA.
Akizungumza jana na mamia ya wananchi Dar es salaam, Sumaye amedai kwa miaka mingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.