Search results

  1. L

    Lowassa Amjibu Slaa

    Kwani ili fisadi au mwizi ashitakiwe ni mpaka awe mgombea uraisi?? Unamaanisha kwa kuwa hao wengine hawagombei ndo sababu yakutotajwa au kushambuliwa/kushtakiwa????
  2. L

    Magufuli alia kwa wananchi kuikataa CCM aomba msaada kwa maofisa wa CCM

    Najaribu kuvuta picha,,, ivi angekuwa membe ndo mgombea wa ccm ingekuwaje....
  3. L

    Bunge litavunjwa lini?

    Kama sikosei alisema atalivunja tareh 20/08/2015... lakin haijulikani kama kalivunja au la...
  4. L

    Zaidi ya wagombea 30 ubunge wa CCM waliopitishwa kujiunga na UKAWA Jumamosi

    Kumbe ndo style yake yakuoga!!!... kuoga huku ukiwa umevaa nguo
  5. L

    Malori ruksa kubeba watu kwenye kampeni za CCM

    Leo nimeona UDA mbili zikibeba watu mabwepande wakipelekwa jangwani...
  6. L

    VVU haionekani baada ya kupima tena

    Mkuu haya mambo yapo aisee!!, ule uzi wa jamaa anaitwa decemption niliusoma bt ckuwa naamini sana, bt kwa bahati mbaya au nzuri ndani ya siku c Nyingi nimekuja kushuhudia kutoka kwa mhusika; Ni hivi, kuna familia (baba, mama na mtoto wao mdogo kabsa) walikuwa wamepima na wote kugundulika...
  7. L

    Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CHADEMA nchini kote

    Toa matokeo, siyo hongera tuu,, toa taarifa kamili
  8. L

    Waliokuwa madiwani wa CCM Arusha Mjini, wahamia CHADEMA

    Samahani mkuu, ivi Esther bulaya na lembeli ni wa kanda ipi vile!!
  9. L

    Joseph Mbilinyi (Sugu) alipohudhuria sherehe ya kimila ya Wasafwa

    Maajabu gani mkuu, tiririka basi tupate japo kidogo,,,
  10. L

    Lowassa na wapambe wake watoweka Dodoma

    Nimekuelewa sana mkuu,,, nimeupenda ujumbe wako
  11. L

    Vipeperushi vyasambazwa Zanzibar kupinga maamuzi ya CC

    Vp hakuna hata kapicha ka hicho kipeperushi? tuwekeeni plz
  12. L

    Amina Ally na Migiro wamemuongezea kura Magufuli apate kishindo?

    Siyo tano mkuu, ni 50+, bt umewaza kama mimi,,, nadhani wamemwongezea kura ili waonekane karibia woote kwa umoja wao wanamuunga mkono magufuli hivyo dhana ya makundi kutokuwepo.
  13. L

    Mdahalo ITV: Umuhimu wa kuzingatia Msingi wa Umoja

    Asante sana kwa ujumbe murua
Back
Top Bottom