Mimi nakuunga mkono mia kwa mia! Hapa kinachotakiwa ni kufanya kweli na sio kuendelea kurumbana. Strategies ziwepo...well organized plans then tunaingia uwanjani tukiwa full combat...!
Watanzania kama kweli tunahitaji mabadiliko lazima tusimamie kidete mabadiliko ya katiba. Tunatakiwa kufahamu kuwa kiburi kilichoko ndani wa viongozi wa chama tawala ni kwa sababu katiba inawalinda. Uhuru wa kuongea utulinde na ikiwezekana tuandamane nchi nzima ili vilio vya walalahoi visikike.
Jamani wanaJF, hivi kweli watanzania tumekubali kuendelea na katiba iliyopo? Naamini wananchi ndo wanaweza kusababisha mabadiliko ya katiba ya nchi. Uhuru wa kuongea umeishia wapi? Tuandamane jamani hata kama tumekatazwa...sidhani kama serikali itaweza kupiga mabomu ya machozi kwa wapenda...
Nakuunga mkono Lukolo...bado sielewi ni kitu gani kimo ndani ya Sophia Simba ambacho kimemfanya JK ampe wizara! Ni mbumbumbu na siku zote anaongea pumba.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.