Search results

  1. E

    Yamempata yapi Suleiman Kova?

    Ni kweli, maana kusema uongo mwez mtukufu c ndo kuharibu udhu? Makes sense km 8/10 ya yanayotoka kinywani mwake ni *****!
  2. E

    Hukumu Kesi ya Mgomo wa Walimu: Mgomo ni batili

    Pole km ulitegemea Mahakama ikupe jibu ulilokuwa ukisubiria... Bora ungeenda kujisomea mbinu za kudhibiti shinikizo la moyo uzeeni, ujiandae na njia za ku-cope na disappointments za ukawaida maisha kwa kila mtanzania!!
  3. E

    Mgogoro wa Eng. Muhando na mabosi wake: Siri yafichuka, anaeimaliza TANESCO NI JK

    Mh, apa hata unene kwa lugha, inatupa shida kuamini ni roho wa kweli au ni yule wa manabii wa uongo!
  4. E

    Mgogoro wa Eng. Muhando na mabosi wake: Siri yafichuka, anaeimaliza TANESCO NI JK

    Mh, apa hata unene kwa lugha, inatupa shida kuamini ni roho wa kweli au ni yule wa manabii wa uongo!
  5. E

    2015: Kiongozi Tumtakaye - MTU WA WATU...

    Kiongozi tunayemtaka ni mwenye jeuri kwa maslahi ya nchi, si mwema na mtu wa watu. Tumeona wengi wanaopewa nafasi kwa wasifu huu, na wote ni hovyo hovyo tu! Utu wao ni kuuza watu na mali zao wakiwa ndani, huku wanakuchekea, *{%[#[?]*]!]?\€\
  6. E

    Bungeni: Julai 26, 2012

    Duh, sjakwelewa mkuu, mgomo gani tena? Kusimamia utekelezaji wa sheria za nchi anayoiongoza?
  7. E

    Bungeni: Julai 26, 2012

    Source: Bunge-maswali ya papo kwa hapo. Sasa yeyote anaweza kufanya chochote kinachoenda kinyume na Katiba alimradi tu itasaidia kufanya mambo yaende vizuri! Swali langu kila mtu/taasisi ikitaka kufanya hivi kwa justification zao itakuwa sawa? Au ni kwa wachache wenye mkono mrefu zaidi ya wa...
  8. E

    Mkurugenzi mtendaji wa NBC Lawrence Mafuru asimamishwa kazi

    Even if proved guilty, dealing with him is just a tip of the iceberg. Wako wengi. Na inaeza kuwa Mbinu za kuwarejesha wadhungu au wasimamiz wageni ili kuonesha wazawa hatufai, if u know watta mean!
  9. E

    Miezi mi3 kwa ATCL kujiendesha ni uendawazimu wa Mwakyembe

    Heri wewe mzee wa safari, umezpiga mpaka akili imebaki... Hatutaki anayejaribu, hatutaki anayekoromea, hatutaki anayetupa matumaini, hatutaki anayetupa siasa, hatutaki asiyetupa Matumaini, hatutaki anayetupa data...hatutaki hatutaki, hatutaki kuelewa chochote, hatutaki!
  10. E

    Miezi mi3 kwa ATCL kujiendesha ni uendawazimu wa Mwakyembe

    Heri wewe mzee wa safari, umezpiga mpaka akili imebaki... Hatutaki anayejaribu, hatutaki anayekoromea, hatutaki anayetupa matumaini, hatutaki anayetupa siasa, hatutaki asiyetupa
  11. E

    Serikali inakuwa "reactive" hata kwa inaowamudu? Ati mkuu wa wilaya ile aliya abwagwa

    Jamani hiii serkali imefikia hatua inakera mpaka unakosa tusi... Yaani hamna siku inaweza kuwa proactive na kuanzisha mambo/actions za kutatua challenges hizi nyingi?, badala yake inaishia kuwa reactive everytime inapochukua hatua au kujibi lawama! Ati PM anasema si kwamba mkuu wa wilaya...
  12. E

    Nassari wa Arumeru Mashariki kushtakiwa kwa uhaini? Anatafutwa na Polisi

    Mi nasikitishwa tu na politicians wenye upper hands, yani kwao si kushugjulikia matatizo wanayoambiwa, badala yake wanashughulika na msema matatizo.... A good lesson they should learn is that when you close one set of lips, there are always the next ones that will open... Mpambanaji...
  13. E

    List ya Waliomwagwa Uwaziri+Unaibu

    Mwanri kabaki TAMISEMI na kimeo Ghasia wewe
  14. E

    Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

    Na Januari? Ghasia? Tyson?
  15. E

    Nampenda sana waziri Magufuli, ni waziri ambaye hana mfano

    Mabishano ya nini, tutoe data tuache kubwabwaja uzuri na ubaya wakati data zipo: haya jaza facts apo chini then tutakujumuisha, mfano: Mazuri 1. Anajua urefu wa barabara zote Tz, pamoja na flyovers zinazokuja, 2. Anajua kutumia vyombo vya habari kutoa taarifa za wizara yake zaidi ya...
  16. E

    TAHADHARI ya Mvua Kubwa Tanzania

    Nacheeka tu apa, ni Kama kutabiri Man U itachapwa na ManCity 6-2 wakati wa kipindi cha pili lala salama, na City wanaomgoza 5-2 with mtu mmoja pungufu!!!!
  17. E

    Majibu ya Kigwangalla: Kwa Nini Sikusaini Hoja ya Mhe. Zitto Zuberi Kabwe (MB)!

    Hivi jamaa dokta alishinda au alishindishwa?? Angeandika kwa Kiingereza ngesema msomi lugha inamburuta! Nataka tu kukukumbusha hata Nyerere (RIP), aliye-engineer hicho chama chako aliishakusaidia kufikiri- kwamba CCM c mama yako. Sasa we unajifanya kuwa na machungu zaidi ya uyu mzee...
  18. E

    Majibu ya Kigwangalla: Kwa Nini Sikusaini Hoja ya Mhe. Zitto Zuberi Kabwe (MB)!

    "wengi wenzangu hatukusaini kwa sababu hatuwezi kuiangusha serikali ya CCM kwa hoja inayoletwa na Mbunge wa Kambi ya Upinzani!" ....yaani dokta, unategemea kauli kama hii isipandishe watu jazba? Kwamba ishu kwako si hoja bali chama, inadhihirisha hata zile kelele za madini jimboni kwako...
  19. E

    Jeshi la polisi kumkamata Dr. Slaa

    Natamani siku watanzania tutakapo mpa JK tamko, if u know what I mean... Choka na miyeyusho mbaya...
Back
Top Bottom