Search results

  1. O

    Wizara ya elimu mchunguzeni mkuu wa chuo cha ualimu Tukuyu na makamu wake

    Serikali ya awamu ya tano imejipambanua kuwa inapambana na rushwa na kutaka watu wote wafanye kazi. Huyu mkuu wa chuo cha ualimu Tukuyu ndugu Ubaya Salum kwakweli anakwenda kinyume kabisa na taratibu zinavyotakiwa. Zipo tuhuma nyingi sana zinazimkabili lakini inaonekana wafanyakazi wa chuo hicho...
  2. O

    Tetesi: RC Mnyeti kufukuzwa kazi!

    Kichwa cha mnyeti hakina tofauti na cha mteuaji wake. Watu aina hii wanapendwa Sana na mkuu wao. Sio muda atamwagiwa sifa nyingi Sana. Angalia wale wenye maneno ya shombo kama kibajaji, bashte na Gambo wanavyopendwa na bosi wao.
  3. O

    Lukuvi: Kigwangalla hakunishirikisha mgogoro wa kiwanja Arusha

    Kigwangala ni sawa na joka la kibisa. Matamko tu utekelezaji ziro. Mie nilicheka sana kipindi anamtuhumu nyarandu eti anatesa na akina anti Ezekiel. Mwanaume mzima bila aibu ndo ya kusema hayo. Kigwa hana tofauti na aggrey mwanry mkuu wa mikoa wa Tabora naye hupenda kufoka kwa maneno makali sana...
  4. O

    Bashe: Umefika wakati Wizara ya Fedha kubadili sera za kibajeti, mzunguko wa fedha umepungua kutoka 22% hadi 1.8%

    Tangia nisikie ile kauli yake kuwa wafuasi wa vyama vya upinzani wapigwe maana polis ni wa ccm sina haja ya kumsikiliza huyu . Aache kuropoka ropoka aende akamwambie jpm mwenyewe!
  5. O

    Lukuvi: Kigwangalla hakunishirikisha mgogoro wa kiwanja Arusha

    Kigwangala ni sawa na joka la kibisa. Matamko tu utekelezaji ziro. Mie nilicheka sana kipindi anamtuhumu nyarandu eti anatesa na akina anti Ezekiel. Mwanaume mzima bila aibu ndo ya kusema hayo. Kigwa hana tofauti na aggrey mwanry mkuu wa mikoa wa Tabora naye hupenda kufoka kwa maneno makali sana...
  6. O

    Waziri Ndalichako: Michango ya hiyari shuleni inaruhusiwa

    Huyu profesa sio muda atatumbuliwa. Anashindwa kumsoma jpm vizuri. Kasema michango hakuna yeye anasema ipo. Waache watibuane wenyewe buana!
  7. O

    Rais Magufuli, Mama Ndalichako , Suleiman Jafo mnachanganya wananchi juu ya Elimu Bure.

    Mimi nakereka sana na kauli, "mmetuelewa vibaya, mnapotosha wananchi, mnaleta uchochezi" nk. Wanachi sio wajinga kiasi hicho. Hakuna michango shuleni. Mara ya kwanza baada ya kauli ya rais kuwa michango hakuna baadhi ya viongozi wandamizi wakaja na kauli "serikali haijasema elimu bure bali...
  8. O

    Tundu Lissu kwenda nchini Ubelgiji kwa matibabu zaidi

    Mbona ulisema wakenya wakirusha live press ya lisu utakunywa Sumu. Bado upo tu!
  9. O

    Jeshi la Polisi na CCM, Mwenyekiti wa UVCCM ana haki gani kufanya mikutano nchi nzima ila upinzani wao majimboni tu?

    Wakifanya eti kwa vile ccm wanafanya itakuwa ndo upumbavu. Wewe inaonekana ndo walewale
  10. O

    Kamati hii ya Uteuzi inaweza kweli kutupatia Tume Huru ya Uchaguzi?

    Nashukuru sana ndugu kuletà mada hii. Mie tangu mwanzo nilitilià mashakà baadhi ya vipengele vilivyoko kwenye rasimu ya katiba ikiwemo eneo hili la namna ya kupata hii tume itakàyoitwa huru. Kwanza nimeona hakutakuwa na tofauti yoyote na hii ya sasa ya akina kailima. Sijajua nchi zilizoendelea...
  11. O

    Kim kumponda Trump na Israel juu ya Yerusalemu, ni kutangaza uadui na Israel

    Na pia rafiki wa àdui yako ni adui yako
  12. O

    Kongamano la uzalendo na utaifa watu kuanza kuondoka kabla ya meza kuu inaasharia nini?

    Sio mkutano wa uzalendo bali ilikuwa ni mkutano wa uvccm. Nimeshangaa eti ni mkutano wa watanzania wote na huo mkutano badala ya kupanda mbegu ya uzalendo unaing'oa iliyopandwa maana unaleta ubaguzi wa kivyama. Wao wanadhani kuwa ccm ndio Uzalendo. Big NO
  13. O

    Mwanafunzi wa chuo asipofanya field ni hatua gani atachukuliwa?

    Hapo ni discontinue yaani ni sawa na kutosoma kozi mojawapo uliyojàza kuisoma. Field ni Kama kozi zingine
  14. O

    Huku tunaishi maisha magumu na hayana uhakika. Naomba Mwenyekiti atupokee turudi nyumbani

    Hapa book7 watakupongeza kuwa umewasifu kumbe ni kinyume chake.
  15. O

    Kuelekea uchumi wa viwanda ni vizuri tukajua maana na tafsiri halisi ya viwanda

    Kwa mjibu wa sizonje, vitu kama gereji, karakana ya fundi seremala, sehemu ya kutengenezea chapati nk ni viwanda. Hivyo kabla ya mwaka 2020 usishangae tukaambiwa Tanzania is an industrial country
  16. O

    Tetesi: Wabunge wanne, kuhama vyama vyao

    Hii itakuwa nzuri kwa upinzani kupata walau pa kuzungumzia maana kwa sasa mikutano ya upinzani marufuku.
Back
Top Bottom