Search results

  1. dedon

    Jambo gani umewahi lifanya kwenye mapenzi ukajutia

    Aisee mimi nilikuwa nafukuzia manzi (bonge la pisi ana tako sura usiseme) ila alikua na mchizi wake akawa ananikazia japo kwa mbali kulikuwa na matumaini kidogo. Sasa manzi akashika mimba ya mchizi wake mimi sijui na hapo ni kama miezi miwili namfukuzia hata game sijapewa bado. Sasa kabla...
  2. dedon

    Kuna uhusiano gani kati ya mimba na kutopenda sex kwa wanawake

    Tangu wife ameshika ujauzito kwa kweli Tunda nalila kwa shida sana sometime mpaka unamaliza week 2 ndo napewa namega tena hapo nimeomba sanaa full kulalamika wakati zamani nilishazoea kula tunda karibia kila siku ukipumzika yuko period au anameza dawa naombeni experience zenu na nyie
  3. dedon

    Dunia Inaenda kasi sana

    Jana weeken kama kawa nilizama chocho flan nikawa nashusha bia zangu tu kuanzia mapema kabsa mida ya mechi ya simba Mida ya saa mbili kuna mdada alikuja kukaa pembeni yetu akawa kama ananitazama sana but nikapotezea ilivyofika kama mida ya saa sita kuna mwana nilikuwa simjui akaja kunisalimia...
  4. dedon

    Baada ya kupata kazi mizinga ya mademu imezidi, nimewaacha na kubaki na mmoja tu

    Sasa Vijana tuna kazi sana, hususani ukiwa ndo unaanza maisha umepata kazi yako Kabla sina kazi nilikuwa naweza kuwa kwenye mahusiano na madem hata watano na hakuna hata mmoja anaekupiga kazi lakini sasa hivi mambo ni hatari Kila msichana wangu ninaejaribu kumsalimia tu hapo hapo tu lazima...
  5. dedon

    Interview za TPC

    nimeitwa interview ya economist II na hilo shirika sema kutokana na msoto saa hv kichwa ni cheupe naomba tupeane uzoefu wa aina ya maswali wanayoyapendelea
  6. dedon

    Ushauri kwa wapenzi wanoishi mbalimbali

    Heri ya mwaka mpya wana mapenz,mahusiano na urafiki Leo nipo hapa kutoa ushauri kwa wenye wapenz ambao wanaish sehem tofauti either ni sababu ya kaz au nyingineyo yoyote ile Mimi nimehamishiwa kaz mkoani sasa nna miezi minne nimejifunza ving sana huku ila nta base upande wa mahusiano ewe...
  7. dedon

    Salary scale za Mfanyakazi wa wilayan

    mm ni graduate nimpengiwa kaz Wilayani je kwa fresh graduate mwenye degree mshahara wake ni shiling ngapi??
  8. dedon

    Wanawake mtatuua tuoneeni huruma

    habar zenu members Weeken moja nliamua nikanyooshe miguu kidogo nione mji mpya (maana nimeamishiwa mkoani) nikaenda ufukweni nilikaa huku nashushia maji yangu tu baridi (maana mm sio mtumiaji wa bia) pemben alikaa mdada wa kiarabu mzuri tu hapo hapo ikabdi nijiongeze maana genye zilishaanza...
  9. dedon

    Kituko gani ulichokifanya ukiwa shule

    habar zenu wana jf...hua nikiwaza life langu la shule hua nafurahi sana coz nilienjoy sana hasa O level nilikua nasoma boardin flan hapa dsm bahat mbaya iko karbu na makazi ya watu pia kulikua na wanafunzi wa kutwa(day) ilikua kwenye miaka ya 2000's kabla wazaramo wenye mji wao kuuukimbia...
  10. dedon

    Sakata la Catalan: Wazungu ni wanafiki sana, wanatulazimisha kufanya vitu ambavyo wao vinawashinda

    Kweli wazungu ni watu wanafki sana wanajarbu kututawala waafrika kwa kutulazimisha tufanye vitu ambavyo hata wao hawafanyi. Katka swala la Catalan kujitoa Hispania kuna vitu vingi nimejifunza. Kwanza democracy ni theoretical sio practical kwao bali wanaijaribu kwetu kama itafanya kazi ama lah...
  11. dedon

    Ukali wa mwanaume hudumisha ndoa?

