Search results

  1. kibanga 3

    Iphone 6s for sale!! New

    Bei gn?
  2. kibanga 3

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Dua zako ni nzuri sana
  3. kibanga 3

    Jinsi jasho la Fred Mpendazoe lilivyopotea mithili ya njiwa wa uchawi

    Jamani dada faiza fox amepotelea wapi?
  4. kibanga 3

    Wabunge tafakarini: Je, bado tunahitaji miezi 3 kujadili bajeti ya miezi 12?

    Hili ndilo jambo natamani rais wangu alifanyie kazi kupunguza hiyo miezi na mishahara pia warudi kulima kazi ya kutumikia wananchi ibaki kuwa wito tu
  5. kibanga 3

    Abdul Nondo asimamishwa masomo UDSM hadi kesi ya jinai inayomkabili itakapomalizika

    Afungue kesi kwa kunyimwa haki yake ya kupata elimu
  6. kibanga 3

    Kusitishwa mnada wa mitambo mgodi wa Buzwagi: Serikali imepanic?

    Ndio injini ya nchi tunaowategemea watupeleke kwenye nchi ya asali na maziwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  7. kibanga 3

    Real madrid

    Totenham mwenyewe kashamgonga madrid na baselona pia ubingwa ni kwa uingereza hispania msimu hawana timu ya kuchukua ubingwa
  8. kibanga 3

    Kuna vyombo vya habari vimeacha kumuita muheshimiwa mmoja 'Dr.'

    Ndio maana namkubali nyerere tu huo upuuzi hakuutaka ndio maana alibakia kuitwa mwalimu tu
  9. kibanga 3

    Kama unataka kupunguza umasikini fuga kuku chotara na kama unataka kufanya biashara fuga Kisasa

    Achana na huyo mpuuzi mimi nauza mayai ya curoiler trey 1=18000/=tsh na oda zimenizidia huyo hajui kitu mwanafunzi tu huyo
  10. kibanga 3

    Mch. Francis Mbalase: Kama mnajua kuombewa mjue pia na kutubu

    Wanasema damu ya mtu mwenye haki huwa inalia mbele za Mungu nahisi kilio hicho Mungu amekisikia ndio maana yanatokea yasiyo eleweka
  11. kibanga 3

    Maswali 12 kwa kigogo asiyejulikana ‘dili’ Airtel

    Ni ajabu kwa taifa letu haiwezekani watu wapige ela alafu wasijulikane hii tabia ya kutuchanganya kwa neno watu wasiojulikana inazidi kukomaa naomba rais aikemee kabisa wasituletee blablaaa
  12. kibanga 3

    RC Mnyeti atishia kufuta leseni za migodi isiyolipa kodi Manyara

    Umeshawahi kuchimba? Au unafikiri kuchimba ni kufanya biashara?
  13. kibanga 3

    RC Mnyeti atishia kufuta leseni za migodi isiyolipa kodi Manyara

    Naona dalili za watanzania kunyanganywa maeneo yao kwa kisingizio cha kodi
  14. kibanga 3

    CCM ‘yachotewa’ na serikali Sh. 1.7 bilioni

    Ama kweli kila awamu na staili yake ya wizi
  15. kibanga 3

    Mtaalamu wa mifugo (Dr. by Veterinarian): Karibuni kwa ushauri, tiba na dawa za mifugo tu

    Nimepata mayai leo na nimetamishia nategemea vifaranga vya kutosha
  16. kibanga 3

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Bacelona kwa chelsea ni sawa na mtori kwa mgonjwa huyu barca ajiandae kwa mvua ya magoli
  17. kibanga 3

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Tatizo hatuna mshambuliaji anayejua kulazimisha yaani tungepata mtu staili ya aguero au teves wale west ham wangefungwa goli nyingi tu huyu morata ni mbovu sana hasa kwenye kufunga kwa miguu ilifika wakati nilitamani kocha amwingize bashuayi pengine angetuokoa kwa nafasi zilizopatikana kuliko morata
  18. kibanga 3

    Roho ya uharibifu inavyoliharibu Taifa

    Watanzania hatuna tabia ya kuchukiana hivyo hizo tabia ni za rwanda na inaonyesha wewe sio mtanzania hata kiswahili chako kinatia shaka mtusi
Back
Top Bottom