Search results

  1. B

    Mke wangu kalipendea nini hili jitu?

    Vumilia ndiyo undugu huo
  2. B

    Harmorapa apata shavu tena, awa balozi

    Haaaaa haaaa,, Mbona alimtosa akaanza mbio akamwacha Pot wake Chombo kilipowekwa hadharani.
  3. B

    Kasi ya Rais Magufuli yageuza upinzani nchini

    Kwa elimu yko bora na Vyeti vya kueleweka,, Hebu twambie Umegundua Siraha gani mwenzetu iliyoleta ufanisi ktk vita? Au Umegudua kifaa gani kilichosaidia kuleta ufanisi bora ktk Maabara zetu ? Kama katika tafiti yako ulitumia Copy and Paste ya wasomi waliokutangulia hivi wakiitwa wasomi kesho...
  4. B

    Kasi ya Rais Magufuli yageuza upinzani nchini

    Wao hata makontena ya Mchanga yaliyokamatwa kwao ni Kero eti tuache tu mchanga wetu utokomee Ughaibuni.
  5. B

    Kasi ya Rais Magufuli yageuza upinzani nchini

    Wanapinga hata uwindaji wa Tembo na Faru,, wao wanaona hawa wanyama waendelee kuuwawa tu.
  6. B

    Harmorapa apata shavu tena, awa balozi

    Sasa kule kwenye Pistol ya Nape alifuata nn kule?
  7. B

    Udhaifu wa tume ya Nape dhidi ya Makonda

    Mkuu,,:Ulichoweka hapa ni UKWELI mtupu,, Nape Alisha mhukumu tayari Makonda toka siku ile ile ya kwanza,,
  8. B

    ACACIA: Tumekula hasara bilioni 40 kwa wiki mbili baada ya kuzuia kupeleka mchanga nje. Tutawafidia?

    Jamani nyie wapiga DILI ifike mahali muelewe na kukubaliana na Kauli ya JPM Kwamba Hayo MADILI sasa hivi hakuna tena,, Yaani mnabeba mchanga wetu alafu mashimo yatafukiwa na nini? Hii ni Awamu ya Tano yaani Ngumi tayari imesha kunjwa tayari kwa kuwachapa majizi ya Mali za Umma.
  9. B

    Basata mnasubiri nini kumchukulia hatua Ney wa mitego

    Hizi nyimbo za SK hizi ni shiiida,, inatungwa jioni usiku inapelekwa Studio,, Asubuhi Clouds wanairusha hewani,, BASATA wapo wapo tu kule Ilala,,
  10. B

    Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

    Hao wa zamani walikuwa na mkufunzi MKUU yaani YESU mwenyewe,, Hata alipowaacha aliwaachia VYETI vya kudumu ambaye ndiye ROHOMTAKATIFU wa Bwana. Sasa yeye Gwajima nani kamuweka WAKFU wa kuwa Askofu achilia mbali Uchungaji wa kawaida. Aweke hapa Vyeti vyake vya Taaluma yke,,
  11. B

    Unasikiliza wimbo gani sasa hivi?

    Wimbo ni ule ule wa BAVICHA wa BASHITE + MAKONDA = VYETI.
  12. B

    Rais Magufuli amkingia kifua Paul Makonda. Asema yeye ndie anapanga nani akae wapi!

    Wanabodi nadhani Leo hii tumemsikia wote MKULU Pale Ubungo akimaliza mchana kweupe suala majina ya MAKONDA na BASHITE,, Hatutegemei tena watokee HAVICHA humu wakilazimisha eti MAKONDA aweke Vyeti vyake,,:MKULU yeye anataka Kazi na kijana anachapa Kazi kweli kweli,, Kwa hiyo sasa mjadala...
  13. B

    Sina hofu hata kidogo, leo ZANACO inang'olewa na Yanga

    Kwa timu IPi mliyonayo ya kuifunga Zanaco,, Vile vizee vyenu vinacheza dk 45 tu za kwanza kipindi cha pili vibabu vyenu Pumzi huwa inakata .
  14. B

    Will the real Paul Makonda please stand up?

    Hahaaaa,, kweli kabisa Majungu ni mzigo wa misumali ni lazima uhangaike nao ukijitwika kichwani. Wanapiga kelele,, bila ushahidi wa Vyeti halisi vya huyo Makonda Halisi,, Gwajima alijaribu kutuaminisha kwamba ,,ATAUFUFUA MSUKULE ,, unaoitwa Paul Makonda ili uje useme kuwa wenyewe ndiyo...
  15. B

    Nakumbuka Rais alizuia sherehe zisizo na tija

    Vyeti vya nini watu wanataka MTU anaweza KUTHUBUTU baasi,, Hayo mambo ya Majina na Vyeti pelekeni pale Ubungo kwenye MSUKULE vikaombewe ili huyo kwenye hivyo Vyeti vyenu na Majina feki afufuliwe
  16. B

    Kinachondelea Dodoma: JK, Mkapa, Mwinyi mko wapi?

    Unataka wakuje kufanya nin hao wazee,, Acha Mkulu awanyooshe chama kikae ktk mstari ulionyoka. Hatutaki unafiki kwenye Boti hili la Mwendo kasi.
  17. B

    Jumapili hii nimeamua niende kutembea Misungwi Hasa pale Koromije.

    Hata ukifika huko,, ukapata na Habari za huko bado utaziacha huko huko,, Msimamo wa huku Mujini ni kwamba kijana amefiti ktk nafac yke. Maana ametenda maajabu ambayo hata wenye Degree na PhD wameshindwa kabisa.
  18. B

    Rais Magufuli kwa hili uliloongea kwa Dangote nakuomba sana uwe unachagua maneno!

    Rais wetu haongei jambo bila kuwa na Data kamili,, Sasa wew kama unaona karopoka bila Data za Ukweli subiri matokeo yke baadaye.
  19. B

    Rais Magufuli: Siwezi kusikiliza madai ya malipo yoyote wakati kuna malipo hewa kila kona

    Morali hewa pia haitakiwi,, hewa hewa kila kona.
Back
Top Bottom