Search results

  1. Usher-smith MD

    Kurudi nyumbani mapema

    Hii ni kasumba tutayokumbana nayo wanaume kwenye ndoa. Ukiwa bachelor uhuru wa kurudi muda unaotaka , kukesha baa kuangalia mpira na kunywa bia, vyote hivi vinakuwa changamoto baada ya kuanza kuishi na mwanamke. Hivi kwanini wanawake mnapenda wanaume turudi mapema?! Maana hata ukirudi mapema...
  2. Usher-smith MD

    Wapinzani wanatuchelewesha

    "Wapinzani wanatuchelewesha" ndio kauli tulioambiwa kuwa inatuchelewesha kupata maendeleo. Leo kila kitu kipo juu, sukari 4000/-, mchele 3500/- mafuta ya kula lita 7000/- nauli ndio usiseme. Kama wapinzani walikuwa wanatuchelewesha kufika huku. Basi turudi tulipo toka.
  3. Usher-smith MD

    Sasa nimejua umuhimu wa kumrudisha mke kwao wakati ujauzito

    Sasa naelewa kwanini zamani wazee wetu walikuwa wanarudisha wake zao wakajifungulie nyumbani kwa wazazi wa mke baada ya kuwa wajawazito. Jamani mama vijacho wana visa kwa wiki ananuna hata mara tatu. Yaani kila unachogusa anaona unachafua. Mara kaoge una jasho. Yaani kama asingekuwa...
  4. Usher-smith MD

    Kishika uchumba kimerudishwa

    https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/47761647 Mrejesho wa Thread hapo juu Baada ya vuta ni kuvute kati ya familia ya kijana na binti kuhusu mahari. Wanafamilia wa kijana wengi walionyesha kuchukizwa na tabia ya familia ya binti, baadhi ya wanafamilia wakiapa kuwa kama kijana akiendelea...
  5. Usher-smith MD

    Mahari kubwa yamkosesha mke

    Ni kijana mwenzangu sekta ya afya, mwaka huu mwanzoni aliamua kwenda kutoa posa kwa binti ambaye alipanga aanzishe naye familia. Binti mwajiriwa wa serikali na asili yao ni kanda ya ziwa ila wanaishi na familia katika moja mikoa wa Pwani. Mshenga alitumwa pamoja na baadhi ya wanafamilia wa...
  6. Usher-smith MD

    Hata kama ni mumeo ila mimi unaniuzi

    "Hata kama ni mumeo ila mimi unaniuzi" Ni maneno yaliyonifanya nisome vizuri texts za huyu jirani yangu hapa kwenye bus la kwenda Dodoma usiku huu. Ni mzee wa makamo kama na 45-50 hivi. Binti anamuita dady na anasema anataka waleane asimuache. Mzee anamwambia unanisumbua kwa sababu...
  7. Usher-smith MD

    Nyumba hatarini kuuzwa kisa deni la mahari

    Meatu. Katavi Katika hali isiyo ya kawaida, nyumba ya Seleman Mussa (65), Mkazi wa Kijiji cha Nkoma, wilayani Meatu, Mkoa wa Simiyu, iko hatiani kuuzwa kama fidia ya deni la Sh1.1 milioni, analodaiwa baada ya kutokamilisha deni la mahari ya kijana wake. Kijana wake ambaye ni mwalimu wa shule...
  8. Usher-smith MD

    Wapenzi wa Netflix tukutane humu

    Habari wakuu Kwa wale tunaopenda kutumia Netflix tupeane uzoefu katika kuangalia Series na Movies katika App Hii. Binafsi nimeangalia Series nyingi toka Sekondari kuanzia Prison Break. Lakini hii Series ya BLACK MIRROR ni balaaa. Episodes zote kali lakini hii ya WHITE BEAR Season 2 Episode 2...
  9. Usher-smith MD

    Vodacom wamenitumia ujumbe kuwa "Tozo Imefutwa"

    Ndio sms niliyotumiwa leo na Mpesa kuwa "Tozo imefutwa" Hatutakiwi kupongeza uamuzi huu. Waturudishie hela zetu walizochukua kwa miaka miwili kinguvu.
  10. Usher-smith MD

    DOKEZO Waziri wa TAMISEMI, miezi 3 sasa baadhi ya walioajiriwa ajira mpya hawajapata mishahara

    Baadhi ya walimu walioajiriwa mwezi Julai 2022 katika halmashauri mbalimbali nchini hawajapata mishahara yao, wengine hata hela ya kujikimu hawajapata. Maisha ni magumu kila mtu anatambua hilo. Waziri angalia Hizi Halimashauri, uwajibikaji hakuna. Mishahara ya mwezi wa 9 imelipwa ila baadhi ya...
  11. Usher-smith MD