    Habari yenu wana MMU wote, Niende kwenye mada ya leo, kuna kitu nimekinotice kwa walio kwenye ndoa nilikaa na binti flani hivi ameolewa(sina mahusiano nae lakini) kuna kazi tulikua tukiimalizia mda ukawa umekwenda mno sasa yule binti akaanza kuogopa kuchelewa sababu ya ukali wa mumewe mpaka...
  12. dedon

    kumspy mpenzi wako

    Kuna kitu nimejifunza kama huna moyo wa kiume usijarbu kumspy mpenz wako maana utakufa na presha nna mdogo wangu naish nae gheto ana manz wake lkn akawa hamuelew basi nikamshauri kwann tusimtrack watsapp?? akakubali dem alivokuja gheto jamaa akamuazima manz sim yake kiujanja bila kushtukia...
  13. dedon

    Hivi ule utaratibu wa kupima kabla ya ndoa bado upo?

    Kuna kitu kwenye jamii yetu naona kama kinapotea kimya kimya je watu siku hizi wanapima afya zao kabla ya ndoa kweli au ndo UKIMWI umepotea kabisa? Sent using Jamii Forums mobile app
  14. dedon

    Ben pol umeji aibisha mno

    Ben pol alikua ni moja wa wasanii ambao walikua hawana skendo na alijulikana kutokana na kaz zake nzur tu hakika nilikua namkubali kwan alikua tofauti na wasanii weng wa bongo Sijui nn kikampata baada ya kipindi cha fiesta kumpandisha snura na kumla denda kwa stage(akat alikua na mpenz na...
  15. dedon

    Ni sahihi kua na uhuru wa simu ya mpenzi wako?

    Nina jamaa yangu ana mchumba wake anatarajia kufunga nae ndoa tatizo linakuja kwenye simu anacholalamika yeye simu yake haina password iko free na ana iacha tu lakini huyu mpenzi wake simu yake ina password kila mahali na hata ikiitokea imeita akiwa mbali atakuja speed kuiwahi muda mwingi anakua...
  16. dedon

    Wanawake mnatupaga namba ili iweje???

    dah nisiwachoshe members kwenye shughuli zangu nilikutana na binti mkali sana hii ilikua kabla ya ramadhan ingawa yy sio muislam basi mtt wa kiume nikajitutumua nikaomba namba dem akatoa tena dem alinipa kwa bashasha zote mpaka akaomba sim yangu aandike mwenyewe ili nisikosee nikajua hii...
  17. dedon

    Jinsi ya kutumia ajira portal msaada unaitajika

    kama headin inavojieleze nna maswali mawili naombeni msaada 1. ili application iwe valid inatakiwa ianzie angalau asilimia ngap za pale kwenye completion kwenye ile dashboard 2 nimeona wanataka application letter iwe signed je maana yake tunaeza kuandika kwa mkono tukasign then ndo tukaiprint...
  18. dedon

    Wanawake wanavyotumaliza

    Nimeshuhudia mada nying zikilalamika kua wanaume wamekua wadhaifu Aisee mm hua naamin wanawake wao ndo wamekua sababu 1. Unakuta mke/demu mostly anampikia/anamuagizia mumewe viepe halafu anakua anategemea mumewe awe hodar kitandan. Hii inawezekanaje?? 2. Hii ndo sababu kuu zaidi hata kwa...
  19. dedon

    Kwa wanawake mnaotafuta mabwana humu na ambao hamjapata

    Ushaur wangu kwa nyie wadada mnaotafuta wapenz humu Acheni kutembea kwenye makundi mda wotee,marafiki sio vibaya bt uwe na ka mda wa kuwa peke yako kwenye mizunguko yako mnatutesa sana tunaowafukuzia Mtakaofata ushaur mtanipa mrejesho
  20. dedon

    Ni uongo gani uliodanganywa na mpenzi wako mpaka leo hutousahau?

    Kwa mimi hapa nilipata manzi kila nikiomba mechi akawa anasema yeye ni virgin mpaka akiolewa ndo atasex niliteseka mpaka nikakata tamaa,,,siku moja tulitoka manzi akaparamia wine zikamlewesha tukaenda maghetoni ile kuchomeka mashine ikapita mazima dah nilipiga hvo hvo kesho yake manzi nikambana...
Back
Top Bottom