Search results

  1. Rai Pazzy

    Laptop hp for sale

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Specifications za laptop ni kama zifuatazo Model: HP ELITEBOOK 830 G5 PROCESSOR TYPE: INTEL CORE i5 8350U 1.9 ghz up to 3.6ghz RAM: 8GB DDR4 STORAGE: SSD 256 GB PORTS: TWO USB 3.0 PORTS, 1 THUNDERBOLT 3 PORT AMBAYO UNAWEZA TUMIA KUUNGANISHA...
  2. Rai Pazzy

    Written Interview inavyopukutisha wataalamu

    Hii sio kwa kada zote, kwa wahadhiri na wakufunzi ni 70. Watendaji wa wakuu wa taasis (CEO) alama zao ni sitini, na watendaji wakuu wa vyuo nao alama zao ni 70. Hizo kada nyengine tofauti na hizo nilizotaja hapo ndo alama yao ni 50. Nakusihi pitia Rule 16 of the Public Service Recruitment...
  3. Rai Pazzy

    Written Interview inavyopukutisha wataalamu

    Alikuwa sahihi wala hakukulisha tango pori. Kwa mujibu wa Kanuni no. 16 ya Kanuni Za Uendeshaji wa Shughuli za sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma za mwaka 2021, alama za ufaulu kwa kada za wahadhiri na wakufunzi ni 70 ila kwa kada nyengine kwa mujibu wa kanuni hiyo hiyo ni 50. So...
  4. Rai Pazzy

    Msaada wa jinsi barua ya maombi ya kazi kupitia utumishi (ajira portal)

    Soma kwenye Tangazo la kazi...huwa wanaweka nani wakumuddress.
  5. Rai Pazzy

    Jinsi Utumishi walivyotuzuia watu zaidi 50 tusiingie kufanya usaili wa ajira

    Mimi nmemaliza darasa la saba mwaka 2009 na ninacho.
  6. Rai Pazzy

    Baadhi ya maswali TPA

    Mtu aliesomea HR anajibu nin hapo kwa mfano.
  7. Rai Pazzy

    Jaji Elinaza Luvanda ajiondoa kuendesha kesi ya Mbowe na wenzake baada ya washtakiwa kudai hawana imani naye

    Msomi udhaifu uko wapi wakati tuna mahakama zinazofata sheria.
  8. Rai Pazzy

    Jaji Elinaza Luvanda ajiondoa kuendesha kesi ya Mbowe na wenzake baada ya washtakiwa kudai hawana imani naye

    Hati ya mshitaka ni mali ya jamhuri sio mahakama . Mahakama haina nguvu yoyote ya kisheria kufuta hati ya mashitaka ila kufuta kesi pale tu inapojiridhisha kuwa jamhuri wameshindwa kuthibitisha madai yao yaliyowekwa kwenye hati ya mshitaka. Hivyo ni jukumu la jamhuri kuomba kufuta hati ya...
  9. Rai Pazzy

    Jaji Elinaza Luvanda ajiondoa kuendesha kesi ya Mbowe na wenzake baada ya washtakiwa kudai hawana imani naye

    Mahakama inaweza kugundua kosa yenyewe (suo moto) au kwa kushtuliwa na upande wowote kwenye kesi. Pia hata kama mahakama ikishtuliwa na upande wowote, tuseme upande wa utetezi. Mahakama inanguvu ya kisheria kutoa amri kwa upande ulioleta hiyo hati(hapa ni serikali tuseme) kurekebisha na kesi...
  10. Rai Pazzy

    Jaji Elinaza Luvanda ajiondoa kuendesha kesi ya Mbowe na wenzake baada ya washtakiwa kudai hawana imani naye

    Ngoja nikutoe tongotongo. Hati ya mashitaka inapokuwa batili kuna njia mbili za kuitibu. Moja, serikali iamue kuiondoa mahakamani na kuleta hati mpya isiyo na makosa au kuomba amri ya mahakama kuirekebisha bila kuiondoa na kesi iendelee. Pia mahakama pale inapoona kuwa hati ya mashitaka...
  11. Rai Pazzy

    Jaji Elinaza Luvanda ajiondoa kuendesha kesi ya Mbowe na wenzake baada ya washtakiwa kudai hawana imani naye

    Hapo walikuwa wanakosea mkuu. Mahakama ikifuta kesi kwa uzembe wa jamhuri, jamhuri haitakiwi kukukama tena na kukufungulia kesi inayotokana na kesi hiyo hiyo mpaka hiyo amri ya mahakama itenguliwe na mahakama ya juu yake.
  12. Rai Pazzy

    Jaji Elinaza Luvanda ajiondoa kuendesha kesi ya Mbowe na wenzake baada ya washtakiwa kudai hawana imani naye

    Sheria inaruhusu mahakama kutoa amri kwa jamhuri kurekebisha hati ya mashitaka pale mahakama inapogundua hati hiyo inamakosa.
  13. Rai Pazzy

    Jaji Elinaza Luvanda ajiondoa kuendesha kesi ya Mbowe na wenzake baada ya washtakiwa kudai hawana imani naye

    Kabla ya kukujibu naomba nikuulize swali hili. Umesema uliwahi kuachiwa huru mara tano, je katika hizo mara tano ulizoachiwa huko kuachiwa kwako kulitokana na mahakama kufuta kesi kwa uzembe wa jamhuri au kulitokana na maombi ya jamhuri kuondoa hati ya mashitaka?
  14. Rai Pazzy

    Jaji Elinaza Luvanda ajiondoa kuendesha kesi ya Mbowe na wenzake baada ya washtakiwa kudai hawana imani naye

    Hati ya mashitaka inapokosewa sheria inatoa mamlaka kwa mahakama kutoa amri kwa upande wa serikali kurekebisha. Jaji alikuwa sahihi kabisa sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai inaruhusu.
  15. Rai Pazzy

    Hili suala la ku-verify vyeti kwa mwanasheria limekaaje ?

    We only certify copies of documents and not original documents. It is unprecedented to certify original document inasmuch as the document is authentic by itself. Perhaps they meant that you have to certify copies of your certificates but you might have got them wrong.
  16. Rai Pazzy

    Naomba ufafanuzi wa kisheria endapo ukifanya tukio mtandaoni lakini ukiwa nje ya nchi

    Kama huko ulipo nalo ni kosa mahakama za ndani ya Tanzania zinauwezo wa kudeal na hiyo case na kutolewa maamuzi. Kwa maana nyengine unaweza hukumiwa na mahakama za Tanzania bila shida ila sharti tu uwe ni mtanzania ambaye upo nje ya nchi na ufanye kitendo ambacho kwa Tanzania na Huko ulipo pia...
  17. Rai Pazzy

    DPP: Zaidi ya watuhumiwa 300 wa Uhujumu uchumi walioomba kukiri makosa wamekubaliwa na kuachiwa huru

    Na huku ukieendelea kukaa rumande mpaka utachoka na maana hakimu naomba mtuhumiwa arudi rumande uchunguzi haujakamilika Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom