Nijuavyo mimi, Joyce Kiria ameachana na Nelly, na alipost picha zake akienda kutambulishwa na mumewe mpya huko Uchagani, na ndo mwenye mimba. Mimi i was fan mkubwa wa Joyce Kiria, she is creative and confident. But niliwah kusoma makala yake moja kuwa ametembea na wanaume idadi yake haikumbuki...
naomba kusaidiwa, je viwango vya mishahara ya tanzania ikoje, na je iwapo shirika linalipa chini ya kiwango cha serikali, hatua gani zichukuliwa?
Na je iwapo katika shirika especially ya kigeni uwiano wa madaraka kati ya wazawa na wageni ukoje? Na je ni ruhusa kwa shirika la kigeni kuwa na...
Hana lolote, utamu na ubaya wa Ngoma uingie Ucheze, Hajsoma Udsm atajuaje ya Udsm, au anatafuta Umaarufu Kupitia JF. Kwa taarifa yako kwa East Africa nzima Udsm is Still in Chart. Nambie chuo gani chenye Ubora Kuliko Udsm. Pole kwa kutosoma Udsm.. Umenikumbusha Msemo mmoja "Virginity is not a...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.