    Kwa Pre and Post Intern doctors

    Kwa wanaojianda na mitihani ni vizuri ukushea na wenzako baadhi ya past papers , zilizokwishafanyika za MCT . Nimeambatanisha PRE INTERNSHIP EXAM, October 2021. Baadae nitaweka post internship exam ya March 2021.
  12. Usher-smith MD

    Mwaka 1 tangu tuwe kijani, hali yako ya kiuchumi ipo vipi

    Ni takribani mwaka mmoja sasa toka kuanzia ngazi ya kijiji, mtaa , madiwani hadi wabunge ni CCM, Je tumepata nafuu yoyote kiuchumi baada ya kuaminishwa kuwa "wapinzani walikuwa wanatuchelewesha"
  13. Usher-smith MD

    Kagera na Geita hawana wabunge wala wakuu wa mikoa ?!

    Sijasikia ahadi zozote kama ilivyo kwa wapinzani wa Simba , Dodoma jiji na Biashara United . Au yanga sio timu kubwa ndio maana hamna ahadi zq mamilioni kwa vijana wao?!
  14. Usher-smith MD

    Makato ya M-pesa

    Leo nimeshindwa kutoa pesa naona Ada imepanda kutoka 2,700/- hadi 4,135/- na tozo imepungua kutoka 2,050/- hadi 1,435/-. Kwa hesabu za haraka jumla ya makato yalikuwa 4,750/- kwa kutoa 55,000/- sasa ni 5,570/- Au ukiwa kijijini Njombe kuna makato tofauti?!
  15. Usher-smith MD

    Wavuvi wa Samaki wagomea tozo mpya

    Habari kupitia Clouds fm , zinasema wavuvi wa samaki mkoani Mwanza wamegoma kupeleka samaki kwenye viwanda vya samaki , kupinga tozo mpya ya mauzo ya Serikali ya 2%. Chama cha wavuvi kimeitaka serikali kufuta tozo hiyo iliyoanza kufanya kazi tarehe 01 July mwaka huu . Kama wavuvi wametuonyesha...
  16. Usher-smith MD

    Simba kuchukua ubingwa mbele ya Yanga Julai 3?!

    Baada ya ushindi wa leo wa goli 1 bila mbele ya Polisi TZ, na kufikisha pointi 70 , ni wazi kuwa Simba Sc wanahitaji point 6 tu yaani ushindi wa mechi 2 ili wawe mabingwa wa msimu huu VPL 2020/2021. Kwani Young Africans Sc wana point 64 na mechi 4 mkononi maana yake kama wakishinda hizo...
  17. Usher-smith MD

    Wabunge wakatwe Tsh. milioni 1 kila mwezi kwa niaba ya Wananchi wa Jimboni kwao

    Hii tozo ya laini za simu ni mzigo kwa Wananchi. Kwa Kuwa wabunge kila mwezi wanalipwa karibu milioni 12 , kuoyesha uzalendo , huo mzigo waubebe wao kwa maana kiuhalisia wananchi wengi kwa mwezi hawaingizi milioni 1 kwa mwezi. Huku wabunge hata wakikatwa milioni 1 bado wanabaki na milioni 11...
  18. Usher-smith MD

    CUF ya Prof. Lipumba ipo kweli?

    Kila siku naziona ACT Wazalendo, CCM na CHADEMA zinafanya shughuli za kisiasa. Ila CUF kimya toka mwendazake aende. Ndio tuseme Prof Lipumba amefanikiwa kuiua CUF kama alivyotumwa? [emoji849]
  19. Usher-smith MD

    Rais Magufuli aliwahi kuhojiwa na Chombo cha Habari?

    Toka aapishwe kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hadi anafariki, rais Magufuli aliwahi kufanya mahojiano na Chombo chochote cha Habari? Mwenye link anisaidie.
  20. Usher-smith MD

    Nafikiria kutafuta mchepuko, tendo la ndoa na mke wangu limekuwa adimu

    Wana jamvi salaam, Naona huyu shemeji yenu majukumu ya chumbani yamemshinda, kwa wiki tendo mara 1 au 2 au 3 hapo kajitahidi (tena kila wakati mimi ndio nakumbushia, yeye wala), siku nyingine inapita wiki 1 hadi siku kumi. Ukiishi na mke ndani ndio utaelewa kwanini Waisilamu waliambiwa wake 4...
Back
Top Bottom