Search results

  1. Uponyaji na uzima

    Uthibitisho wa picha: Yanga ilifunga goli moja la halali kwenye mchezo dhidi ya Simba jana

    Huu ndio uhalisia wa magoli ya jana. Goli la kwanza la Yanga na lile la Simba yalikuwa halali. Mengine unaweza kuangalia picha hapa chini. Goli la pili: Faulo ilifanyika na wachezaji wawili wa Simba waliangushwa na kukanyagwa. Goli la tatu: Mzize alikuwa eneo la kuotea wakati anapokea...
  2. Uponyaji na uzima

    Nimepata ajira ambayo PAYE yake ni zaidi ya mshahara wa serikali nilioenda kufanyia interview Dodoma

    Mwaka jana mwezi September nilienda usahili pale utumishi Dodoma na niliweka mrejesho hapa. Usaili wa utumishi (kwenye interview ya mchujo) unawalenga wanafunzi na wahitimu wapya Kimsingi mimi kama expert (niko internationally certified) sikupenda aina ile ya interview kuulizwa masuala ya...
  3. Uponyaji na uzima

    Biashara za chakula kuendelea kushamiri mchana hapa Dar mwezi wa Ramadhani ni uthibitisho kwamba waislamu ni wachache?

    Nimepita maeneo ya Magomeni, Ilala, Kinondoni, Buguruni, Temeke na Mbagala na kuona biashara nyingi za chakula zikiendelea Alhamisi, Ijumaa na hata leo Jumamosi asubuhi. Maeneo tajwa hapo juu yalisemekana kuwa na wakazi ambao ni jamii ya kiislamu. Sasa naendelea kujiuliza kwanini biashara za...
  4. Uponyaji na uzima

    Dodoma, Mbeya, Mwanza na Tanga sio majiji; zirudishwe kuwa halmashauri au manispaa

    Nimesafiri kwenye maeneo tajwa hapo juu katika siku za hivi karibuni na ninathibitisha kwamba hayo sio majiji. Hizo ni halmashauri tu na labda juu sana ni manispaa lakini sio zaidi ya hapo. Vigezo viboreshwe ili nchi itoe hadhi ya mahali kulingana na uhalisia. Nyumba zimesambaa kama takataka...
  5. Uponyaji na uzima

    Usaili wa utumishi (kwenye interview ya mchujo) unawalenga wanafunzi na wahitimu wapya

    Nimehudhuria usaili kadhaa wa utumishi kwa kazi nilizoomba kupitia ajira portal wiki hii. Ni kazi za ICT officers. Kwenye mchujo (written interview) wanauliza maswali ambayo ni ya wanafunzi, yale maswali yanayohusisha kukariri vitu vingi na terminologies.
  6. Uponyaji na uzima

    Nimefurahi sana kufahamu kwamba nchi ya Israel ina mabomu ya nyuklia 90

    Kumbe nchi hii ndogo kwa eneo ina mabomu mengi hivi ya nyuklia? Pamoja na kuzungukwa na maadui wengi, hawajawahi kutumia silaha hizo kuwaangamiza. Hii ni nchi inayojali utu. Ni nchi yenye ujasusi wa hali ya juu. Hii nchi imesaidia kulinda usalama mashariki ya kati kwa kuhakikisha iraq, iran...
  7. Uponyaji na uzima

    Ajira portal kwanini hawaruhusu kurekebisha academic qualifications?

    Huu mfumo unaratibiwa na watu wa aina gani? Kwanini mnazuia vijana wasiweze kurekebisha au kudelete academic qualifications walizoziweka? Halafu mbona mkiandikiwa email hamjibu? Pia sehemu ya feedback mmeweka recaptcha iliyo case sensitive lakini wakati wa kuandika mmeweka automatic upper case...
  8. Uponyaji na uzima

    Yupo wapi Andrew Chenge?

    Sijamsikia siku za hivi karibuni huyu mbunge, mwanasheria mkuu na mwenyekiti wa bunge mstaafu. Kwakweli nakuwa nervous kiasi maana huyu akikaa kimya basi ujue kuna kinachoendelea huko. Kipindi hiki watu wanarudi zao tutashangaa tu tushapigwa tukio.
  9. Uponyaji na uzima

    Unasemaje kuwa umefunga wakati kila jioni unakula?

    Salamu kwenu Huwa siwaelewi watu wanaposema wanafunga wakati kila siku jioni wanakula. Ninawafahamu watu wengi tu wanaofunga mpaka siku 21 kwa kunywa maji tu na kila siku wanaendelea na shughuli zao. Mimi mara nyingi tu naenda mpaka siku saba bila kula na kazi nafanya kila siku. Nadhani...
  10. Uponyaji na uzima

    Siku ya nne sasa hakuna maji hapa Sinza-Palestina. DAWASCO ipo?

    Salamu Maeneo tajwa hapo juu tulishasahau adha ya kukatika kwa maji. Ila sasa tupo siku ya nne maji hayatoki na hata hakuna taarifa kwanini hali imekuwa hivyo. Wiki mbili zilizopita yalikatika kwa siku mbili japo ilitangazwa maana ni almost Mji mzima haukuwa na maji. DAWASCO mpo wapi? Waziri...
  11. Uponyaji na uzima

    Kiranga alikuwa anasali Kanisa Katoliki. Ilikuwaje akaanza kuamini hakuna Mungu?

    Mara nyingi nimekuwa nikiwaza huyu member hapa JF atakuwa alikutana na incident iliyomfanya akamchukia Mungu. Hapa anaeleza namna alivyokuwa anasali na Nyerere pale St Peters My take, huyu anahitaji kuombewa ili amrudie muumba wake.
  12. Uponyaji na uzima

    Zimebaki siku nne tu kwa mujibu wa katiba kumtangaza, kuthibitishwa na bunge na kuapishwa kwa Makamu wa Rais

    Salamu wakuu Kuanzia tarehe 17/3/2021 mpaka leo ni siku kumi. Kwakuwa katiba inatamka ndani ya siku 14 makamu awe amepatikana, basi sasa Rais na chama wamebakiwa na siku 4 kutuletea makamu. Niwatakie kila la heri na watuletee mtu mwenye uwezo.
  13. Uponyaji na uzima

    Pastor Chris wa Nigeria asema "Magufuli is a wise president" kwa kugundua udhaifu wa vipimo vya Corona

    Sikiliza mwenyewe Amemtaja kama 'a smart guy' na 'a wise president' Amemaliza kwa kusema "is time to think"
Back
Top Bottom