Search results

  1. L

    Elections 2010 Mbona walitaka sisi tukubali matokeo na wao sasa wanagoma?

    Aibu yao. Wamezoea vya kunyonga, vya ku.....hawaweze, maana hawajazoea. Utamaduni mgeni huu. People´s power itawalazimisha tu.... Big up sana chadema
  2. L

    Elections 2010 Vurugu Mbeya Shule ya Loleza sekondari yachomwa moto

    Kwa ukweli inashangaza kuona chama kikongwe kimekuwa kikihubiri wapinzani kukubali matokeo. Hali ikionekana inakula kwao, basi wao wanakuwa wa kwanza kutokukubali kupokea matokeo! Hii imethibitika maeneo kama ya arusha, mwanza, hai, na sasa mbeya. Lakini maeneo ambayo chama hicho kikongwe...
Back
Top Bottom