Habari,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29 mwembamba mrefu maji ya kunde naishi Dar na nimeajiriwa serikalini, nahitaji mke wa kuoa mwenye sifa hizi;
Awe muislamu wa ukweli awe na umbo zuri namaanisha awe amejazia maeneo ya nyonga na nyuma hata akiwa mwembamba sawa lakini awe amefungasha...
Wale wapemba weupe kama waarabu wanapatikana sehemu gani? Hapo pemba nataka nije kuowa huko nasikia bila milioni hupati mke na vip tabia zao wanawake wa kipemba? Majbu plz
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.