Search results

  1. dedon

    Ku-ghost Mpenzi wako ni tabia ya kuzaliwa au hali inayotengenezwa?

    katika maisha yangu mpaka nafika umri wangu leo 40's ni mwanamke mmoja tu nilijaribu kumuambia tuachane japo nilishindwa maana alinililia sana nikamsamehe. lakini usiku wake nikajiona mjinga sana nilimkuta na mwanaume alafu nimemsahe nikaamua kum-ghost tu nikaua tu mawasiliano binti alikuwa...
  2. dedon

    Jambo gani umewahi lifanya kwenye mapenzi ukajutia

    nilimuoa na menizalia watoto wawili
  3. dedon

    Jambo gani umewahi lifanya kwenye mapenzi ukajutia

    Aisee mimi nilikuwa nafukuzia manzi (bonge la pisi ana tako sura usiseme) ila alikua na mchizi wake akawa ananikazia japo kwa mbali kulikuwa na matumaini kidogo. Sasa manzi akashika mimba ya mchizi wake mimi sijui na hapo ni kama miezi miwili namfukuzia hata game sijapewa bado. Sasa kabla...
  4. dedon

    Huwa mnaishi vipi na watu wanaokuomba hela kila mnapokutana?

    Now days watu wanaomba sana hela kwa sababu wanaishi maisha ya nje ya uwezo wao... Nakumbuka nilivyomaliza chuo niliacha bia na madem sio kwa kupenda ila sikuwa na hela nikipata hela zangu ilikuwa nanunua mahitaji ya msosi ghetto kwanza then inayobaki ni ya vocha(kuangalizia matangazo ya kazi )...
  5. dedon

    Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

    Wanaume tunatofautiana sana,,,mm nikishaanza kuona manyoya tu najichomoa..mpaka saa hv najohisi nakuwa mkatili siwez kupenda tena
  6. dedon

    Kazi ya shanga kiunoni kwa wamama ni ipi?

    1. shanga kwa waswahili wanaamini zinachonga shepu zao(hili naweza kuamini) ukiwakuta wale wazoefu wa kuvaa shanga shepu zao zinakuwa zimechongeka vizuri san 2. pili kwenye mizagumuo akikulia kwa juu alafu ukawa unajua kuzitumia kwa utaratibu unamsugulia kwenye ngozi kwa kutumia shanga hizo...
  7. dedon

    Paul Makonda atoa onyo kali kwa viongozi wa chama na serikali wanaotembea vifua mbele bila kutimiza majukumu yao vyema kuwa hatawafumbia macho

    kuna utaratibu wa kiserikali wa chama kuisimamia serikali na sio anavyofanya bashite Chama kinapata taarifa za kiutendaji wa serikali kupitia Ilani inayowasilishwa na Waziri Mkuu kupitia Mkutano Mkuu wa Chama huko na Rais ndio Mwenyekiti kama wanaona kuna mtendaji hatekelezi majukum yake...
  8. dedon

    Kununua malaya kulitaka kunitoa roho DR Congo

    tangu staff mwenzangu aibiwe posho yote ya safari (per diem) 3m na laptop nilibadilisha tabia nikaanza kuwa naficha funguo usiku ila hii nilikuja kuacha baada ya kuchukua mmoja Songea usiku nikashtuka anahangaika kufungua mlango akiwa ashachukua hela na sim wakati huo funguo niliiweka chini ya...
  9. dedon

    Prof. Kennedy kutenguliwa siku moja baada ya kuapishwa kuwa Katibu Mkuu Wizara nyeti ya Mambo ya Nje kuna shida katika "Vetting" za Viongozi?

    sasa si yule si hakuapa maana yake alikua hajaanza kuitumikia ofisi..kiongozi anatambulika baada ya kuapishwa ndio maana unakuta kwenye kuapa anaenda na usafiri wake ila akimaliza tu ndio anakuta dereva wake anamsubiri
  10. dedon

    MSAADA: Nimemtongoza Lecturer wangu amenikasirikia, namalizaje huu mchezo?

