Search results

  1. MALAMSSHA

    Nahitaji gari ya kukodi kwenda safari ya Moshi

    Ninatamani kukodisha gari (coster ) kwenda Rombo mkuu kwa Christmass. Nahitaji watu wa kuchangiana nao.Tuwe kama familia 4 hivi Makadirio kila mtu atoe 300,000. Natarajia kuondoka Ijumaa ijayo. Aliyetayari tuwasialiane 0755 489 473
  2. MALAMSSHA

    Nahitaji mfanyakazi wa ndani au kuuza duka

    Ushauri nimeupokea na nitaundea haki
  3. MALAMSSHA

    Nahitaji mfanyakazi wa ndani au kuuza duka

    Nawashukuru kwa ushirikiano mlionipa.nimepata tayari.Asante jamii forum. Nilishindwa kujibu kwa muda kwa sababu za kimajukumu. Kwa waliosema ni utapeli naomba waondoe hio dhana .Namba niliyoweka imesajiliwa na ukitaka kuniona pia nakukaribisha. Ni mtanzania safi anayetumia njia ya kisasa kupata...
  4. MALAMSSHA

    Nahitaji mfanyakazi wa ndani au kuuza duka

    haha tunakimbizana na maisha ndugu.niliweka namba ya simu na wadau nimeongea nao.Muda wa kuwa online ni shida ndugu
  5. MALAMSSHA

    Nahitaji mfanyakazi wa ndani au kuuza duka

    Dar es salaam ndugu
  6. MALAMSSHA

    Nahitaji mfanyakazi wa ndani au kuuza duka

    Nahitaji mfanyakazi Ataweza kuwa wa kazi za ndani ama dukani kulingana na uwezo na ushapu wake. Mshahari kuanzia 50,000 Aanze kazi mara moja. Atapata sehemu ya kulala na milo yote. 0739 489 473
  7. MALAMSSHA

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Hii ni hatari kubwa sana.kodi ya pango 200,000,Dada wa kuuza 70,000,mlinzi 5000,taka 5000,umeme 30,000.....badoTRA.kumbuka umechukuwa fedha benki na interest ni 5% and above?he kuna kujiajiri kweli?Je tutapona.hii ni kwamba wauzaji wa umeme wataacha hii kazi na wateja wataenda tanesco. MTU...
  8. MALAMSSHA

    Nehemiah Mchechu Mkurugenzi wa NHC asimamishwa kazi kupisha uchunguzi!

    Ishu zake ni za muda mrefu mno.kalelewa sana.hivi ni kwa mini?
  9. MALAMSSHA

    Clouds kwa hili la Clouds Plus mmezidi!

    Msilaumu sana. Hata huku Startimes kuna Sibuka mara mbili. Hio Sibuka moja unalipia pia. Ruge sio wa kulaumu. Ni ubunifu tu wa biashara.Hutaki unaacha tu kuangalia. Kwani soda inapouzwa 1000 kwa baadhi ya sehem mbona hatuhoji?
  10. MALAMSSHA

    Diamond azindua Pafyum yake ya Chibu, bei yake ni balaa

    Sasa watu wanamhusisha na hii habari ya .......watu watanunua kweli?
  11. MALAMSSHA

    Nape Nnauye kuongea na wanahabari

    Nakusamehe pia
  12. MALAMSSHA

    Huu ni umafia dhidi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar

    Sema yote ila kwanini avamie Kituo? Je hizo ni njema za vyombo vya habari? Mungu atatuona tukitetea uovu
  13. MALAMSSHA

    Lawrence Masha apendekeza Mwakyembe afukuzwe Uanachama TLS

    Aisee good one.Mpaka tumesahau yale mambo tuliokuwa tunaongea.
  14. MALAMSSHA

    TANESCO: Tutasitisha huduma ya LUKU Jumapili na Jumattau

    Mtoa taaarifa kuwa specific utawachanganya watu. Ni kwamba mfumu wa luku utaingia kwenye uboreshaji kuanzia jumapili saa 4 usiku mpaka jumatatu saa 3 asubuhi. Kwa hiyo huduma itakosekana kuanzia jumapili saa nne usiku mpaka j3 saa 3 asubuhi. Kumbe huduma ipo kama kawaida ila muda huo tu mfupi...
Back
Top Bottom