Search results

  1. M

    Jee, duniani kuna nchi inayoendeshwa vibaya zaidi kuliko Tanzania

    Nchi ambayo kila kiongozi ana statistcs zake kuhusu kukua kwa uchumi na kupungua kwa umaskini. Inategemea anaongea na kinanani at that time.
  2. M

    MGOGORO: Malumbano ya UVCCM, Viongozi wastaafu na Hatima ya CCM

    Kwakweli hili pia mie nimeona ni tatizo. Ila sehemu kubwa nadhani linachangiwa na system yenyewe. Ukiangalia hata matamko yanapotoka. Mwenyekiti yupo katikati ya Watoto wa Vigogo. Hii ni Kuonyesha kwamba labda yanabaraka toka Juu. Sasa hawa wazee hata wakikaripiwa wanaogopa kujibu mapigo maana...
  3. M

    chadema makao makuu mmeitelekeza chadema singida

    But you guys you have Tindu Lisu, one of the toghest figures in Chadema. Mshirikisheni katika hili naamini atalifanyia kazi kwa ufanisi wa hali ya juu.
Back
Top Bottom