    kwa ulipofikia hamna kirudi nyuma kaza buti kwakuwa umeshajilipua,,,ukilegeza tu umekwisha maana atahisi kama ulikuwa unampima...ukiona maji ya shingo tuma namba yake inbox labda anatutaka wakubwa wenzake
  11. dedon

    Wassira: Tukiruhusu Serikali za Majimbo kama Sera ya CHADEMA tutajuta, Kenya Nusu ya Mapato yake hulipa mishahara ya Wabunge na Magavana!

    una uhakika na hilo asilimia 70 ya kodi za nchi inakusanywa DSM..tukileta serikali ya majimbo hio mikoa mimgine itaendelea vipi??? mahali kama singida huko kwa lissu patajiendeshaje watalipa mishahara ya watumishi wao kupitia mkaa au???
  12. dedon

    Maboresho katika sekretarieti ya ajira: Kwanini mtu wa 'degree' asiruhusiwe kuomba kazi za wenye 'diploma'?

    ahida ni wenye degree wakishaajiriwa tu wanawasilisha madai wana degree hivyo wanataka wapandishwe vyeo kulingana na elimu yao maana yake ile nafasi aliyoajiriwa mwanzo inabaki tena tupu na kuanza kuipa taasisi gharama ya mshaahara mpya ambao yenyewe haijajiandaa nao
  13. dedon

    Unawezaje kumsamehe mwanaume aliyekusaliti kwa kumleta mwanamke mwingine nyumbani mnakoishi?

    Msamehe tu maana huyo anaonekana ndio alikua anajifunza Yan ulisafiri umepata tu story nikubali aisee labda sio mm..nilishakamatwa na condom na Ky mpaka leo nilivikana ndio maneno tu yasiyo na ushahidi
  14. dedon

    Tundu Lissu: Idadi ya wabunge wa kuchaguliwa iwiane na idadi ya raia wanaowakilisha

    Hapa lissu hapana..siijui jiografia ya kenya vizuri so siwez kuwapinga kwa uamuzi wao huo lakini kwa tz mfano tanga ni mkoa mkubwa sana ukipunguza idadi ya majimbo basi kuna maeneo yatakosa uwakilishi kutokana na jiografia yake tanga ukipewa jimbo moja uzunguke lets says bumbuli kuna milima...
  15. dedon

    Ndugu yangu kaoa Barmaid, tunaona aibu hata mitaani

    Kaolewa na ww unakula mara moja moja na anamuheshim mume wake aiseeee..una uhakika gani kama peke yako unamla mara moja moja?? Kwa experience niliyoshuhudia ma barmaid wengi waliolewa wanaendelea kugawa sana pembeni Kwa kawaida simshauri mtu kuoa bar maid na kama ameshaoa hua nakaa pembeni...
  16. dedon

    Toka aliponitenda nimekosa imani kabisa na wanawake

    Pole sana mm nina date na happy aisee nimuongo sana sijapata kuona yan ashaua mpaka ndugu kisa mmepanga kumeet
  17. dedon

    Dilemma: Nipiganie Damu Yangu ili Ndoa Zetu Zitikisike au Ninusuru Ndoa Zetu lakini Damu Yangu Ipotee?

    Story yako inataka kufanana na nichakipitia Kuna dada nilikua na mahusiano nae sikumwambia kama nna mke na mtoto kwakuwa wife siishi nae mkoa mmoja haikua ngumu kuniamini Changamoto yule dada alikuja kuniambia ana mimba yangu..nilishtuka sana naweza kukiri mahusiano yetu yalikua simple yan sex...
  18. dedon

    Mke wangu amewafukuza Mashoga zake

    Kua makini mkuu itakuwa wameibiana mabwana hao... anaogopa wenzake watakuja kulipa kisasi
  19. dedon

    UTEUZI: Jaffar Haniu ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais (Ikulu); amrithi Gerson Msigwa

    ikulu pia ni taasisi ina idara ya mawasiliano,, fedha,mipango ambazo zinaongozwa na wakurugenzi kama wizara nyingne lkn msemaji mkuu yy ishu yyte ya kuitolea ufafanuzi ya kiserikali kwenye taasisi zote
Back
Top Bottom