Search results

  1. R

    Download Videos haziplay

    Kwa sasa kuna wingi wa flash mbovu na unaweka data vizuri ila km no video au mp.3 hazichezi kabisa hivyo tatizo lako flash ni mbovu tafuta flash nyingine
  2. R

    Gari lilikuwa nyumbani siku 2, mfumo wa Trafiki Polisi unaonesha ilipigwa faini

    Mimi nilishapata tatizo kama lako nikaenda polisi makao makuu ghorofa ya nne kuna kitengo kinachoshughulikia nenda na leseni yako na mkeo watakusaidia na utajua fine iliandikwa wapi na nani aliandika ref. Ni leseni hivyo sio rahisi kubambikiwa.
  3. R

    Kusema kweli Ada ya kufanyia miamala imepanda mara dufu

    Sawa kabisa naamini ktk hili maana wamejiwekea sheria zao utaona tu vigezo na masharti kuzingatiwa
  4. R

    Mwanamke ninayetembea nae lazima abebe

    Si uoe na umzalishe mkeo?
  5. R

    Watoto wa mwisho tukutane hapa

    Du kuna uzuri wake na ubaya kwa upande wa uzuri nilikuwa bigboss baba akiwa mgumu kutoa hela basi natumwa mimi kwa baba zinatoka . ubaya sasa wote tumezaliwa madume ila wakati wa kupika mie nilikuwa nanyimwa kaka zangu ndio wanapika matokeo yake najua vyakula vichache tena bibi ndie alinifundisha
  6. R

    Msaada Passo yangu haina nguvu kabisa tatizo ni nini?

    Kuna vitu vingo Vya kuangalia kafanye check up ya machine, na kingpin inaweza kuwa gearbox oil imepungua au kuwa nyepesi
  7. R

    Nimethibitisha ni kweli mke wangu kanisaliti

    Ume mshauri vizuri sana maana kumpiga ni kumhukumu na ataona hukumu ilishatoka hivyo uwezekano wa kuendelea kuchepuka ni mkubwa . Wakati mwingine mwl wa mwanamke ni kipofu hivyo hufanya jambo bila kufikiria madhara yake hivyo kikubwa ulichotakiwa ni kusubiri km amejutia naamini ataendelea...
  8. R

    Kero za mtandao wa Tigo

    Sio vifurushi vya internet tu hata bundle za kupiga simu unanunua dk 50 kupiga tigo kwenda tigo kwa siku unatumia dk saba wanakuambia kifurushi kimekwisha ukipiga customer service wanakuomba wanashughulikia tatizo matokeo yake utarudishiwa kifurushi kesho yake tena zimebaki dk kumi muda wa...
  9. R

    Kupokea simu ya Mpenzi/Mwenza pale inapokuwa karibu yako ni ruksa?

    Kweli kabisa na muhimu mwanzo wa mahusiano yenu km mliwekana wazi mipaka ya simu zenu inakuwa vizuri sana na tukumbuke ninyi ni mwili mmoja mmeamua kuwa mume na mke suala la siri kati yenu linakujaje kama mliona bado mnataka kula ujana msingeoana ili muendelee na maisha ya kuficha siri. na...
  10. R

    Dawa ya kitambi hii hapa

    Unaweza kutumia mafuta ya ubuyu ni dawa nzuri sana ya kutibu vidonda vya tumbo unakunywa vijiko viwili vya chakula asubuhi na jioni kwa muda wa siku ishirini na moja utakuwa umepona kabisa. Pia yanasaidia kupunguza kitambi
  11. R

    Elections 2010 Wenje ashawishiwa ajitoe, shinyanga yadaiwa kuibiwa kura

    Ni wakati wa kubadilika watanzania tusidanganyike tena chama tawala kinafanya kila njia ili kishinde
Back
Top Bottom