Search results

  1. Nyagei

    Bei ya Incubator

    Habari ya jioni wakuu Kama kichwa cha habari kilivyo naomba kujuzwa bei ya Incubator na inapatikana/zinapatikana wapi kwa urahisi. Nawasilisha
  2. Nyagei

    Mtu kwa mtu kuhusu ngono

    “Mpenzi naomba ufanikiwe katika mambo yote na kuwa na afya kama vile roho yako ifanikiwavyo” 3Yohana 2. Nilipotembelea Norhlea shule ya secondary ya wavulana huko Bulawayo, hili ndio lilikuwa fungu la mazungumzo yangu. Wengi wa vijana wanapita na ushindi wa juu kwa makusudi ya kufanikiwa...
  3. Nyagei

    Wanaotumia luninga kwa muda mrefu hupoteza nguvu za kiume

    WANAUME wanaotumia muda wa saa tatu na zaidi kwa siku kutazama runinga wanapoteza nguvu za kiume ukilinganisha na wale wanaotazama runinga mara chache. Utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Afya ya Umma cha Havard (HSPH) kilichopo Boston nchini Marekani, umebaini kuwa kuporomoka kwa kiwango...
  4. Nyagei

    Marehemu wakutanapo.

    Two ghosts met and both chat about how they died. 1st ghost : How did you die? 2nd ghost : I died of cold. 1st ghost : How does it feel when you're dying in cold? 2nd ghost : Actually, I was accidentally locked in the refrigerator. Initially, I was shivering, then my whole body started to...
Back
Top Bottom